Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
Tangulia kwa Heshima Kamanda,Watoto Wako Tutaliimba Jina La Daima!
Au unashaurije ndg, apelekwe makumbusho?Hahhahahaaaa
AiseeNi elfu mbili kamili 2000/=
Nani aliyetoa kibali ? Waandaaji ni kina nani ?Huko Mtwara jamaa mmoja ajulikanaye kama Abdlah Chande amefariki dunia baada ya kuibuka mshindi wa kunywa mizinga minne ya gongo
Kijijini Likolombe mashindano haya yapo kila wakati...
Kipindi hiki washiriki walikuwa wanne ambapo kipenga cha kwanza washiriki wote waliweza kumaliza mizinga ya kwanza
Kipenga cha pili mshindi wa pili alichemsha
Kipenga cha tatu wakabaki wawili na kipenga cha mwisho Marehemu Chande ndio akaibuka mshindi kwa kumaliza mizinga yote mine lakini hakuweza kupokea zawadi yake ya Tsh 2000/= kwakuwa alianguka na kufariki dunia huku mshindi wa pili akiwa hoi
Nimecheka sana....afu ukishalewa akili inapungua kufanya judgementHili tukio linanikumbusha 31.12.2012. Jamaa alidai anaweza kunywa bia za Banana kumi ili hali tayari alishalewa.
Aka ahidiwa elfu 20 kama angeweza kumaliza banana 10, naye bila ubishi akaanza kupiga moja moja.
Alipofikisha ya tisa alitapika complex mixture kali sana, robo saa baadae akafa pale pale.
Bia hakumaliza, 20,000 hakupata, wala mwaka mpya hakuuona.Pombe siyo ndugu yako.
Itakua ni kielelezo cha athari za GoNGo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa ni kuhamasisha na kuhalalisha ngumu kumesa
Mtaniua mm jaman [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna tukio km hilo miaka ya 90 pale mtaa wa amani moro kuna mpiga debe alikunywa gongo kwa mama muuza mpk akazima. Wakamuweka kwenye stoo ya pombe jamaa alipostuka aliona bomba LA mpapai mle ndani akaingiza kwenye dumu LA Lita tano. Asubuhi jamaa wamemkuta kakauka na pombe IPO robot tatu.
Mkuu ndo maana wanasema kunywa kistaarabu.Ukishupalia gambe lazima likutende vibaya sana.Nimecheka sana....afu ukishalewa akili inapungua kufanya judgement
Taifa lisongeje mbele wakati kichwa ni Pombe?Bora wapuuzi kama hawa wapungue taifa libaki na watu wachache ili taifa liweze kusonga mbele!!