adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,628
- 34,121
Hapa ni kugusa na kubusu sio kuabudu
Hapa ni kugusa na kubusu sio kuabudu
Hata wewe unaongea mambo ya ajabu hivi?Shida ya maji imeanza Leo ?
Chimbeni visima acheni kulalamika
Wanaona washamaliza maishaWakipewa ubwabwa Nazi nikuja kutema pumba
Tanzania ulivyo pang'ang'a,uchimbe visima kukidhi mahitaji ya dar?.. ndiyo maana jk alimuachia magu amalize mradi wa bwawa la kidunda morogoro,Ili lihudumie Moro,dar na pwani,karukaruka tuKule bwawa la mwl Nyerere kwani wameyachepushaje maji mkuu?
au haiwezekani pia kuchimba visima vikaelekezwa kwenye mabomba yanayo-supply maji kwenye majiji kwa kuyasukuma na pump!
Ngojea tuwachie wahandisi wetu
Majinn hayaogagi bhana😂.Kwani nyinyi ni lazima kuoga
Bado hujasemaHapa ni kugusa na kubusu sio kuabudu
Ulitaka mashehe waseme nini?
Watakua wapo busy wanadumisha amani mkuu, watatumia amani kuoge,kupika, kunywa na kufanya usafi, tuendelee kulinda amani jamani
Sheikh wewe kata watu vichwa maji hayakuhusu.Hujaelewa kitu😂😂
Kumbe swahaba anaabudiwa Kama Mungu?Huyo ni swahaba
Huyo ni swahaba
Tufanye makisio ....kama yesu ndiye Mungu je Muhammad ni nani ?Ndiyo mafundisho ya Nabii wako Tito?