Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,643
- 6,822
Sasa hivi tuna wanw ccm sio majasusi kama wapo ni majasusi wajasusi wa vyama vya upinzani tu.Mkuu majasusi wa kwetu ni wazuri sana,tena sana,ni kama ninavyoielezea Urusi dhidi ya mataifa yenye mashirika ya kijasusi yenye nguvu,ndio hivyo kwa majasusi wa Tanzania,unakumbuka wakati wa Ukombozi kusini mwa afrika? majasusi wetu waliiva sana kwa sababu ya kukabiliana na Makaburu,hawa jamaa makaburu ni noma kiujasusi na kijeshi,pia majasusi wetu walikabiliana na mabeberu wengine amabao walikua hawapendi sera za Nyerere,pia maadui majirani zetu akina Idi Amini.Mobutu seseko,Kamuzu banda,n.k,NA MAJIRANI WENGINE WALIOKUA na NIA MBAYA na sisi.Sasa hapa ndio ungeujua uwezo wa majasusi wetu.Kilichoharibu hapa kwa sasa ni kutumiwa na wanasiasa kwa maslahi ya kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app