Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Bwana wewe (kwa sauti ya kimakonde)
Huko Mtwara jamaa mmoja ajulikanaye kama Abdlah Chande amefariki dunia baada ya kuibuka mshindi wa kunywa mizinga minne ya gongo
Kijijini Likolombe mashindano haya yapo kila wakati...
Kipindi hiki washiriki walikuwa wanne ambapo kipenga cha kwanza washiriki wote waliweza kumaliza mizinga ya kwanza
Kipenga cha pili mshindi wa pili alichemsha
Kipenga cha tatu wakabaki wawili na kipenga cha mwisho Marehemu Chande ndio akaibuka mshindi kwa kumaliza mizinga yote mine lakini hakuweza kupokea zawadi yake ya Tsh 2000/= kwakuwa alianguka na kufariki dunia huku mshindi wa pili akiwa hoi
Bora umerudi wengine midomo ilishanuka kwa kununa. Hahahaha. Ulikuwa kwenye huo mpambano nini isijeikawa ndo umemaliza Drip ya kumi? JokeHahhahahaaaa
Hao walidhamilia kummaliza. Kweli mlevi umfungie kwenye ghala la pombe sawa na mwizi mfungie kwenye safe.Kuna tukio km hilo miaka ya 90 pale mtaa wa amani moro kuna mpiga debe alikunywa gongo kwa mama muuza mpk akazima. Wakamuweka kwenye stoo ya pombe jamaa alipostuka aliona bomba LA mpapai mle ndani akaingiza kwenye dumu LA Lita tano. Asubuhi jamaa wamemkuta kakauka na pombe IPO robot tatu.
Shujaa wa she.taninzi kafia katika kidonda!!!hakika alikuwa nzi shujaa
Duh kiroba nimekitambua na chupa ya kileo na limau, vingine ni maluelue tu. Chin chin labda.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 420670