Shemeji kama shemeji
Hao dawa ni kutowachukulia serious.
Wakija kwako wakaribishe na mapochopocho kama yoooote lkn ujue kabisa wale sio marafiki zako kwa hiyo uweke mipaka yako.
Sio watu wa kuwakimnilia na kilio kila mara kuhusu mpenzi wako.
Na ni walaji wazuri tu ***** zao.Ukimshirikisha tu shemeji matatizo ya ndugu/ rafiki yake, anajifanya mfariji na kuanza kutengeneza mazingira ya kula kimasihara.
Unauaaa...kwa njia hii utadumu sana kwa dunia hii.No stress.No "sonona".Hao dawa ni kutowachukulia serious.
Wakija kwako wakaribishe na mapochopocho kama yoooote lkn ujue kabisa wale sio marafiki zako kwa hiyo uweke mipaka yako.
Sio watu wa kuwakimnilia na kilio kila mara kuhusu mpenzi wako.
Maisha yenyewe ya kuchukuliwa serious Yako wapi?Unauaaa...kwa njia hii utadumu sana kwa dunia hii.No stress.No "sonona".
Nacheka kwa sauti.Na ni walaji wazuri was kimasikhara?Wachezaji wa akiba (subs).Wapewe ulinzi...?Na ni walaji wazuri tu ***** zao.
Nimepata kitu hapa atii...Maisha yenyewe ya kuchukuliwa serious Yako wapi?
Ndo kawaida ya shetani anakukana mchana kweupeMbona nipo na shetani hapa, anasema ni jamaa mwenyewe tu na tamaa zake
Principle ya mashemeji, ukiwa mchepuko watahakikisha kati yao hakuna anaekutokea tena. Kwenye party mke wa ndoa akiwepo, usishangae wakakupita bila salamu.
Shemeji kama shemeji uwiii,sikuwahivhata kuwauliza chochoteWewe sasa ndio ulifanya la maana. Mambo ya mahusiano yako unatakiwa upambane nayo mwenyewe, ukikaa kusubiri mashemeji tukuambie utasubiri sana. Sisi wenyewe tuna matatizo yetu kibao yanatushinda. Lazima tukunafikie ili tuendelee kuvuna benefits huku tukisubiri kama ukishtukia mchezo mkaamua kulisanua sisi tuna side na ndugu yetu
Think againMnajitoa sana katika hilo utadhani mtu akiliwa kuna asilimia ya malipo inakuja kwenu...
Duuuuuuh hii hatareeeh shost, ila nimekumbuka hapa hadi nacheka,Ukute mashemeji hasa marafiki hawana hela wanamtegemea kwa kila bwana ako wanakuwa chawa kuzidi baba Levo
Wambea unachoongea washapeleka kwa mhusika
Haya mashemeji katombweni nyie kama sie tunafaidi
Kuhusu niniThink again
Umekumbuka niniDuuuuuuh hii hatareeeh shost, ila nimekumbuka hapa hadi nacheka,