Mashaka yangu na ukocha wa Maximo

Mashaka yangu na ukocha wa Maximo

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
Jamani naombeni wana yanga mje kwa wingi mnitoe hofu yangu pengine yakawa ni mawazo mabaya tu ndo mana nataka wanaomfahamu vizuri Maximo waje watupe data sahihi.

Naomba kujua baada ya Maximo kuacha kuifundisha Taifa stars amekua akifanya shughuli gani nchini kwake Brazil? Je kuna team yyte alikua akiifundisha na mnipe mafanikio ya hyo timu.

Pia ntafrah zaid kama ntapata historia ya mafanikio ya huyu mtu katika tasnia ya football.

Nataka kujua hili ili kutoa mashaka yangu kuwa isije kuwa tz ndo mahala pekee wanapomkubali je kuna mahali pengne popote wanapomuhitaji?
 
Daah mshaanza kuwa na wasiwasi?, huyu jamaa atachemsha mbaya,hana jipya...tusubili.
 
ujue ni napata mashaka mkuu kama alikua kocha wa taifa then karud kwao tena nchi ya weupe akae huko mda wte huo then akubali kurudi bongo kwenye jua kali ivi napata mashaka
 
alifundisha soka kidogo kwenye klabu kama tatu hiv zote akaharibu na kufukuzwa..CV yake ni mbovu kupitiliza,sio rahisi watu wakaiweka humu
 
Maximo kaaacha la maana kuangalia kombe la dunia kwao anakuja kubangaiza huku. Njaa mbaya !
 
Kawaida Yetu Tunawapokea Kwa Mbwembwe Tunawafukuza Kwa Mbwembwe Karibu Maximo Lakini Kipim Chako Msimbazi
 
Wabongo tunajua kujidhalilisha sana, unawezaje kuthubutu kuiita nchi yako eti kwenye jua kali, wakati hali ya hewa yake ni sawa tu na ya baadhi ya sehemu za America na Latin America? Inasikitisha sana kuona hali hii inaendelea sana katika mitandao ya kijamii. Sijui ni nani huyu aliyetupandikiza kasumba hii ya kutokuwa proud na nchi yetu ya Tanzania. Wenzetu wanaitamani kwa hamu na gamu wakati sisi wenyewe tunaiponda!
 
jamani naombeni wana yanga mje kwa wingi mnitoe hofu yangu pengine yakawa ni mawazo mabaya tu ndo mana nataka wanaomfahamu vizuri Maximo waje watupe data sahihi.
Naomba kujua baada ya Maximo kuacha kuifundisha Taifa stars amekua akifanya shughuli gani nchini kwake Brazil? Je kuna team yyte alikua akiifundisha na mnipe mafanikio ya hyo timu. Pia ntafrah zaid kama ntapata historia ya mafanikio ya huyu mtu katika tasnia ya football.
Nataka kujua hili ili kutoa mashaka yangu kuwa isije kuwa tz ndo mahala pekee wanapomkubali je kuna mahali pengne popote wanapomuhitaji?
Swali zuri, hata mapokezi yake yamekaa kiselebriti zaidi kuliko kiufundi... Ngoja tuone.
 
Mpaka afute hii..........kazi anayo!

_MG_0648.JPG
 
Maximo alikuwa anafundisha katimu fulani pale sao paulo ambako kuna tofauti ya madaraja 7 mpaka kufikia ligi kuu. Tumpe muda.
 
SAA 4 ZA MAXIMO NOMA: Aanza kazi kwa mkwara mzito, kila aliyehudhuria mazoezi akitikisa kichwa kumkubali, atangaza wiki nne za hatari na kumpa Tegete majukumu!
 
mambo vp wana jf mm kwa uzoefu wangu nawaelewa wachezaji wetu kwamba kubadili mfumo au kuendeleza mfumo kwa timu zetu za hapa bongo nikazi,je ww unadhani kocha mpya wa yanga je atakidhi matakwa ya wanayanga?
 
Maximo atawajambisha sana na bado.
Endeleen tu mtapopata faham mtakuta Tambwe naye kauzwa kwa "MALI KAULI" kama Okwi na Kapombe.
 
Back
Top Bottom