Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,824
- 156,971
Labda tuanze hapa jf kwanza tuheshimiane na tusitukanane kabisaAisee mpaka nimetamani hayo maisha wanayoishi ihamie huku kwetu
Labda tuanze hapa jf kwanza tuheshimiane na tusitukanane kabisaAisee mpaka nimetamani hayo maisha wanayoishi ihamie huku kwetu
Mwaka gani?Walikusanya taka kwenye ile mechi ya kwanza ya Qatar na Ecuador video ikasambaa,ila nafikiria wangekua waAfrica wameokota wangetrend hivi? Au wangeonekana ni kazi yao,,,,Just saying!
Japan ni Moja ya jamii yenye kiwango kikubwa Cha utu na ustaarabu.
Kwao kitu kinachowaunganisha watu ni ubinaadamu tofauti na baadhi ya mijitu itumiayo vitabu vya dini kubagua wengine ambao hawajakunali mafundisho ya vitabu vyao ambao kwao huona binaadamu au mwenzao ni yule anayefuata mafundisho Yao.
Hii inskubaliana na Moja ya nukuu ya mwanafilosofia JEREMI BENTHAM aliyewahi kusema" Watu hawatendi mema au mabaya kwa sababu ya uwepo ama hofu ya Mungu, watu hawafanikiwi au kutokufanikiwa kwa sababu ya kusali Sana au kutobkusali.Kama Mungu asingeluwepo au akawa yupo lakini Hana muda wa kumfuatilia binaadamu bado wengekuwepo watenda mema na watenda mabaya, wangekuwepo matajiri na maskinj nk.
Ukiangalia hili kombe Kuna mijitu imetumia nguvu kubwa na kulifanyabkama ni uenezi wa Imani Yao lakini hawafanyi matendo yoyote tofauti kama hawa kuwatofautisha na jamii nyingine zaidi ya kusema dini yetu ni nzuri Sana njoo huku, kifungu ama sura Fulani inasema hivi Fanya hivi lakini kwao hakuna lolote unapomfanyia tathmini ya Maisha ya kawaida tofauti na ayasemayo kwa mdomo na anavyovaa
Mshaanza.Hao jamaa ndio wanaongoza kwa ustaarabu na tabia nzuri duniani.
Na hapo hawamjui Yesu wala Allah wa Mtume muhammad.
Ila kina sisi wakristo na waislamu ibada nyingii ila tabia mbovuu
Kwahiyo hata aje FBI hawezi kujua muuaji ni naniThey murdered Germany and they made sure no traces were left behind🥲Poor Upinde
Hata ile michuano iliyofanyika kwao kipindi kile walifanya hivi hivi....Hii tabia ni ya kipekee kabisa, heshima ni kitu cha bure. Mpira ulivyoisha tu, wakakusanya taka zilizopo maeneo walipo wao, zote, na kuzitupa kwenye mifuko ya rambo na kutupa mahali pa taka na kuondoka.
Uhusiano wa Qatar na Japan kwa kitendo hiki aisee, itajenga urafiki mkubwa sana kidiplomasia.
Nimejifunza mengi sana kwa maisha ya Japan na nje ya Japan.
🤣🤣🤣🤣 Aise umemaliza kila kitu.👍Hao jamaa ndio wanaongoza kwa ustaarabu na tabia nzuri duniani.
Na hapo hawamjui Yesu wala Allah wa Mtume muhammad.
Ila kina sisi wakristo na waislamu ibada nyingii ila tabia mbovuu
Sie mpaka rais aseme kuwa mwisho wa mwezi kuna usafiKama huwa wanafanya hivyo mara nyingi na sisi hatujajifunza kutoka kwao, basi tuna matatizo sisi
Huenda wangefanya mkuu, sidhani kama wamefanya kwa sababu ya furaha. Bali ndivyo walivyo.Nafahamu kuwa wana tabia nzuri
Jaribu ku imagine kama wangepigwa goli 7-0 huo usafi wangefanya?