Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
Mkuu ulikua na njaa kweli!! Yani uache Msosi sababu yahao wapuuzi!! Duuh
 
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
[emoji22][emoji22] Dah inasikitisha sana aisee
 
KINYAAA AKIKUMBUKWI BANA WE SEMA MENGINE.MKUU

HAO SIO WOTE MASHOGA KUNA MMOJA ANAMPIGA PAIPU MWENXIE POLE KWA YALUOKUKUTA MUWE MNATEMBEA NA KINDON MARAMOJA MOJA BAR ZINAZOINGIA NJIA YA MWANANYAMALA MSOME DUNIA
Noma sana!
 
MASHOGA NI WENGI SANA, WAPI????!!! UMEKUTANA NA SHOGA MMOJA UKAAMUA UTUITE WANAUME WA DAR WOTE MASHOGA ACHA UZWAZWA!. HAO UMEWATUHUMU TU, ILI TUKUAMINI WEKA PICHA.
 
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.
makonda sijui project yake iliishia wapi
 
KINYAAA AKIKUMBUKWI BANA WE SEMA MENGINE.MKUU

HAO SIO WOTE MASHOGA KUNA MMOJA ANAMPIGA PAIPU MWENXIE POLE KWA YALUOKUKUTA MUWE MNATEMBEA NA KINDON MARAMOJA MOJA BAR ZINAZOINGIA NJIA YA MWANANYAMALA MSOME DUNIA
kuna cha mtenda wala mtendwa both are gays hata kama wewe unashiriki ni ivyo mkuu hakuna cha kuzunguka mbuyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom