Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
Wakuu,
Kwa macho yangu,
Naona huyu mtangazaji wa kipindi cha Genge cha E_F.M radio anayejiita #Kicheko analandana sana na yule
#Masawe_Mtata aliyekuwa kwenye kikundi cha Ze_Comedy ya EATV,
hasa segment ya "Mazuzu".
Kwa wanaofahamu naomba wanijuze,
Huyu ni mtu mmoja kabadilisha jina?
Au ni watu wawili tofauti wamefanana tu?
Picha Chini: