''he died in the line of duty''nzi kafia katika kidonda!!!hakika alikuwa nzi shujaa
Yule hakuwa nzi,ni Nyuki shujaa baada ya kumalizana na malkia juuu mbali hukoooonzi kafia katika kidonda!!!hakika alikuwa nzi shujaa
Kwa mtaji huo haponi mtu angalau wangejitafutia hata vipanya kidogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbegu za tikiti zimekaushwa zikakaangwa
BONGO KUNA MAMBO UJUEWangempa mshindi wapili hiyo elfu 2 akajiuguze inanikumbusha mwaka 2000 mtaani kwetu kulikuwa na mashindano ya kunya maziwa ya moto kwa dk tano mshindi alikuwa anapewa elfu 10 jamaa alishinda lakini hela yote iliisha kwa ajili ya kujiuguza anadai alikuwa anaona tumboni kama kuna tanuli la moto na ulimi umebanikwa kwenye moto mpaka mwisho wa siku alitumia elfu 30 kujiuguza ilihali yeye alishinda elfu 20
Mishemishe zilinizidi aisee
hahaha aliona nyotanyotaBila shaka aliona nyotanyota nyingi sana.[emoji93] [emoji92] [emoji95] [emoji94] [emoji96]
Huyu aliona giza tuBila shaka aliona nyotanyota nyingi sana.[emoji93] [emoji92] [emoji95] [emoji94] [emoji96]