Masheikh huko wanasemaje kuhusu shida ya maji?

Tatizo lako unatumia maneno yako bila ushahidi wa maandiko wapi waliposema kuwa Yesu asemapo mwana anamaanisha mwili na akisema baba anamaanisha nafsi yake
Na kama baba ni roho na mwana ni mwili na roho mtakatifu tuseme ni nini?
Dini zililetwa kwa viumbe wenye akili siyo vichaa unajua kwa nini ? Wewe unashindwa kutumia akili .... nimesha kuonyesha sana na nikakuambia kasome upya injili zote kwa kuzingatia fafanuzi yangu ....ndiyo maana yesu anasema alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata yohana mbatizaji anamshuhudia yesu kuwa 👉 ajaye nyuma yangu ni mkubwa kuliko mimi kwa maana alikuwako kabla yangu .....yohana mbatizaji kimwili alizaliwa miezi 6 mbele ya Yesu ....soma injili yote inathibitisha haya ninayo fundisha ambayo hata wakristo wa makanisani awayajui bali wanadanganywa na mitume feki kama mlivyo danganywa nyinyi na muhammad ambaye alikuwa hajui hata NENO MTUME NI NINI ?
 
Wanasubiri TEC wajadili hii hoja ya msingi ndio wakurupuke kama nguruwe kapigwa na rungu.
 
Ni wapi Yesu alikwambia nilipotawazishwa mavi nilikuwa ni mwili na nilipokamatwa na kijana aliyekuwa uchi pale kwenye vichaka vya Gesthemane nilikuwa nafsi , au hayo ni mafundisho ya Nabii wako Tito?
Hata wewe ni mwili na nafsi ...tofauti ni kwamba
1) wewe ni nafsi ya binadamu kwenye mwili wa binadamu.
2)Yesu ni nafsi ya Mungu kwenye mwili wa binadamu....usio na nafsi ya binadamu .
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi mbili ndani ya mwili mmoja)
 
Dini zililetwa kwa viumbe wenye akili siyo vichaa unajua kwa nini ? Wewe unashindwa kutumia akili .... nimesha kuonyesha sana na nikakuambia kasome upya injili zote kwa kuzingatia fafanuzi yangu ....ndiyo maana yesu anasema alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata yohana mbatizaji anamshuhudia yesu kuwa 👉 ajaye nyuma yangu ni mkubwa kuliko mimi kwa maana alikuwako kabla yangu .....yohana mbatizaji kimwili alizaliwa miezi 6 mbele ya Yesu ....soma injili yote inathibitisha haya ninayo fundisha ambayo hata wakristo wa makanisani awayajui bali wanadanganywa na mitume feki kama mlivyo danganywa nyinyi na muhammad ambaye alikuwa hajui hata NENO MTUME NI NINI ?
Kwa nini nisome Injili kwa kuzingatia fafanuzi zako? Wewe ni nani katika fini yenu? Unasema Mtume alikuwa hajui maana ya utume je,wewe unajua maana ya utume?
 
Ili uone ninacho eleza ni sahihi au la ....ukisoma kwa kuzingatia fafanuzi yangu maana yake unatazama kama zinaleta migongano au zinaleta unyoofu ...nikama kufanya proof kwenye mathematics
 
Kwa nini nisome Injili kwa kuzingatia fafanuzi zako? Wewe ni nani katika fini yenu? Unasema Mtume alikuwa hajui maana ya utume je,wewe unajua maana ya utume?
Hata wakristo mamboleo hawajui maana ya MTUME ...mimi ningekuwa sijui nisinge toa hii hoja ...kama Muhammad angelikuwa anajua maana ya mtume au mitume basi asinge toa hii kahuri 👉WAISLAMU NDIO UMA BORA KULIKO NYUMA ZOTE.😁😁kii kahuri niliwai kumpiga nayo muislamu mmoja hapa JF alikimbia uzi sijui ni nani au Malaria 2 sikumbuki vizuri 😁
 
Alisema mwana hajui ila baba yaani mwili wake haujui ila nafsi yake ....Yesu asemapo mwana umaanisha ule mwili wake na asemapo baba umaanisha nafsi yake ....soma fafanuzi nilizo kupa nyuma .. wewe unashida ya kuunganisha logic ...nimekufafanulia vizuri huko nyuma kuwa neno Yesu ni mambo mawili
1)Mwili(yaani mwana)
na
2)Nafsi(yaani baba)
SASA YESU ANASEMA .. 👉👉MWANA HAJUI ILA BABA.
Wana vichwa vigumu, reference angalia masheikh wao ambao ndio wanawaongoza
 
Dini zililetwa kwa viumbe wenye akili siyo vichaa unajua kwa nini ? Wewe unashindwa kutumia akili .... nimesha kuonyesha sana na nikakuambia kasome upya injili zote kwa kuzingatia fafanuzi yangu ....ndiyo maana yesu anasema alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata yohana mbatizaji anamshuhudia yesu kuwa 👉 ajaye nyuma yangu ni mkubwa kuliko mimi kwa maana alikuwako kabla yangu .....yohana mbatizaji kimwili alizaliwa miezi 6 mbele ya Yesu ....soma injili yote inathibitisha haya ninayo fundisha ambayo hata wakristo wa makanisani awayajui bali wanadanganywa na mitume feki kama mlivyo danganywa nyinyi na muhammad ambaye alikuwa hajui hata NENO MTUME NI NINI ?
Unapoteza muda na huyo, hawataki kutumia akil,kashamezeshwa na muhamad,kuwa Yesu ni mtu tu
 
Hata wewe ni mwili na nafsi ...tofauti ni kwamba
1) wewe ni nafsi ya binadamu kwenye mwili wa binadamu.
2)Yesu ni nafsi ya Mungu kwenye mwili wa binadamu....usio na nafsi ya binadamu .
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi mbili ndani ya mwili mmoja)
Hii elimu wanaijua wachache , nikupe hongera
 
Wewe hizo fafanuzi zako unazitoa wapi mbona huzithibitishi kwa maandiko
Soma ...maandiko haya semi Yesu ni 👉Mfalme
Maandiko hayasemi yesu ndiye atakaye👉 hukumu ulimwengu
Maandiko hayasemi 👉yesu anakwenda kuandaa makazi mbinguni .
 
Attachments

  • Screenshot_20251215-223950_Biblia Takatifu (Swahili Bible).jpg
    Screenshot_20251215-223950_Biblia Takatifu (Swahili Bible).jpg
    133.4 KB · Views: 9
Washatunza chakula kwani? wana kilo ngapi stock?😛😛😛
 
Kumbe kuna Mfalme aliye juu yake yeye Luka 22:29
Kichwa panzi wewe ...baba =nafsi ya Yesu ...
Baba yangu ni mkuu kuliko mimi ....maana yake nafsi yake ndiyo kuu kuliko ule mwili wanao huona...nilikuambia mwili wa yesu ndiyo mwana na nafsi ya yesu ndiyo baba ...tumia akili.
 
Back
Top Bottom