KERENG'ENDE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 398
- 31
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe

Mmmh! kama ni kweli basi huyo bwana karibu ataokota makopo......alianza na kung\oa vitasa vya ofisi ya mbunge, sasa kahamia kwenye masumbwi!
Duh, si mchezo!
Ila KND. Kama walizipiga wote ni "celebs", kwa nini heading yako inahighlight M boy (Masha) peke yake?
Inawezekana unajua Masha bado ni kijana yaani mtoto wa mjini labda katika hali ya utani wakamuuliza inakuwaje ung'oe vitasa bana jamaa akaona noma tena mbele ya totoz.Hiyo itakuwa lini? Jenerali hayupo nchini kwa sasa. Halafu Masha pamoja na mapungufu yake hajafikia level hiyo bana, kubishana kupo ila mpaka makonde sidhani kama inawezekana
Am not sure kama hii habari ni ya kweli,Labda ni radio mbao tu hizo.
Ila kama ni za kweli basi ni aibu kwa mr masha
Lakini hiyo kama ni kweli mbona ni mismatch...? Maana Masha ni dogo sana kiumri kwa Jenerali....sasa Jenerali anaweza kweli kwenda head to head na Masha? Si atavurugwa tu mzee wa watu....
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe
hizi ndio lows za JF... unakuja na title iliyo biased; ukiwa mtoa habari then wewe mwenyewe tena unaomba habari tena...Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe
LOL!, are you people serious? au mnachangamsha baraza tu, kama vile namuona ex min..akitanguliza kichwa chake kwanza!
we ni yule cousin yangu? za miaka, shangazi hajambo?