Mkuu hii mji wa Dar imezidi ushoga.Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
Yani huu mji laana tupu.
Kinondoni wanaume wachache aisee,ukienda kiwalani subhana llah,ukienda mikoroshini Yesu hapendi,ukienda maeneo ya Tandale kuna hadi nyumba wamewekwa mashoga wamepanga km wahaya wanavyopanga kujiuza ni mashoga tupuuu.
Yani Tandale ndio imeharibika sio mwanaume sio mwanamke wote waliwa visamvu na wanapenda sana hiyo michezo.
Hii mji hapana Mungu atusamehe tu.