Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

Angevaa sendo na joho leupe kama nabii tito bado tu ungesema
 
"E="Savimbi Jr, post: 33457818, member: 55316"]
Wapi nimesema anauza unga au freemason?
[/QUOTE]"we ni mchawi jiangalie vizuri utaanza kuwanga muda si mrefu
 
The Icebreaker,
Mkuu ukisoma comment za watu humu utagundua kuna watu wana roho za korosho sana.. simtetei masanja ila mtu mzima tena kidume kabisa unaanzaje kumkandia mwenzako kisa sijui kavaaje mara kaenda marekani unaingizia story mara anauza unga mara shoga dah! Sasa mtu kama huyu anatoboa vipi kimaisha maana haangalii ya kwake anaumia roho kisa fulani kafanikiwa? until proven otherwise Masanja endelea tu kupambania life yako achana na hawa maboya wenye muda wa kuwaza upuuzi.
 
Nimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?

Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.

View attachment 1260760
Shida ya vazi ipo kwenye aina ya urembo uliowekwa (its a masonic sign of scul bandana) ndio Maana mleta maada anahoji aina ya kanisa alilotoka, je no Masonic church or Jesus church!
 
Kuna kitu kimejificha nyuma ya "KUUZA MCHELE HEWA" na "UCHUNGAJI WA MWENDOKASI."
Siku zote watu wa chini hatuamini juhudi za mtu aliyetuzidi mkwanja.....ukweli ndo huo lazima yaliyojificha tuyahisi ila hatuna uhakika nayo, wala hatuyajui ni yepi
 
funzadume,
Maskini ndivyo tulivyo ndugu acha kupoteza nguvu nyingi kumwelewesha maskini utajikuta umefanana naye, maana utapoteza muda kujadili maisha ya masanja
 
Nimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?

Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.

View attachment 1260760
Vazi rasmi ni lipi?
Dini gani imelipitisha?
Utakatifu wa vazi ni muhimu kuloko utakatifu wa roho?

Angevaa kanzu nyeupe huku kuna damu za watu zinamlilia mikononi kama wanasiasa wetu ingekuwa sawa?

Ulitaka avae joho na dhahabu?
Ulitaka avae mapete ya bahati kama shehe yahya?
 
funzadume,
Wewe ni Mbweha kabisa hizo machine alizinunua kwa uchungaji kabla hajaanza kulima? Kilimo 50/50 mzee usilete kilimo chako cha facebook na instagram kupiga picha na mshine za mpunga ndio ukajua ni kilimo.
 
Siku zote watu wa chini hatuamini juhudi za mtu aliyetuzidi mkwanja.....ukweli ndo huo lazima yaliyojificha tuyahisi ila hatuna uhakika nayo, wala hatuyajui ni yepi
Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia kamwe usidadaike na uvionavyo,ona shamim zeze alivyokuwa ana hamasisha wanawake wenzake waanze na mitaji ya elfu 10 kama yeye,kumbe nyuma ya pazia ni muuza ngada mkubwa.
 
Nimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?

Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.

Dini ni moja ya biashara inayohitaji mudomo, na mudomo zaidi .. huku ukiwa unataja Mungu, yesu , wokovu, mbingu na vitu kama.hivyo

Huo ni mtazamo wa watu Fulani... Maybe he's one of them
 
Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia kamwe usidadaike na uvionavyo,ona shamim zeze alivyokuwa ana hamasisha wanawake wenzake waanze na mitaji ya elfu 10 kama yeye,kumbe nyuma ya pazia ni muuza ngada mkubwa.
Ata wauza ngada walianza na mitaji midogo ukiachana na wale wenye mkwanja wa kurithi, kuuza ngada si mchezo ule mtaji wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom