Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,623
2,000
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
 
Kazetela

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,617

Kapicha mkuu
 
DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
10,897

Habari kama hizi bila picha ni umbea uliokubuhu
 
BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,497
2,000
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
KINYAAA AKIKUMBUKWI BANA WE SEMA MENGINE.MKUU

HAO SIO WOTE MASHOGA KUNA MMOJA ANAMPIGA PAIPU MWENXIE POLE KWA YALUOKUKUTA MUWE MNATEMBEA NA KINDON MARAMOJA MOJA BAR ZINAZOINGIA NJIA YA MWANANYAMALA MSOME DUNIA
 
Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,927
2,000
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
Ulifanya ustaarabu kutowaingilia mambo yao. Wewe mind your business and let them mind theirs. Hongera mkuu!
 
INRI

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,302
2,000
Wabongo bhana.

You make a big deal out of small things. No wonder poverty is rampant in Africa.

As people have different preferences in various things, in sex there is also different preferences too.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,257
2,000
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.

Kama hujui kuwa kwa Mkoa wa Dar es Salaam ni Wilaya ya Kinondoni pekee kwa sasa ndiyo inaongoza kwa kuwa na Hifadhi Kubwa ya Mashoga basi pole sana Ndugu. Na hata hiyo Wazo Kiwandani nayo ipo bado ndani ya Wilaya hiyo hiyo ya Kinondoni hivyo Mashoga hao wanaiwakilisha vyema tu Wilaya hiyo.
 
Emery Paper

JF-Expert Member
Jun 1, 2019
1,414
2,000
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
Hapo utakuta kuna wanawake majumbani kwao wanajisifu waume zao wako makazini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom