Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

Sidhani kama ni kweli Mkuu ukisema hivyo maana yake biblia ingeachwa na lugha yake ile ile lakini imetafsiriwa mpaka kuja kwenye kiswahili
Hata biblia ukiisoma ya kiswahili kuna maneno yanakuwa yamepoteza uhasilia wake. Ila ukijaribu ya kiingereza unapata mwanga mzuri na maana.
 
Sidhani kama ni kweli Mkuu ukisema hivyo maana yake biblia ingeachwa na lugha yake ile ile lakini imetafsiriwa mpaka kuja kwenye kiswahili
Kwa mfano Isaya 23:17_18

7 Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, Bwana ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.
18 Na biashara yake na ujira wake utakuwa wakfu kwa Bwana, hautawekwa hazinani wala hautawekwa akiba; bali mapato ya biashara yake yatakuwa mali zao wakaao mbele za Bwana, wapate kula na kushiba, na kuvaa mavazi ya fahari.
 
Naombeni kuulizwa swali hivi hayo maneno ya kiarabu inawezekana kuyatamka kwa kiswahili? au kuswali ibada nzima kwa lugha ya kiswahili kwani haiwezekani?
Haiwezekan mkuu..mwenye dini yke na alietuumba allah سبحنۃ وتعالی katufundisha njia moja tu ya kuwasiliana tuwapo ktk ibada nj arabic tu ..na maneno ambayo hutumika kuwasiliana tuwapo kt ibada ni yanafwhamika uzur.hairuhusiwi kuingiza lugha yyte ile.so ni utaratibu wake..ndomana dunia nzima waislam tunawasiliana na mola wetu ktk ibada.zetu kwa lugha moja alioitaka yeye allah..ila ktk upande wa mawaidha ple ndo tumeruhusiwa kutafsir maneno.yke toka in arabic kwenda lugha yyte ile ila sio ktk swala...ndomana muislam wa tz.ht.aende dunia nzima lughs kuongea na mola wake ataikuta ile ile alieiacha tz.
 
Hata biblia ukiisoma ya kiswahili kuna maneno yanakuwa yamepoteza uhasilia wake. Ila ukijaribu ya kiingereza unapata mwanga mzuri na maana.
Kwani biblia ya kwanza iliandikwa kwa kiingereza?
 
Sidhani kama ni kweli Mkuu ukisema hivyo maana yake biblia ingeachwa na lugha yake ile ile lakini imetafsiriwa mpaka kuja kwenye kiswahili
Fanya utafiti wako mwenyewe. Biblia imepoteza mengi na mengine kubadilika maana kwa tafsiri. It has lost a lot in translation!
 
Lugha asili ya biblia ni kiingereza? Kiibrenia kwa kiingereza I doubt kama utaweza pata tafsiri ya neno kwa neno!
 
Tazama Live mashindano ya kuhifadhi Quran Tanzania



Watanzania inabidi tujiangalie sana kwa vitu kama hivi visivyo na tija na taifa letu. Nchi za wenzetu zilianza hivi hivi, mashindano ya kusoma vitu wasivyoelewa mwisho wa siku wanauana wenyewe kwa wenyewe. Vijana hawana kazi, wanapita kuzurura mitaani kutafuta watu wanaokula na kuwaua pamoja na kujiua wenyewe.
 
Make no mistake and do not confuse with makinikia saga (only time got the autonomy to prove me wrong)
Ndugu Hashpower, you needn't ask this lunatic what he meant, he doesnt deserve any attention. A fool will always a fool.
 
Kuna maneno mengine kupata tafsiri yake halisi kutoka lugha moja kwenda nyingine ni ngumu. Na kwa masuala ya ibada kupoteza maana kwenye tafsiri ni kitu hatari sana. Kuna maneno ukitaka kutafsiri kwa mfano toka kiingereza kwenda kiswahili tafsiri ina kuwa na upungufu mkubwa!
Ni kweli kabisa, similarily when translating from hebrew to Latin, Sanskrit to Hindi, etc
 
Hata biblia ukiisoma ya kiswahili kuna maneno yanakuwa yamepoteza uhasilia wake. Ila ukijaribu ya kiingereza unapata mwanga mzuri na maana.
Hata kwenye kizungu imepoteza mwanga, lakini ina hitajika na lazima kuwe na mtafsiri na mhubiri anayezijua lugha asilia na iliyotafsiriwa
 
Watanzania inabidi tujiangalie sana kwa vitu kama hivi visivyo na tija na taifa letu. Nchi za wenzetu zilianza hivi hivi, mashindano ya kusoma vitu wasivyoelewa mwisho wa siku wanauana wenyewe kwa wenyewe. Vijana hawana kazi, wanapita kuzurura mitaani kutafuta watu wanaokula na kuwaua pamoja na kujiua wenyewe.
Basi wewe anzisha thread hapa na ulete hivyo vitu vyenye tija kwa vijana.
Halafu kitu chenye tija kwako siyo tija kwa mwengine. Umenipata ndugu. Halafu kitu chengine wamekuja kukuomba kitu chochote kwako mpaka unatokwa na mapovu meengi ya foma gold mpaka unaweza kufulia nguo. Ni bora kama kitu hukipendi upite tu bila kusema chochote kwasababu ujalazimishwa kusoma wala kuchangia mada.......... ili uhifadhi heshima yako.

Wasalam....
 
Naombeni kuulizwa swali hivi hayo maneno ya kiarabu inawezekana kuyatamka kwa kiswahili? au kuswali ibada nzima kwa lugha ya kiswahili kwani haiwezekani?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .kiswahili hakina swaga mzee.alafu kukariri kiswahili ni ngumu.kuliko kiarabu hapo ndo maajabu ya quran yanapokuja.
 
Sidhani kama ni kweli Mkuu ukisema hivyo maana yake biblia ingeachwa na lugha yake ile ile lakini imetafsiriwa mpaka kuja kwenye kiswahili
Hata quran ya kiswahili ipo.ila hauwezi kusoma katika swala kwa kiswahili hairuhusiwi.ila dua unaweza kuomba kwa lugha yoyote.alafu kukariri quran kwa kiarabu ni rahisi kuliko kukariri quran kwa kiswahili ngumu.
 
Back
Top Bottom