Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
Wanataka kumwagana oil chafu hadharani duh dar sio poa
 
mkuu pole sana kwa kupoteza hela yako, siku nyingine uwe unaenda kupika home kuepuka kuharibiwa siku na majinga kama hayo...
 
Kwa hiyo tuseme una matako machache kwa kuwa ni mawili?
Kumbe akili unazo ila ulitaka tu kuongea na mimi mtumishi wa Mungu. Unajua akili nayo ukiiacha muda mwingi bila kuitumia inaoza.

Suala la WINGI na UCHACHE hutegemea limeongelewa kwenye muktadha upi. Kila mtu atakuona mwehu ukatangaze sokoni kuwa zimekuja ndizi kwa wingi watu wawahi wakanunue, halafu watu wafike sokoni wakukute na ndizi 2.

Sasa kama una akili angalau kidogo, nimesema angalau kidogo, ifikirie population ya Dar es Salaam halafu jiulize kama 2 inafaa kuitwa nyingi au umeamua tu ku express upungufu wa fikra unaokukabili kichwani.
 
Hao wawili ndio unasema wengi aisee
 
Aaaah weeeh usisingizie kabila za watu wa Morogoro.Mijitu ya pwani hii inayojilegeza hovyo ndio imekithirisha huu ujinga.
Halafu na wewe ndo uko pwani Sasa jitayarishe na kizazi chako kama umeona ugonjwa huo uko pwani tu ....Mwanza Arusha pia pwani kule ...nahisi pwani ya Iringa karibu itaingia kwenye orodha Sasa sijui mtasema nini
 
KINYAAA AKIKUMBUKWI BANA WE SEMA MENGINE.MKUU

HAO SIO WOTE MASHOGA KUNA MMOJA ANAMPIGA PAIPU MWENXIE POLE KWA YALUOKUKUTA MUWE MNATEMBEA NA KINDON MARAMOJA MOJA BAR ZINAZOINGIA NJIA YA MWANANYAMALA MSOME DUNIA
Mkuu anarmla shoga nae ni shoga.
 
MASHOGA NI WENGI SANA, WAPI????!!! UMEKUTANA NA SHOGA MMOJA UKAAMUA UTUITE WANAUME WA DAR WOTE MASHOGA ACHA UZWAZWA!. HAO UMEWATUHUMU TU, ILI TUKUAMINI WEKA PICHA.
Hajasema wote mkuu. Acha mbwembwe
 
Halafu na wewe ndo uko pwani Sasa jitayarishe na kizazi chako kama umeona ugonjwa huo uko pwani tu ....Mwanza Arusha pia pwani kule ...nahisi pwani ya Iringa karibu itaingia kwenye orodha Sasa sijui mtasema nini
Ndugu pwani inaongoza tuseme tu ukweli.
Mikoa mengine sawa vtu hvyo vipo ila pwan is the leading aisee.
Nina uhakika na ninachoongea ndio maana nasema hvyo.
 
Ndugu pwani inaongoza tuseme tu ukweli.
Mikoa mengine sawa vtu hvyo vipo ila pwan is the leading aisee.
Nina uhakika na ninachoongea ndio maana nasema hvyo.
Tatizo lako kwenye kuongoza ...hujui kama anaeongoza nae ataongozwa au mpaka upite kichochoro kwa kichochoro cha Arusha na Mwanza ukikuta mashoga ndo utajua huu mchezo umekithiri huko bara
 
Mkuu anarmla shoga nae ni shoga.
Screenshot_20190928-121835.png
Screenshot_20190928-121948.png
Screenshot_20190928-121917.png
Screenshot_20190928-121747.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom