MASHINE ZAZUNGUKA KINYUME

MASHINE ZAZUNGUKA KINYUME

Aisee poleni sana. Umesema ukiipa inpu tofauti na grid ina-rotate kawaida,je mumejaribu kuangalia phase sequence ya jenereta,kwa mfano RYB au RBY zinaachana kwa displacement angle ya 120,180. Huo mzunguko wa kutoka phase hii kwenda phase hii,usiwe ukawa unapisha na input yenu. Kubalini kufumua hicho kinu,ikiwezekana mfanye mawasiliano na manufacturer awape data zote za kinu chenu. Asante
 
Team work kwenye issue kama hii usaidia saaana. Itaneni nyoote, mtulize akili then muanze kufata ushauri wa mmoja mmoja. But kumbukeni umeme haupendi trials!!!
 
Hizi ndio thread ya GREAT THINKER tungeweza kupata thead 3 tu kila jukwaa kwa wiki hakika wa Tanzania tungebadilika sana, mbaya zaidi huku members wanapakimbia wanaenda kwenye umbea wa ngono na uzuzu wa siasa
 
I'm not sure kama mlifanya synchronization ya hiyo generation facility before kuiconnect kwenye grid. Always kuna conditions za kusychronize new incoming generator ili iendane na mfumo au operating condition za grid.

Four conditoons should be applied before connecting a new generator to the grid.
1. Phase sequence
2. Voltage magnitude
3. Frequency
4. Phase angle


1. Phase sequence
Phase sequence au phase rotation za new generator inabidi zizunguke sawa na existing grid phase sequence otherwise system itafail

Hii unaweza kutest kwa kutumia three phase motor

2. Voltage magnitude
Voltage magnitude ambayo new generator inazalisha inabidi iwe sawa na magnitude ya grid . for your case 33kv. Voltage zisipo kua sawa breaker ya generator itaruhusu flow ya MVAR.

Voltage ya new incoming generator ikiwa ndogo kwa ya grid, generator itakua na voltage iliyozalishwa ndani ya winding system(internal voltage) kwahiyo itakua under excited na itakua ina absorb MVAR kutoka kwenye grid.

Generator voltage ikiwa kubwa kwa ya grid itakua over excited na itakua ina supply MVAR kwenye grid

3. Frequency
Frequency ya incoming na existing grid inabidi ziwe sawa. Before Kuipa moto frequency ya incoming Generator hua inakua slightly higher(say 50.5) ili itakapo kua connected grid itaipull down kwenye frequency yake.... 50Hz


4. Phase angle
Phase angle za phase zote za new incominggenerator na grid inabidi ziendane, ziwe sawa...hii kuna test phase meter au hata three phase light load

Na generator reactor inabidi iwe grounded before reaching busabars za grid lasivyo itakua load yenyewe maana grid itajua mshikaji ni motor

Hizo ndo conditons otherwise lazima system izingue considering all earth connections are correct.
 
Back
Top Bottom