Duh,
Hatari sana.
Yule mzee wa kukata vichwa na kundi lake wanajali "amani" tu. Kikubwa mtu wao asiulizwe juu ya shida za wananchi
Duh,
Kwahiyo unajisifia kuwa na shida ya maji?Shida ya maji imeanza Leo ?
Chimbeni visima acheni kulalamika
Acha uzwazwa kutumia maandiko ya Kiislamu baadhi kwa manufaa binafsi .Wanafiki sana mafundisho ya Mtume yamenyooka sana ,lakini huwezi sikia wakiyasimamia kwa apa
Tatizo la miaka 64 mnatumia kama nyenzo ya propaganda kumuangushia mtu mmoja unaona sawa ?Kwahiyo unajisifia kuwa na shida ya maji?
Wewe unaona ni sawa kuwa shida na shida ya maji miaka 64 baada ya Uhuru? CCM imetawala kipindi chote hicho cha miaka 64 bila mbadala. Wameanza babu zao,wakaja baba zao na mama zao,sasa ni wajukuu zao na ndugu zao.ni wale wale hawawezi kukwepa kuwajibika.Tatizo la miaka 64 mnatumia kama nyenzo ya propaganda kumuangushia mtu mmoja unaona sawa ?
Shida sio kusema Kuna shida ya maji bali jinsi watu wanavyokuza na kulitumia Hilo tatizo kinyume na uadilifu kana kwamba miaka yote kabla ya hapo hatukuwanalo hili ni geni.
Hahahahahahahahahahahaaaaaaa unachambiaje mawe mkuu??WANAKUBIA KUWA UISLAMU UMEKAMILIKA ...SASA HIVI WANACHAMBIA MAWE WAKIENDA CHOONI KAMA ALIVYO ELEKEZA MUDI BOY MTUKUFU WA DARAJA
Wamefanya fitna na taharuki kwenye maji.Watakwaambia ni hujuma ya TEC
Sa100 mitano tena uwongo?Ila maji changamoto sana,,asubui tu ishakatika Elfu Tano kwajili ya maji,Tena ya kisima yasio na Radha aisee
Hatuna amani, tupiganie amaniAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Wakipewa ubwabwa Nazi nikuja kutema pumbaWatu wanarubunika kwa ubwabwa wa shibe moja unategemea wataongea nini
Si kwamba najiweza mkuu, familia na unakuta mnataka kufua,Sa100 mitano tena uwongo?
Wengine walifika mbali wakasema “mama hatuna deni na wewe”,na ushukuru angalao wewe unajiweza kununua maji ya 5K.