Masheikh huko wanasemaje kuhusu shida ya maji?

Masheikh huko wanasemaje kuhusu shida ya maji?

Attachments

  • 20251212_183831.jpg
    20251212_183831.jpg
    78.7 KB · Views: 7
Yaani baadhi yenu nyie jamii!

Kwa hiyo na hali hii ya ukosefu wa kitu muhimu kama maji bado mmeshikamana kindakindaki na huyu mwanamke?hakika ujinga mzigo!!!
Kama mnatambua umuhimu wa miundo mbinu ya raia mbona mliiharibu ?ina maana msinge zuiwa hata hiyo miundo mbinu ya maji mnayo lalamikia mngeiharibu.
 
Kama mnatambua umuhimu wa miundo mbinu ya raia mbona mliiharibu ?ina maana msinge zuiwa hata hiyo miundo mbinu ya maji mnayo lalamikia mngeiharibu.
Chief,sipo hapa kubishana na wewe ninachotaka kukwambia ni wewe na watu mfano wako jifunzeni kuangalia mambo nje ya box mlilojifungia na obviously ni box la dini.

Hampo salama kiasi hiko najua hapo ulipo deep down unajua mambo yanavyoenda ilibidi isiwe hivi but unajifariji kwa sababu mwenzetu tutaenda hivi hivi ukidhani kuna watu wanakomolewa kumbe juhudi unazofanya wewe kujikokota na hii hali ndiyo hizo hizo wanazozifanya unaohisi wanaumia zaidi,tunateketea bila kujali hizo dini zenu fungueni vichwa hivyo.
 
Si kwamba najiweza mkuu, familia na unakuta mnataka kufua,

Hii changamoto ilitakiwa itatuliwe tangu Nyerere, magufuli,mkapa,
Wa sasa ilitakiwa afanye umaliziaji tu....hivi kwa mfano msimu mzima wa mvua za masika maji asilimia kubwa ya MTO Ruvu yanaenda baharini, kiasi kidogo tu ndio tunakivuna kwa matumizi yetu,

Sasa kunashindikana nini labda kukatengenezwa bwawa kubwa tukawa tunayavuna yakasaidia kipindi cha kiangazi
Hayo maji ya mengi ya mto ruvu utayavunia wapi ukiacha pale ruvu?
 
Waislamu wanaweza kuwa na changamoto zao Ila kwa dar sahivi misikiti yao inasaidia wananchi kupata Maji .

Hilo nawapa hongera.

Then waisilamu sio kwamba ni vilaza Ila kuna Vilaza nao ni waisilamu .
 
Hayo maji ya mengi ya mto ruvu utayavunia wapi ukiacha pale ruvu?
Kule bwawa la mwl Nyerere kwani wameyachepushaje maji mkuu?
au haiwezekani pia kuchimba visima vikaelekezwa kwenye mabomba yanayo-supply maji kwenye majiji kwa kuyasukuma na pump!
Ngojea tuwachie wahandisi wetu
 
Sijajua taratibu za kuchima VISIMA zipoje Ila naona hii ndo njia nzuri na ya uhakika watu kumiliki visima vyao .
 
Huwezi kumuita Mtume Muhammad (pbuh) kuwa ni Muddy boy...Halafu kuna ushahidi wa kutosha wa haya niliyoyaandika kuhusu Lwiva

View attachment 3515116
Usichokijua (unakijua but uta-pretend hukijui) anachofanya huyu ni tone tu ktk bahari kwa wanachofanya wenzako kwenye imani yake,na niwapongeze mods wapo fair sana kwenye mijadala inayojikuta imeegemea kwenye hizo dini zenu.

Vumilianeni mimi naona yote yanavumilika,la msingi liwe tunaondoka vipi kwa watawala mfano wa sa100 na ccm yake?
 
Back
Top Bottom