Mashine ya kushonea mifuko (viroba)

Mashine ya kushonea mifuko (viroba)

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
5,904
Reaction score
4,666
WAKUU HESHIMA MBELE!
kama kuna mdau yeyote anayejua mahali zinapopatikana mashine za kushonea mifuko (viroba), dukani, used au kukodi; kwa packing za product kama mchele, unga N.K.

pia kama kuna mwenye ujuzi wa matumizi ya mashine hizo, naomba anipe mwangaza zaidi!

nipo Tunduma, nipo tayari kuifuata mkoa wowote itapopatika, provided nimemudu bei itakayotajwa!

thanks in advance,
i submitt!
 
Inategemea na aina ya machine unayotaka, zipo za aina nyingi na dar zinapatikana, bei inaanzia milioni 1 na kuendelea, pia naweza kukuunganisha na rafiki yangu mmoja anayeshughurika na kazi hizo akufundishe ingawa yeye hatumii computer mnaweza kupatana mtakavyoweza. Unaweza kuja dar sasa?
 
nashukuru sana mkuu! naomba mawasiliano na huyo jamaa, niangalie kama naweza ku-bargain naye pia ili niweze kuzijua zaidi mashine hizo. tukiafikiana ndipo naweza kuja dar! asante!
 
Sawa Mkuu, nitakutumia maelezo mengine baadaye leo jioni.

nashukuru sana mkuu! naomba mawasiliano na huyo jamaa, niangalie kama naweza ku-bargain naye pia ili niweze kuzijua zaidi mashine hizo. tukiafikiana ndipo naweza kuja dar! asante!
 
Back
Top Bottom