Mashindano ya kunywa gongo yaondoka na mshindi

Huko Mtwara jamaa mmoja ajulikanaye kama Abdlah Chande amefariki dunia baada ya kuibuka mshindi wa kunywa mizinga minne ya gongo
Kijijini Likolombe mashindano haya yapo kila wakati...
Kipindi hiki washiriki walikuwa wane ambapo kipenga cha kwanza washiriki wote waliweza kumaliza mizinga ya kwanza
Kipenga cha pili mshindi wa pili alichemsha
Kipenga cha tatu wakabaki wawili na kipenga cha mwisho Marehemu Chande ndio akaibuka mshindi kwa kumaliza mizinga yote mine lakini hakuweza kupokea zawadi yake ya Tsh 2000/= kwakuwa alianguka na kufariki dunia huku mshindi wa pili akiwa hoi
Duu kwa hiyo 2000 imemtoa mtu uhai!!kweli hali ngumu!!
 
Nimecheka sana. Viwanda haviko mbali!
 
habari ni ya kweli nami nimeisikia kupitia wapo redio fm,pia hiyo sh 2000/- imenunuliwa sanda
mwenyekiti wa serikali wa kijiji amedai kuwa hayo mashindano ya unywaji gongo sio mara ya kwanza hufanyika kila mwaka
 
Mlevi alichoka kuishi duniani ndiyo maana akajitoa muhanga kwa kunywa mizinga ili afe mapema.
 
Kuna tukio km hilo miaka ya 90 pale mtaa wa amani moro kuna mpiga debe alikunywa gongo kwa mama muuza mpk akazima. Wakamuweka kwenye stoo ya pombe jamaa alipostuka aliona bomba LA mpapai mle ndani akaingiza kwenye dumu LA Lita tano. Asubuhi jamaa wamemkuta kakauka na pombe IPO robot tatu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
 
huyo bila shaka ana undugu na kitwanga.
 
Huko Mtwara jamaa mmoja ajulikanaye kama Abdlah Chande amefariki dunia baada ya kuibuka mshindi wa kunywa mizinga minne ya gongo
Kijijini Likolombe mashindano haya yapo kila wakati...

Kipindi hiki washiriki walikuwa wanne ambapo kipenga cha kwanza washiriki wote waliweza kumaliza mizinga ya kwanza
Kipenga cha pili mshindi wa pili alichemsha

Kipenga cha tatu wakabaki wawili na kipenga cha mwisho Marehemu Chande ndio akaibuka mshindi kwa kumaliza mizinga yote mine lakini hakuweza kupokea zawadi yake ya Tsh 2000/= kwakuwa alianguka na kufariki dunia huku mshindi wa pili akiwa hoi
Ha ha ha dah
 
Mkuu ulikuwa umepotea mpata watu wakaanza kukuhisi kuwa huenda ww ndiye scorpion..
.maana tangu scorpion akamatwe naww ukapotea jukwaan ghafla halafu baada ya scopion kuwa nje kwa dhamana umeanza kuonekana ..
Hebu tuweke wazi bhana
 
Hahhahahaaaa
 
Huko Mtwara jamaa mmoja ajulikanaye kama Abdlah Chande amefariki dunia baada ya kuibuka mshindi wa kunywa mizinga minne ya gongo
Kijijini Likolombe mashindano haya yapo kila wakati...

Kipindi hiki washiriki walikuwa wanne ambapo kipenga cha kwanza washiriki wote waliweza kumaliza mizinga ya kwanza
Kipenga cha pili mshindi wa pili alichemsha

Kipenga cha tatu wakabaki wawili na kipenga cha mwisho Marehemu Chande ndio akaibuka mshindi kwa kumaliza mizinga yote mine lakini hakuweza kupokea zawadi yake ya Tsh 2000/= kwakuwa alianguka na kufariki dunia huku mshindi wa pili akiwa hoi

Haha haha Refaree kwa mbwembwe!
Mwaka Juzi ndugu yangu alikuwa mshindi kwa kunywa pakiti 37 ya pombe za viroba, na akazawadiwa sh 20,000/= ila kakuafanikiwa kuufaidi ushindi wake kwani alidondoka na hakuamka tena (alifariki)! Hi michezo ni hatari sana hasa kwa mashindano ya pombe kali
 
Back
Top Bottom