Masharti mapya niliyopewa na mama watoto baada ya kurudiana.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,879
155,844
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?
 
duh! Kaz kwel kwel ila usijal ni mwanzo 2uu yeye mwenyewe atakuwa anakuwekea na kukuletea vyote hvyo ucjal kwa sasa jalibu kufuata anachokitaka
 
Maisha gani hayo....

Nwy kwasababu aliyeandika ni wewe nachukulia kwamba unatania maana sidhani kama kuna mwanamke na akili zake timamu anaeweza kutoa masharti kama hayo pamoja n mwanaume anaejua yeye ni mwanaume anaeweza kupewa masharti kama hayo!!!Kama ni kweli kila la kheri maana kakupunguzia vitu vingi vinavyoweza kukuweka bize na kukuepusha na vishawishi!!Bado tu hajataka awe anakaa na simu yako yeye!!!
 
Bujibuji, umeoa au umeolewa? Hebu niweke wazi mwenzio.

licha ya kufukuwa kazi nina miradi yangu midogo midogo, hela ya petroli na kiyoyozi hainishindi.
Mke wangu ametokea kwenye lile kabila linalopenda ngoma kuliko pesa. Tena anajisifu kwenye kichen pate eti amenilisha limbwata, kwake sina ujanja.
 
Hivi we uko siriaz??!Maana napata kazi kupata picha ya mwanaume haswa akiwa anahadithia mkewe anavyojigamba kampa libwata.....landa kweli lakini!!!
 
Nimeyapenda hayo masharti. Yawezekana wewe ulikuwa hau pay attention kwa wife kutwa una brows JF, kutwa waangalia mpira. Mamaa anataka full attention. Saaafi. Magazeti soma huko huko kwenye biashara zako ukiwa home wife anataka kukumiliki.
 
nahisi nimepigwa limbwata la Mogadishu
 
Good!! yafate sababu umejitakia mwenyewe, ungekuwa na kiasi tangu mwanzo yasingekukuta haya
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Bora uchague kufa mkuu...!
 
ah ah ah uncle chelulute,huyo kakukomesha ndo ukome kwenda kula mbuzi kuleeeeeeeeeeeeeee,lkn limbwata kwa mumeo ni pouwa tu,mwambie mi nna ya somalia ukilishwa hiyo kazi yako kukaa ndani tu ukisaga miraaaaaaaaaaaa
 
Kaa nyumbani mpe mapenzi shatashata mkeo, we umerudiwa juzzi tu unajishaua hapa na Jf shauri yako
 
ah ah ah uncle chelulute,huyo kakukomesha ndo ukome kwenda kula mbuzi kuleeeeeeeeeeeeeee,lkn limbwata kwa mumeo ni pouwa tu,mwambie mi nna ya somalia ukilishwa hiyo kazi yako kukaa ndani tu ukisaga miraaaaaaaaaaaa

Limbwata la Somalia na Mogadishu yana tofauti gani?
Jamani tutoto twangu hatujambo?
Usinikumbushe Adam na Eva na mama kulia machozi ya diamond.
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Kama vp mpige chini tu
 
hatujkambo kabisa wamestuka na hii habari kwakweli wamekarisika sana wamesema watamfata untie wamuulize maana utakuwa huwaletei JOJO na vibama tena,pamoja na yale mabumunda ya untie fulooooooooo

Back
Top Bottom