wauliza jibu tenaKwani yanga tayari washampata maximo?
Acheni unafiki Maximo ni mmoja wa makocha wa kiwango cha juu kupata kufundisha hapa Tanzani, fuatilieni link hii muone kama anafanana na Logarusic au Julio Márcio Máximo - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwani huyo Juma Mwambusi CV zake zikoje! na kafanya nini cha maana katika ulimwengu wa soka!! naomba utuwekee hizo cv za mwambusi tuzione....Kwa jinsi CV ilivyo nyepesi, Juma Mwambusi wa Mbeya City ni bora mara 10000.