Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

Hao ni mashemeji wa mume, hebu siku moja ututafutie na tabia za mashemeji wa mume hasa wale wa kike ndio utashangaa vizuri. Yaani rafiki au ndugu wa kike wa mke au girlfriend.
Hao wanaliwaga😅😅😅
 
Kikubwa kwetu mashemeji mtu/watu waliwe.tupo tayari kuplay part yoyote unafiki,usiri,uongo ilimradi mliwe tu SIMPLE
 
kikubwa kwetu mashemeji mtu/watu waliwe.tupo tayari kuplay part yoyote unafiki,usiri,uongo ilimradi mliwe tu SIMPLE
Mnajitoa sana katika hilo utadhani mtu akiliwa kuna asilimia ya malipo inakuja kwenu...
 
Mnajitoa sana katika hilo utadhani mtu akiliwa kuna asilimia ya malipo inakuja kwenu...

Lakini mkuu hebu tushauriane kitu. Suppose mimi ni shemeji yako. Na najua kabisa jamaa ana mademu wengine kibao nje. We unataka mi nifanye nini??

Maana sometimes hata nikikuambia kwanza unaweza usiniamini, au ukaenda kumuambia jamaa kwamba nimekuambia hivi na hivi mwisho mi nikaonekana mbaya na ukatuharibia undugu bure...!

Lakini pia siwezi kuacha kukuchangamkia pindi tukikutana maana wewe ni shemeji yangu (mmojawapo). Na hiyo tunafanya kwa mashemeji wote so usijisikie vibaya kwamba ni wewe tu. Sisi kama mashemeji kwakweli mnatulaumu bure tuu nyie pambaneni na hali zenu.
 
nimekaa kama wiki hivi kupitia umafia wangu nkajua alikuwa analeta vitoto vya chuo nyumbani na yenyewe yanajua kabisa na yanajichekesha shemeji shemeji nyingi,

Wewe sasa ndio ulifanya la maana. Mambo ya mahusiano yako unatakiwa upambane nayo mwenyewe, ukikaa kusubiri mashemeji tukuambie utasubiri sana. Sisi wenyewe tuna matatizo yetu kibao yanatushinda. Lazima tukunafikie ili tuendelee kuvuna benefits huku tukisubiri kama ukishtukia mchezo mkaamua kulisanua sisi tuna side na ndugu yetu 😀
 
3. Shemeji mlinzi, hii tabia ni karibia ya wote, siipendi, labda yupo na jamaa akimaliza kuongea na mtu wake kwa simu shemeji anapewa simu asalimiee cha kwanza kwa shemeji kukisikia ni "mambo shem usijali tunakulindia"
Kuwa na amani Shemeji, si unanielewa Shem? Mimi huyu Nina mmudu kabisa, wewe relax, niachie Mimi. Tunamalizia maongezi tu anarudi sasa hivi.
 
Kuwa na amani Shemeji, si unanielewa Shem? Mimi huyu Nina mmudu kabisa, wewe relax, niachie Mimi. Tunamalizia maongezi tu anarudi sasa hivi.
😂😂😂😂 Hivi mnajua kama huwa mnakera? Au mashemeji zenu mazombie ndio wanapendaga hayo maneno?
 
Wewe sasa ndio ulifanya la maana. Mambo ya mahusiano yako unatakiwa upambane nayo mwenyewe, ukikaa kusubiri mashemeji tukuambie utasubiri sana. Sisi wenyewe tuna matatizo yetu kibao yanatushinda. Lazima tukunafikie ili tuendelee kuvuna benefits huku tukisubiri kama ukishtukia mchezo mkaamua kulisanua sisi tuna side na ndugu yetu 😀
Ishu hata sio kutaka mashemeji waseme, nami sitaki hata mtu aniambie habari za mtu wangu....

Ishu ni ile kiherehere mingi ya mashemeji, shemeji tunakupenda, tunakulindia kwani mi nimewatuma? mashemeji mjifunze kutulia.
 
Ishu hata sio kutaka mashemeji waseme, nami sitaki hata mtu aniambie habari za mtu wangu....

Ishu ni ile kiherehere mingi ya mashemeji, shemeji tunakupenda, tunakulindia kwani mi nimewatuma? mashemeji mjifunze kutulia

Yaani kiherehere ndio karakataristik kuu ya kua shemeji, hatuwezi kuacha. Ni sawa utake mawifi wasiwe na gubu 😂😂
 
Hao dawa ni kutowachukulia serious.

Wakija kwako wakaribishe na mapochopocho kama yoooote lkn ujue kabisa wale sio marafiki zako kwa hiyo uweke mipaka Yako.

Sio watu wa kuwakimnilia na kilio kila mara kuhusu mpenzi wako.
Ukimshirikisha tu shemeji matatizo ya ndugu/ rafiki yake, anajifanya mfariji na kuanza kutengeneza mazingira ya kula kimasihara.
 
Back
Top Bottom