Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

images (1)-1.jpeg
 
VIJANA NIWAKUMBUSHE.

Ukishabikia sanaa simba na yanga Akili kichwani zinapungua Automatically bila Kujijua.

Unajikuta muda Mwingi kwenye Ushabiki, mabishano, Kushangilia kusoma nk.

HIZI TIMU ZINATUMIKA KAMA CHOMBO CHA PROPAGANDA CHA SELIKALI

TENGENEZENI FUTURE.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Washabiki wa simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya al ahaly yaan wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao, mangungu na dewji

Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni
Naunga mkono hoja
 
Hata kwenye mchezo wao na Yanga Nov. 2023 waliingia hivi hivi na matokeo yao mifukoni. Kilichowakuta mpaka leo ni historia.
 
Back
Top Bottom