Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

Hao dawa ni kutowachukulia serious.

Wakija kwako wakaribishe na mapochopocho kama yoooote lkn ujue kabisa wale sio marafiki zako kwa hiyo uweke mipaka yako.

Sio watu wa kuwakimnilia na kilio kila mara kuhusu mpenzi wako.

Haka ka ushauri nimekabeba
 
Mi huwa nawachana tu,nawaambia msinipambe huku mnajua uovu wa mwenzenu,nawaambia simple huku nacheka
So hakuna wa kunipamba wala hakuna nnaemshobokea,kila mtu apambane na hali yake,eboo!
 
Hao dawa ni kutowachukulia serious.

Wakija kwako wakaribishe na mapochopocho kama yoooote lkn ujue kabisa wale sio marafiki zako kwa hiyo uweke mipaka yako.

Sio watu wa kuwakimnilia na kilio kila mara kuhusu mpenzi wako.
Unauaaa...kwa njia hii utadumu sana kwa dunia hii.No stress.No "sonona".
 
Wewe sasa ndio ulifanya la maana. Mambo ya mahusiano yako unatakiwa upambane nayo mwenyewe, ukikaa kusubiri mashemeji tukuambie utasubiri sana. Sisi wenyewe tuna matatizo yetu kibao yanatushinda. Lazima tukunafikie ili tuendelee kuvuna benefits huku tukisubiri kama ukishtukia mchezo mkaamua kulisanua sisi tuna side na ndugu yetu
Shemeji kama shemeji uwiii,sikuwahivhata kuwauliza chochote
 
Ukute mashemeji hasa marafiki hawana hela wanamtegemea kwa kila bwana ako wanakuwa chawa kuzidi baba Levo
Wambea unachoongea washapeleka kwa mhusika
Haya mashemeji katombweni nyie kama sie tunafaidi
Duuuuuuh hii hatareeeh shost, ila nimekumbuka hapa hadi nacheka,
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom