Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Watanzania inabidi tujiangalie sana kwa vitu kama hivi visivyo na tija na taifa letu. Nchi za wenzetu zilianza hivi hivi, mashindano ya kusoma vitu wasivyoelewa mwisho wa siku wanauana wenyewe kwa wenyewe. Vijana hawana kazi, wanapita kuzurura mitaani kutafuta watu wanaokula na kuwaua pamoja na kujiua wenyewe.
Njaa za usiku hizi.subiri noah yako acha maneno.
 
Nikionaga mikusanyiko ya namna hii huwa Naogopa sana!!sisi tulikatazwa kuandamana kiibada asubuhi! Hawa wengine wameruhusiwa kufanya yao usiku!!
 
Makafir wataendelea kuwa makafir daima.
Kinachowafanya watoke povu na kutukana ni wivu walio nao. Mashindano yapo na yataendelea kuwepo hadi kiama. Kama mna wivu anzisheni na nyie ya kwenu ya kuhifadhi biblia muone kama mtakatazwa.
 
Sidhani kama ni kweli Mkuu ukisema hivyo maana yake biblia ingeachwa na lugha yake ile ile lakini imetafsiriwa mpaka kuja kwenye kiswahili
Jikite katika mada mkuu! unaharibu bandiko la atu, hayo maswali yako ungeynzishia uzi.
halafu lengo lako kujua au kufananisha na Imani nyengine?. Uislam na Ukristo ni vitu viwli tofauti.
uislamu ni Dini na mfumo wa Maisha wakati Ukristo ni imani tu.
 
Naombeni kuulizwa swali hivi hayo maneno ya kiarabu inawezekana kuyatamka kwa kiswahili? au kuswali ibada nzima kwa lugha ya kiswahili kwani haiwezekani?
Ni haramu kutumia lugha tofauti na Arabic Quran imepiga marufuku.
 
Kwa mfano Isaya 23:17_18

7 Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, Bwana ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.
18 Na biashara yake na ujira wake utakuwa wakfu kwa Bwana, hautawekwa hazinani wala hautawekwa akiba; bali mapato ya biashara yake yatakuwa mali zao wakaao mbele za Bwana, wapate kula na kushiba, na kuvaa mavazi ya fahari.
Bible haisomwi hivyo kwa kuchomoa kamstari kamoja kanachotimiza adhma yako chafu. Soma mistari ya juu upate concept ya hiyo verse

Isaya 23
15 Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme mmoja; hata mwisho wa miaka sabini, Tiro utakuwa kama vile ulivyo wimbo wa kahaba.

16 Twaa kinubi, tembea mjini, Ewe kahaba uliyesahauliwa; Piga vizuri, imba nyimbo nyingi, Upate kukumbukwa tena.

17 Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, Bwana ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.

18 Na biashara yake na ujira wake utakuwa wakfu kwa Bwana, hautawekwa hazinani wala hautawekwa akiba; bali mapato ya biashara yake yatakuwa mali zao wakaao mbele za Bwana, wapate kula na kushiba, na kuvaa mavazi ya fahari.
 
Hata quran ya kiswahili ipo.ila hauwezi kusoma katika swala kwa kiswahili hairuhusiwi.ila dua unaweza kuomba kwa lugha yoyote.alafu kukariri quran kwa kiarabu ni rahisi kuliko kukariri quran kwa kiswahili ngumu.
Sio kiswahili hakitumiki tu kusomea swala Bali hata kwenye hukumu alla atatumia Arabic tu na ukiongea lugha nyingine ni adhabu kali na hautasikilizwa sababu lugha zote tofauti na Arabic zimeharamishwa sasa jiulize ni wangapi wanaelewa kiarabu, nafikiri wengi mtaenda motoni kwa kosa tu la kutoongea kiarabu.


Lakini pia hii ni sababu kubwa kwamba Uislamu ni dini ya muarabu pekee sababu Uislamu ni utamaduni wa uarabuni kuanzia hiyo lugha mpaka mavazi na maamrisho mengine mengi.
 
Hata biblia ukiisoma ya kiswahili kuna maneno yanakuwa yamepoteza uhasilia wake. Ila ukijaribu ya kiingereza unapata mwanga mzuri na maana.
Hata hiyo ya kiingereza imepqaya kutoka aramaic
 
Makafir wataendelea kuwa makafir daima.
Kinachowafanya watoke povu na kutukana ni wivu walio nao. Mashindano yapo na yataendelea kuwepo hadi kiama. Kama mna wivu anzisheni na nyie ya kwenu ya kuhifadhi biblia muone kama mtakatazwa.
Ni kweli,ndio maana makafiri wanaendelea kujilipua huko Syria na Iraq kwa maslahi ya marekani!
 
wanashindana speed ya kusoma au kukariri?
 
Sio kiswahili hakitumiki tu kusomea swala Bali hata kwenye hukumu alla atatumia Arabic tu na ukiongea lugha nyingine ni adhabu kali na hautasikilizwa sababu lugha zote tofauti na Arabic zimeharamishwa sasa jiulize ni wangapi wanaelewa kiarabu, nafikiri wengi mtaenda motoni kwa kosa tu la kutoongea kiarabu.


Lakini pia hii ni sababu kubwa kwamba Uislamu ni dini ya muarabu pekee sababu Uislamu ni utamaduni wa uarabuni kuanzia hiyo lugha mpaka mavazi na maamrisho mengine mengi.
Wewe ni MKRISTO?
 
Back
Top Bottom