The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,677
- 20,672
- Thread starter
- #121
Una akili za kigaidi gaidiNyie mbona mna akili za kijinga, hivi ikikosekana amani hata maji hakiwepo mtachota ? Acheni hila kama Wanawake wajawazito.
Una akili za kigaidi gaidiNyie mbona mna akili za kijinga, hivi ikikosekana amani hata maji hakiwepo mtachota ? Acheni hila kama Wanawake wajawazito.
Kasome kasome kasome injiliWapi Yesu alisema yeye ni mfalme
Ametayyamam...😅😅🤣Leo umetawazia mchanga
Allah mnamuita Mungu nanyi eenh? Ana mikono,Ana Nyashi akikalia Harshi dawa, Ana mguu mmoja, hana roho Sanamu hahahaha. Mungu wetu ni Holly according to Quran na Asiye na Dhambi ni Mungu tu pekee. Allah ana midhambi kibao as per Quran alishatuhumiwa na Iblisi kwa kumsingizia na kumpa adhabu ya Malaika wakati yeye si Malaika. So Only Jesus anashika tittle ya Mungu, Allah hata kuumba hajui zaidi ya kujidai tu hana ushahidi na anavyodai kaummba eti ''kumfaya kun'' alipoelezea ndio kaonesha muongo eti Kamuumba Yesu sawa sawa na alivyomuumba Adam, hata mtoto wa leo anajua ni uongo, Alah hajui hata binadamu kaumbwa na niniNa kwa nini Yesu awe na mwili wakati yeye ni Mungu
Hapana nafsi ya mungu ni mungu na nafsi ya mwanadamu ni mwanadamu ....wewe ukimcha mungu kikamilifu mungu huja na kukaa ndani yako, kitendo cha nafsi ya mungu kukaa ndani ya mchamungu wa kweli ndiyo kinaitwa kujaa Roho mtakatifu.....Kwa hiyo Mungu ana nafsi ya binadamu na ya Mungu
Mbona unajichanganya unasema Yesu ana nafsi mbili ya binadamu na ya Mungu na ghafla unasema nafsi ya Mungu ni Mungu na nafsi ya mwanadamu ni mwanadamuHapana nafsi ya mungu ni mungu na nafsi ya mwanadamu ni mwanadamu ....wewe ukimcha mungu kikamilifu mungu huja na kukaa ndani yako, kitendo cha nafsi ya mungu kukaa mdani ya mchamungu wa kweli ndiyo kinaitwa kujaa Roho mtakatifu.....
Sikusema hivyo ...nafsi mbili ni kama wewe uingiwe na jini moja hapo huo mwili wako unakuwa na nafsi mbili yani nafsi yako na nafsi ya jini (nafsi mbili ndani ya mwili mmoja )Mbona unajichanganya unasema Yesu ana nafsi mbili ya binadamu na ya Mungu na ghafla unasema nafsi ya Mungu ni Mungu na nafsi ya mwanadamu ni mwanadamu
Mbona unamletea kibess Huyo Lwiza?Huwezi kumuita Mtume Muhammad (pbuh) kuwa ni Muddy boy...Halafu kuna ushahidi wa kutosha wa haya niliyoyaandika kuhusu Lwiva
View attachment 3515116
Wanaoga amani
ROHO MTAKATIFU NI KITENDO CHA NAFSI YA MUNGU KUWA NDANI YA MCHAMUNGU ....HIVYO ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU (MAANA YAKE NI MUNGU YULE YULEJe Roho mtakatifu ni Mungu au sio Mungu?
Na je ana nafsi ngapi?
Ndiyo hivyo, ila ikiwa ndani ya mwili wa Yesu jina lake ni Roho(nafsi) ya Mungu ila inapokuwa ndani ya mwanadamu mwenye nafsi ya binadamu inaitwa roho mtakatifu...ni kama Omary akiwa ana endesha gari anaitwa dereva na akiwa ana endesha ndege anaitwa Rubani ila ni yeye huyo huyo OMARY siyo nafsi 2 wala 3 ni nafsi hiyo hiyo moja 1 ... kasome injili upya utaona kwa nini Yesu aliongea mambo mnayo dhani yana pingana kumbe yame nyoka ...Yesu asemapo mwana wa mungu ajui siku ya kiama ila baba ni fumbo aliwafumba wanafunzi wake wakaacha kumuuliza hiyo siku wakidhani maana yake, naye hajui hiyo siku kumbe maana yake MWILI (MWANA) BABA(NAFSI) MAANA YAKE ANAJUA NA ZAIDI YA KUJUA YEYE NDIYE ALIYE YAWEKA HAYO KWA KUWA NI MUNGU ...Kwa hiyo roho iliyomtoka yesu msalabani ndiyo roho mtakatifu maana Yesu si Mungu na roho mtakatifu si ndo roho ya Mungu
Maji na TEC lao ni moja, maji pia hayampendi Samia kwa sababu ya dini yake na Uzanzibari wake ndiyo maana hayatoki.
Alisema mwana hajui ila baba yaani mwili wake haujui ila nafsi yake ....Yesu asemapo mwana umaanisha ule mwili wake na asemapo baba umaanisha nafsi yake ....soma fafanuzi nilizo kupa nyuma .. wewe unashida ya kuunganisha logic ...nimekufafanulia vizuri huko nyuma kuwa neno Yesu ni mambo mawiliYesu alisema wapi kuwa anajua siku ya kiama wakati alisema hajui au wewe ulijuaje kama anajua ila anawafumbia
Tatizo lako unatumia maneno yako bila ushahidi wa maandiko wapi waliposema kuwa Yesu asemapo mwana anamaanisha mwili na akisema baba anamaanisha nafsi yakeAlisema mwana hajui ila baba yaani mwili wake haujui ila nafsi yake ....Yesu asemapo mwana umaanisha ule mwili wake na asemapo baba umaanisha nafsi yake ....soma fafanuzi nilizo kupa nyuma .. wewe unashida ya kuunganisha logic ...nimekufafanulia vizuri huko nyuma kuwa neno Yesu ni mambo mawili
1)Mwili(yaani mwana)
na
2)Nafsi(yaani baba)
SASA YESU ANASEMA .. 👉👉MWANA HAJUI ILA BABA.
Ni wapi Yesu alikwambia nilipotawazishwa mavi nilikuwa ni mwili na nilipokamatwa na kijana aliyekuwa uchi pale kwenye vichaka vya Gesthemane nilikuwa nafsi , au hayo ni mafundisho ya Nabii wako Tito?Swali la chekechea 👶👶👶 neno binadamu ni mambo mawili
1)Mwili
na
2)Nafsi
HIVYO TAMBUA TUNAPO SEMA YESU NI MUNGU MAANA YAKE NI ILE NAFSI SIYO ULE MWILI ...
Neno Yesu ni mambo mawili
1)Mwili na
2)Nafsi
MWILI
Hivyo mwili wa Yesu ndiyo una majina haya
A)Mwana
B)Mwana wa Adamu
C)Mwana wa Mungu
NAFSI
Nafsi ya Yesu ndiyo ina majina haya
A)Mungu
B)Baba
C)Mfalme
D)Roho Mtakatifu.
Usikiapo haya majina ma 4 tambua hapo hautajwi ule mwili bali hapo inatajwa NAFSI YA YESU AMBAYO NDIYO MUNGU ..
Ndiyo maana kilicho kufa msalabani ni mwana wa Mungu siyo Mungu (nafsi) nafsi ya mungu ilitoka hi hai ndani ya mwili wa Yesu msalabani..ndiyo maana Yesu anamwambia yule mtu waliye sulibiwa naye kuwa 👉LEO HII UTAKUWA PAMOJA NAMI PEMA PEPONI ....SASA YESU ALIYE KUFA NA KUFUFUKA SIKU YA TATU NI YUPI ? NA HUYU ALIYE KUWA PEPONI SIKU ILE ILE NI YUPI ? 🤔 TUMIA AKILI ..Mwili ndiyo uliokufa ...je ulikufaje ? Nafsi ya Mungu ilitoka ndani ya mwili wa Yesu na kuuacha mwili bila ya nafsi na huko ndiyo kufa kwa (mwana wa adamu ) au kufa kwa mwana wa Mungu)
SOMO
JE Mungu(Baba) na Yesu na Roho Mtakatifu ni nini?
1)BABA
2)MWANA
3)ROHO MTAKATIFU.
JE UTATU MTAKATIFU UPO ? JIBU NDIYO UTATU UPO ILA SiYO UTATU WA NAFSI 3 ZA MUNGU KWA SABABU MUNGU NI MMOJA NA NAFSI YAKE NI MOJA
Sasa nakuja tena kufafanua utatu wa kweli ni nini ?
1)Baba ni Nafsi ya Mungu mwenyezi
2)Yesu ni mwili wa mwanadamu usio na nafsi ya mwanadamu bali wenya nafsi ya Mungu mwenyewe.
3)Roho mtakatifu ni kitendo cha mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mwanadamu na nafsi ya Mungu Mwenyezi. (Yaani nafsi mbili ndani ya mwili mmoja.
Al-mukheef adriz Bwana Utam Mufti kuku The Infinity Malaria 2 THE BIG SHOW Covax Jagina ngara23
Hela ndogo sana milioni 2 tu unachimba kisima hapa dar es salaamSijajua taratibu za kuchima VISIMA zipoje Ila naona hii ndo njia nzuri na ya uhakika watu kumiliki visima vyao .