silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,629
- 2,386
sasa si michezo ndugu wewe kama mawazo yako yapo kwenye makalio utakuwa unawaza mchezo mwingine
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.
Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?

atakuwa anawaza tasnia ya ngono sio netball.
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.
Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?
Mshindwe na mregee nyoote mnaoshabilkia umalaya in the name of sports. Hakuna excuse ya kumweka mwanamke uchi.
ndiyo raha ya michezo dogo...ukipata nafasi nenda ukaone akina dada 'wakisanua' live...utamu wa kunoga...!Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.
Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?
Mshindwe na mregee nyoote mnaoshabilkia umalaya in the name of sports. Hakuna excuse ya kumweka mwanamke uchi.
mmmh mie namobilise netball team. Wote watavalia madera wakati wa mechi.
Napendaga!!kama kuna taifa stars na netiboli.m ntaangalia netiboli ili nione hiyo kitu