The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,366
- 27,357
Ndiyo nikamuuliza huyo,wapo watu waliandamana wakidai maji hakuna?Aliyefanya vurugu ni aliyeiba uchaguzi, kuteka na kuuwa watu
Tumsubiri tuone jibu lake labda atajua ameteleza kumbukumbu zimemtoka.