Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Soma isaya 9:6
b2d3468194b29910c585efdea0b9bde8.jpg

Unataka kusemaje?
 
Hata shetan ni allah, hata wa budha, mungu wao kwa kiarabu ni allah,

Ila Mungu wa kweli ni YHWH

Hivo mungu wa uislamu ni SHETANI SIO YHWH
NIMEKUULIZA WAARABU WASIO WAISLAM WANA MUITAJE MUNGU?
 
Hata shetan ni allah, hata wa budha, mungu wao kwa kiarabu ni allah,

Ila Mungu wa kweli ni YHWH

Hivo mungu wa uislamu ni SHETANI SIO YHWH
NIMEKUULIZA WAARABU WASIO WAISLAM WANA MUITAJE MUNGU?
 
Kwanza mungu hajawahi kuonekana
4a9460975d28509a2c7571ada8a4dc36.jpg
44315894d6f89c96e9df42c06f75df3e.jpg

Kama yesu ni mungu.wakati tunaambiwa mungu HAYAWAHI KUONEKANA.MBONA HYO AYA YA 41 INASEMA HUYO MTU ALIMUONA MASIHI AMBAYE NI YESU.
 
Unayoyasema ni ukweli kabisa ila bahati mbaya haujapata picha kamili. Angalia historia kutoka nchi za wenzetu tena majirani wala si nchi za mbali. Narudia, walianza hivi hivi mwisho wa siku huko kwao hakukaliki kwa sababu ya kuuana wenyewe kwa wenyewe. Angalia upuuzi wanaoufanya wazanzibari, yaani mtu unashindwa kufanya kazi eti unapita mtaani kusaka watu wanaokula, ujinga gani huu? Jana huko Tunisia watu 3 wamekamatwa kwa kuvuta sigara 'park.' Wapuuzi hao hao wanakimbilia nchi za wenzao kutafuta freedom, cha kushangaza wakifika huko na kupata ile freedom waliyokuwa wanatafuta wanaanza ku-impose sharia zao za hajabu katika nchi za watu na ndiyo maana hawatakiwi.
Hahaha wewe ndugu kweli unafurahisha haya nyie mnaofanya kazi kwa bidii na zenye tija.....
Mpaka leo miaka 50 kwa kazii na bidii yenye kuleta tija kwa nchi bado nchi ni maskini 2 mpaka budget ya nchi ni inacover na misaada tu. Halafu kitu cha kushangaza nchi imeshikwa na wanaojiita waliosoma saana na wazee wa bidii ...wazee wa sunday school... lakini maendeleo hakuna kabisa. Sasa cjui hizo elimu zimewasaidia nini. Mpaka mnapewa misaada ya visima vya maji...Maji ni stage ambayo tulipaswa tuwe tumeshaivuka miaka miiingi nyuma lakini mpaka leo bado..
Aisee nyie elimu zenu ni balaa...hhahaha
Ndugu vitu vya tunisia havikuhusu ww.. kila nchi ina sheria yake uwe umeipanda au hukuipenda ni lazima uifatishe. Kitu kingine tunisia imeendelea saana tu kushinda tz yenye wasomi....
 
Typical muislam asiyekuwa na jicho la kuona mbali. Unajichnganya for no reason, tunaongelea nduguzo wanavyojichanganya kisa dini isiyowasaidia wao chochote. Wewe unakuja na suala la siasa na maendeleo ya Tunisia, wapi na wapi? Mmezoea kukariri vitu mpaka maisha yenu mnayakariri?
 
Tatizo la waislam wengi hawajasoma na hawana muhamko....wameshikilia kukariri tu vitu wasivyovijuwa, ukiwaambia ukweli wanataka kujiua kwa kutetea dini wakati wameletewa tu na wakoloni/watawala. Yaani sielewi kwanini wanashindwa kujitafakari, kitu kiko in the open kabisa yet mtu hataki kuelewa kisa amekariri vitu kichwani mwake.
Tatizo ww ndo hujasoma na co waislam coz hata hao wana sayansi wakubwa ambao wengi wenu mnawaamin walisoma qur-an alaf wakageuza geuza maneno na ku pretend wao ndo ma explore
 
Tatizo ww ndo hujasoma na co waislam coz hata hao wana sayansi wakubwa ambao wengi wenu mnawaamin walisoma qur-an alaf wakageuza geuza maneno na ku pretend wao ndo ma explore

Endelea kuishi kwa matumaini na historia zisizo na mashiko. Karibu tende na kahawa mkuu.
 
Back
Top Bottom