clion dismas
Senior Member
- Aug 6, 2017
- 185
- 169
Wanabodi
Poleni na majukumu. Naomba tubadilishane uzoefu juu ya jambo hili.
Tumejenga msongo mkubwa wa kipande cha kilometa 8.5 kwa volti ya 33000volti, umeme wa njia tatu kwa ajili ya kuunganisha maeneo mawili( interconnector).
Project imekamilika na imekaguliwa na imewashwa( commisioning), taa na matumizi mengine yote yako ok lakini mashine zote ambazo zinatumika kubadili nguvu ya umeme kwenda makanika(rotational) zinaenda kinyume na awali kabla ya kuunga hii interconnector.
Ukiidisconnect na kutumia source nyingine inazunguka kawaida bila ya matatizo.
Tulidhani yumkini ni phase rotation problem lakini hapana. Je, kwa wenye uzoefu zaidi, tatizo laeza kua wapi?
Up to date we're digging in to find the solution on this while feeding customers with an altenative source.
Thanks in advance.
MREJESHO
Nasema ahsante kwa mawazo yenu yote mliyochangia eneo hili, yote yalifanyiwa kazi na mwishowe behaving ilikua vile vile.
Installation ilifumuliwa upya from tapping point to termination point. Phase sequence meter ilitumika kila hatua na kimsingi mambo yote yalifanyika kiufasaha na project baada ya mwezi ilipowashwa tena, mambo yalikua sawasawa. Cheers.