Masharti mapya niliyopewa na mama watoto baada ya kurudiana.

1. Hamna kuingia jf
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune cnn, bbc, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

duh!!!!! Ur wyf noma bj*2....cipati picha pindi utakavyokuwa mpole pindi uko pembeni ya mkeo mnachec sijui marichui...ahahahahahah..poor buji
 
tena nafikiri tamthilia yenyewe ni Love her to death..capital tv
 
fanya kama anavotaka. Nawe mpe masharti yako pia. Akiyaweza basi nawe inabidi uyaweze yake
 
Hivi unafikiri kwetu sie wanawake hii ni muhimu sana??? pia tunapenda tukae tu karibu na nyie au pembeni yako nimekukumbatia huku tunaangalia Tv, au tuasoma magazetu wote, au tumekumbatiana tu kitandani tunabadilishana mawazo, sio kila wakati ni wakati wa kufanya mkuu

Mie nimemshauri kufanya sala uko kwingineko mie sipo soma vizuri utaelewa.....
 
buji,alipokuacha mkeo s ulikuwa na muda wa kutosha zaidi kuingia jf?sasa weka kwenye mzani,kama starehe ulizopata wakati akiwa hayupo na unazopata akiwepo zipi zinazidi.afu fanya uamuzi.tusikushauri hapa afu ukalazwa njaa ukaja na thread za kulia njaa tena.muambie akuongezee limbwata manake huko mtaani hakufai eeh baba.
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

...wewe hujamuelewa mkeo mpaka leo?
ana maanisha unahitajika kutumia muda zaidi na yeye.. kitandani!
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

BjBj pamoja na thread zako zote kuonekana zina mzaha ndani yake I believe kweli unatatizo na wife ila hutaki kulikubali hivyo unajaribu kulikwepa kwa kutania.... I really wish uweze tatua matatizo yako au ujaribu kua muwazi ni kitu gani hasa... Mwanamke hata kama ni mbishi vipi hawezi kupa list ya vitu saba ambavyo mara nyingi ndo maisha ya mwanaume na most ya hivyo vitu ndo vinam-define mwanuaume

Good Luck...
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Kwenye nyekundu hapo ukishaniambia hivyo na uhusiano unakwisha right away maana mie Manchester United is my first love hakuna mjadala.

Hayo mengine kama huyo mkeo kakwambia hivyo basi either alikuwa anakupima kuona una msimamo gani au ameanza kupata ugonjwa wa akili, either way hakufai kama leo kasema hivyo kesho anaweza kukuzuia kuongea na ndugu zako.
 
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?

Na wewe mpe ya kwako mapya. Kwanza yeye afanyi baadhi ya hayo anayokukutaza? ningekuwa mimi ningeendelea kuyafanya hayo mpaka nipewe sababu za msingi (zilizokwenda shule i.e. full of logic). Halafu atahakikishaje kama hauingii tena JF?
 
ebwana shemeji mswahili sana aisee, Jiandae kusoma RISASI, KIU, UWAZI na IJUMAA, then C2C Ndio itakuwa channel pendwa yako, hzo bia huwezi zinywa coz muda wote atataka muwe faragha!
 
Back
Top Bottom