MASHINE ZAZUNGUKA KINYUME

MASHINE ZAZUNGUKA KINYUME

Mm nashauri rudi kule mlikokotoa umeme ukahakikishe kama phase zipo sawa. Huwa kunatatizo ambapo unatape umeme na wire zipo aligned in Vertical kwa mfumo wa

R
Y
B

Na wewe u transmit kwa horizontal na hivyo inabidi zikae kwa mfumo wa

R - Y - B

So kama mafundi hawakuwa makini wanaweza zigeuza hizo waya na kupelekea improper phase arrangement

Pia kama kuna poor marking kwenye Transfoma ya kwenye substation miliyo chukua umeme inaweza ikawa shida. Hivyo msihangaike na Na Transformer yenu ya 33Kv to 415V bali rudini kwenye substation kuu mkacheki iyo shida
 
Hutoamini ndugu kwamba phase sequence na rotation zimefanyika correctly na hapa hakuna transformers zilizoungwa parallel.

Hii inteconnector katikati hakuna load yoyote wala nini. Na zaidi ni kwamba tapping area, huko itokako machine hazibehave namna hii.

Tumejaribu disconnect hii incomer mpya tuliyoijenga na ku feed na supply nyingine inatulia fresh.

Tume troubleshoot possibilities zote ila inakataa.

Pia nakumbuka mwezi uliopita katika wilaya iyoiyo kila ilipokua ikifika saa 4-5 usiku gridi ilikua inatoka kwa indication ya earth fault, yukasurvey na kupatrol line yote tukaclear bushes zote near line, tukaangalia discs zote kama zina fructurers, tukaangalia arrestors za kila transformer tukaangalia jumpers zote hakukua na shida yoyote na bado line ilikua inatoka saa ile ile na mda ule ule kwa indication ile ile (earth fault).

Tulifanya sagging upya karibu vipande vyote vilivyokua vinahisiwa but the problem was the same, ila ajabu tukiwasha mashine( diesel generator) badala ya grid, mzigo unakaa usiku wote.

Mwezi mzima ilikua ni tabu ya namna hii, tukadhani probably earth shield wire imeguswa na phase yeyote, no way.

Mwishoni tuligundua it was a nearby district prpblem, they had poor sagging. Tulipo kiondoa kile kipande after a month, line ilikaa hadi leo.

Em tuanze upya. I hope tutafika, thanks kwa ushauri pia.
Aisee haya mambo yanaumiza kichwa unaweza kuhisi kuna kibabu kinakwamisha mradi kumbe ndio hivyo tatizo lipo mbali na pale mnapo hangaika.

Tatizo umeme hausemi ni kama dokta anavyomtibu mtoto mchanga.
 
Mm nashauri rudi kule mlikokotoa umeme ukahakikishe kama phase zipo sawa. Huwa kunatatizo ambapo unatape umeme na wire zipo aligned in Vertical kwa mfumo wa

R
Y
B

Na wewe u transmit kwa horizontal na hivyo inabidi zikae kwa mfumo wa

R - Y - B

So kama mafundi hawakuwa makini wanaweza zigeuza hizo waya na kupelekea improper phase arrangement

Pia kama kuna poor marking kwenye Transfoma ya kwenye substation miliyo chukua umeme inaweza ikawa shida. Hivyo msihangaike na Na Transformer yenu ya 33Kv to 415V bali rudini kwenye substation kuu mkacheki iyo shida

Okay sir
 
Wanabodi
Poleni na majukumu. Naomba tubadilishane uzoefu juu ya jambo hili.

Tumejenga msongo mkubwa wa kipande cha kilometa 8.5 kwa volti ya 33000volti, umeme wa njia tatu kwa ajili ya kuunganisha maeneo mawili( interconnector).

Project imekamilika na imekaguliwa na imewashwa( commisioning), taa na matumizi mengine yote yako ok lakini mashine zote ambazo zinatumika kubadili nguvu ya umeme kwenda makanika(rotational) zinaenda kinyume na awali kabla ya kuunga hii interconnector.

Ukiidisconnect na kutumia source nyingine inazunguka kawaida bila ya matatizo.

Tulidhani yumkini ni phase rotation problem lakini hapana. Je, kwa wenye uzoefu zaidi, tatizo laeza kua wapi?

Up to date we're digging in to find the solution on this while feeding customers with an altenative source.

Thanks in advance.

Mabeberu wanatuhujumu hapa (kidding)
Acha nisome nijifunze
 
Dah...ila nimevutika kweli....mko wapi nije...kila kitu nitajilipia mwenyewe...nataka tu nikumbushie fani( kwa sauti ya Dkt Manyahi) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nashauri rudi kule mlikokotoa umeme ukahakikishe kama phase zipo sawa. Huwa kunatatizo ambapo unatape umeme na wire zipo aligned in Vertical kwa mfumo wa

R
Y
B

Na wewe u transmit kwa horizontal na hivyo inabidi zikae kwa mfumo wa

R - Y - B

So kama mafundi hawakuwa makini wanaweza zigeuza hizo waya na kupelekea improper phase arrangement

Pia kama kuna poor marking kwenye Transfoma ya kwenye substation miliyo chukua umeme inaweza ikawa shida. Hivyo msihangaike na Na Transformer yenu ya 33Kv to 415V bali rudini kwenye substation kuu mkacheki iyo shida
Nahisi hii ndio solution.
Back to phase sequence problem.
 
Wanabodi
Poleni na majukumu. Naomba tubadilishane uzoefu juu ya jambo hili.

Tumejenga msongo mkubwa wa kipande cha kilometa 8.5 kwa volti ya 33000volti, umeme wa njia tatu kwa ajili ya kuunganisha maeneo mawili( interconnector).

Project imekamilika na imekaguliwa na imewashwa( commisioning), taa na matumizi mengine yote yako ok lakini mashine zote ambazo zinatumika kubadili nguvu ya umeme kwenda makanika(rotational) zinaenda kinyume na awali kabla ya kuunga hii interconnector.

Ukiidisconnect na kutumia source nyingine inazunguka kawaida bila ya matatizo.

Tulidhani yumkini ni phase rotation problem lakini hapana. Je, kwa wenye uzoefu zaidi, tatizo laeza kua wapi?

Up to date we're digging in to find the solution on this while feeding customers with an altenative source.

Thanks in advance.
That is a phase sequence issue. Interchange two phases kwa three phase motors, na inaterchange start na run windings kwa single phase motors.
 
Umenikumbusha zamani enzi hizo tunafanya motor rewinding na kutengeneza control circuits.
 
Hapa ndio unaweza kumbuka ni kwanini wachina huchinja mbuzi na kumwaga damu kabla ujenzi wowote haujaanza[emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom