Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Basi wewe anzisha thread hapa na ulete hivyo vitu vyenye tija kwa vijana.
Halafu kitu chenye tija kwako siyo tija kwa mwengine. Umenipata ndugu. Halafu kitu chengine wamekuja kukuomba kitu chochote kwako mpaka unatokwa na mapovu meengi ya foma gold mpaka unaweza kufulia nguo. Ni bora kama kitu hukipendi upite tu bila kusema chochote kwasababu ujalazimishwa kusoma wala kuchangia mada.......... ili uhifadhi heshima yako.

Wasalam....


Unayoyasema ni ukweli kabisa ila bahati mbaya haujapata picha kamili. Angalia historia kutoka nchi za wenzetu tena majirani wala si nchi za mbali. Narudia, walianza hivi hivi mwisho wa siku huko kwao hakukaliki kwa sababu ya kuuana wenyewe kwa wenyewe. Angalia upuuzi wanaoufanya wazanzibari, yaani mtu unashindwa kufanya kazi eti unapita mtaani kusaka watu wanaokula, ujinga gani huu? Jana huko Tunisia watu 3 wamekamatwa kwa kuvuta sigara 'park.' Wapuuzi hao hao wanakimbilia nchi za wenzao kutafuta freedom, cha kushangaza wakifika huko na kupata ile freedom waliyokuwa wanatafuta wanaanza ku-impose sharia zao za hajabu katika nchi za watu na ndiyo maana hawatakiwi.
 
Kuna ndoa nyingi tu za kiislam za watu wa jinsia moja


Tatizo la waislam wengi hawajasoma na hawana muhamko....wameshikilia kukariri tu vitu wasivyovijuwa, ukiwaambia ukweli wanataka kujiua kwa kutetea dini wakati wameletewa tu na wakoloni/watawala. Yaani sielewi kwanini wanashindwa kujitafakari, kitu kiko in the open kabisa yet mtu hataki kuelewa kisa amekariri vitu kichwani mwake.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .kiswahili hakina swaga mzee.alafu kukariri kiswahili ni ngumu.kuliko kiarabu hapo ndo maajabu ya quran yanapokuja.


Kwa hiyo unafuata swagga tu si ujumbe? Unaelewa unakariri nini?
 
Njaa za usiku hizi.subiri noah yako acha maneno.


Maneno kivipi, watu inabidi waambiwe ukweli. Huku ni kukosa maadili, eti kijana hauna kazi unapita mitaani kusaka watu ili uwachape viboko kisa wanakula mchana. Au kukariri vitu wasivyovijuwa na kuwaona kuwa ndiyo binadam wenye maadili mema. Matatizo mengi waislam wanajitakia wenyewe.
 
Kwa hiyo unafuata swagga tu si ujumbe? Unaelewa unakariri nini?
Si ndo maana kuna tafsiri ya quran
0f02937627b6719eac48b98b43e2febf.jpg
 
Si ndo maana kuna tafsiri ya quran
0f02937627b6719eac48b98b43e2febf.jpg


Hiyo haya ya 19 imekaa kiushabiki zaidi/batili. Si lazima uwe muislam ili umjuwe Mungu....no way or whatsoever. Tumieni akili kidogo, sasa hawa wasio waislam na wanamcha Mungu si ni watoto wa Mungu pia?
 
Hiyo haya ya 19 imekaa kiushabiki zaidi/batili. Si lazima uwe muislam ili umjuwe Mungu....no way or whatsoever. Tumieni akili kidogo, sasa hawa wasio waislam na wanamcha Mungu si ni watoto wa Mungu pia?
Hatuwezi tukawa na mungu mmoja alafu tukamuabudu tofauti.lazma kuwe na njia moja.hata biblia ina uthibitisha uislam ndio dini ya kweli.
 
Mambumbumbu hawana hakiri hakiri zao zimeshikwa na warabu kila siku mashindano mashindano gani hayo upumbavu tu huo waziri kamata hao mbumbumbu wasije wakajiripua
 
Hatuwezi tukawa na mungu mmoja alafu tukamuabudu tofauti.lazma kuwe na njia moja.hata biblia ina uthibitisha uislam ndio dini ya kweli.


Si kweli hata siku moja, endeleeni kujidanganya tu. Mkuu, umesoma history japo kidogo ili upate tu ufahamu?
 
Back
Top Bottom