Masha, Jenerali Ulimwengu wazichapa

Status
Not open for further replies.
The Invisible keshasema Jenerali hayupo nchini. So what the fuss guys?! Stop tormenting ur grey matters!
 
The Invisible keshasema Jenerali hayupo nchini. So what the fuss guys?! Stop tormenting ur grey matters!

Ebu nawe!....don't cut short our entertainment, it's been a long election, we need smile a bit!
 
ni tetesi yawezekana ama la
tusubili yatatoka hewani tu kama ni kweli

mapinduziiiii daimaaaa
 
Hiyo itakuwa lini? Jenerali hayupo nchini kwa sasa. Halafu Masha pamoja na mapungufu yake hajafikia level hiyo bana, kubishana kupo ila mpaka makonde sidhani kama inawezekana
Nilikutegemea baada ya taarifa hii, thread hii ya uzushi, ingeshatendewa stahili yake!
 
Gazeti la habari leo limechapisha habari kuwa waziri aliyepigwa chini kisha kwa hasira akaenda kung'oa vitasa na kuondoa fenicha za ofisi ya mbunge anayeitwa Lau Masha a.k.a Bitozi amezichapa kavukavu na Mwandishi wa habari nguli hapa nchini Jenerali Ulimwengu.
Mwenye habari kwa kirefu atujulishe
 
ww ndio unatupa habari then unataka sisi tukupe habari zaidi. Usilete vitu nusu nusu hapa otherwise you may keep your mounth shut
 
Mh hebu leta habari kamili, kama ni kweli bac huyu waziri wazamani atakuwa amepata matatizo ya ubongo baada ya kukataliwa na wananchi wa nyamagana .

Ndugu zake wa karibu wamuwaishe milembe kabla mambo hayajawa magumu zaidi.
 
maana yake ni kwmb kuna wanajf ambao huenda waliona tukio live, hivyo wanaweza kutuhabarisha zaidi, msilaumu kila kitu wakuu. sasa wakijitokeza walioona na wakaweka mambo hadharani sijui mtakuwa wageni wa nani!
 
huyu shoga alipigana amepigwa???masha anaweza kurusha hata ngumi embu mtake radhi sema masha amepigwa tunaomba rekebisha kidole cha habari
 
maana yake ni kwmb kuna wanajf ambao huenda waliona tukio live, hivyo wanaweza kutuhabarisha zaidi, msilaumu kila kitu wakuu. sasa wakijitokeza walioona na wakaweka mambo hadharani sijui mtakuwa wageni wa nani!

Kweli kabisa watu bana.......... Yaani labda mtu kasikia kapata tetesi sasa anataka confirmation.... Watu badala ya kushukuru wanalaumu, utafikiri kwamba huyu mdau wanamlipa kuleta habari.... Watu Bana.... Kweli kazi ipo.
 
Hebu acheni kufagilia upuuzi! Kama amesikia anataka na sisi tuwe tumesikia? Kama "akisikia" mkewe yuko na rev Masa angekuja JF kuandika. This is not a smart movie at all.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom