Masharti mapya niliyopewa na mama watoto baada ya kurudiana.

Kwani mchana hutoki? kama anaogopa kuna jambo utalifanya usiku mchana haliwezekani? labda kama anakufungia usiku na mchana, makubwa, utapata wapi hata new ideas? mwanaume hapo yupi na mwanamke ni yupi? pole sana, kuwa makini.
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Umesahau,hakuna Kuingia Fb
 
Ina maana mkeo anayapenda magazeti ya udaku
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Kwa heri ya kuonana, naona hii ndo post yako ya mwisho.
 
Hiyo ni Special Jail....Bujibuji umenikumbusha story hii..
Kuna jamaa alikuwa anasherehekea annivesary ya miaka 20 ya ndoa na mkewe lakini akawa na hudhuni kiasi cha kumfanya mkewe amuulize ni kwa nini hana furaha katika siku hiyo maalum? Jamaa kwa upole akamjibu mkewe kuwa unakumbuka siku ile babako alipotufumania tunamake love kwenye back seat of my car? mke akajibu anakumbuka sana,jamaa akamwambia unakumbuka alinishikia bunduki akasema nichague kati ya kukuoa au nikafungwe jela twenty years? mke akamwambia anakumbuka vizuri...Jamaa akamwambia nadhani nilifanya uamuzi wa makosa,bora ningechagua kwenda jela leo hii (after 20 yrs)ningekua Mtu HURU!!
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Mna watoto wangapi? isije ikawa ulikuwa unashindwa kutimiza shuguli za kuijaza dunia. Lazima kuna sababu??? Sasa ushauri ni kwamba akikisha kila wakati mnafanya...yaani mkiwa sebuleni.. mnafanya.. kabla ya kula...mnafanya... usiku kabla ya kulala...mnafanya.. na asubuhi mnafanya SALA SALA SALA SALA...mwenyezi MUNGU mwenye rehema atamfungua na atakuruhusu uendelee na hayo yote uliyo OUTLINE HAPA lakini kumbukeni GREEN STAR.
 
Hivi unafikiri kwetu sie wanawake hii ni muhimu sana??? pia tunapenda tukae tu karibu na nyie au pembeni yako nimekukumbatia huku tunaangalia Tv, au tuasoma magazetu wote, au tumekumbatiana tu kitandani tunabadilishana mawazo, sio kila wakati ni wakati wa kufanya mkuu
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Ushauri wa bure hebu badili jinsia!
 
anafacilitate kuachana kwenu kwa mara nyingine.
nawe mkataze yale unayojua anayapenda sana.
 
mwambie hakunaga mapenzi ya hivo siku izi....yeye ni mke wake unampenda na atabakia kua mke na vinginevyo vina nafasi yake kwako ila kamwe havitakuwehusha umsahau mkeo..tell her ajiamini..
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Wahi haraka kwa mganga kwani anahitaji kupungwa aondokane na shetani mbaya!!! AU kama anaweza kule kwa mtogole kuna mganga kaja na dawa ambayo humfanya mke kubakia na zana za mumewe anapotoka nje kwenda matembezini ama kazini, lakini halahala zana zikihifadhiwa vibaya na kuliwa na paka ndo inakuwa kalas!
 
Back
Top Bottom