minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Ngoja Masanja achanwe humu leo akose usingizi itakuwa funzo kwa wenzie.Tulishasema "wasanii wengi wa Tanzania wanatumika vibaya... na wengi wao hawajitambui hasa wale maarufu!!!"

Yule ni she isKolabo la wasanii wa bongo fleva kumpongeza Mh Rais, limetiwa doa na maneno ya Masanja Mkandamizaji.
1.Eti JPM ndiye Rais pekee duniani anayemuamini Mungu 100%. Hivi ana takwimu gani na Imani za Ma rais? Toka lini kumwamini Mungu imekuwa sifa ya urais hapa TZ? Huyo Mwl. Nyerere anayemsema yeye alisema hata asiyekuwa muumini tutamuapisha kuwa Rais. Hapa Masanja umechemka.
2. Kwamba kwa miaka mitano Mh. Rais passport yake haijachafuliwa na mihuri ya Ulaya kwa maana kwamba hajasafiri toka achaguliwe kuwa rais. Hii Masanja ni aibu kuisema mbele ya wageni hasa Marais walioziwakilisha nchi zao, maana kusafiri kwa rais sio kosa wala kutokusafiri sio jambo la kujivuna mbele ya wageni. Ni kama vile unawapiga vijembe, mimi hilo halijanibariki kabisa.
3. Kwamba hakuna mtu aliyevaa barakoa nalo hukuhitaji kulisema kabisa wakati mbele ya wageni maana hao wageni wamevaa barakoa.
Kibaya zaidi umejisahau kwamba huo sio mkutano wa campaign. Eti unawapiga vijembe wanaopinga mataokeo na kutaka uchaguzi urudiwe na unatumia neno baya sana eti urudiwe huu ni" Uchaguzi wa baba yako"? Mbona Mh. Magufuli katumia hekima wala hakutaka kufika huko?
Wewe kama msanii unatakiwa ujue hadhira unayozungumza nayo, uwe na busara na kiasi. Kujipendekeza kwako kumetia doa wimbo wa wasananii wenzako.
Shida ya Masanja anaona uhai wa watu ni jambo la mchezo mchezo tu. Watu wamepoteza maisha ye anaona comedy .....
Nawahurumia "wapuuzi" wanaoenda kanisani kwake
Yah wasanii wamepiga sana pesa, ata social networks influencers wenye followers wengi walitumika kupiga campaign kwa malipo ya maana,aswa aswa Twitter, kingine msije mkashangaa Masanja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya, maana kasifia vya kutosha tangu kipindi cha campaignnimetafakari nimeona kosa sio tu la Masanja ila alichofanya ndio mambo jiwe anayapenda sana.kwa kifupi jiwe anapenda sifa za kijinga,kina Masanja japo ni wapuuzi ila wana ka ujanja wamepata pakupigia pesa,nasikia wasanii wamezichota sana
Yah wasanii wamepiga sana pesa, ata social networks influencers wenye followers wengi walitumika kupiga campaign kwa malipo ya maana,aswa aswa Twitter, kingine msije mkashangaa Masanja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya, maana kasifia vya kutosha tangu kipindi cha campaign
Kwani kaacha kuuza sembeKolabo la wasanii wa bongo fleva kumpongeza Mh Rais, limetiwa doa na maneno ya Masanja Mkandamizaji.
1.Eti JPM ndiye Rais pekee duniani anayemuamini Mungu 100%. Hivi ana takwimu gani na Imani za Ma rais? Toka lini kumwamini Mungu imekuwa sifa ya urais hapa TZ? Huyo Mwl. Nyerere anayemsema yeye alisema hata asiyekuwa muumini tutamuapisha kuwa Rais. Hapa Masanja umechemka.
2. Kwamba kwa miaka mitano Mh. Rais passport yake haijachafuliwa na mihuri ya Ulaya kwa maana kwamba hajasafiri toka achaguliwe kuwa rais. Hii Masanja ni aibu kuisema mbele ya wageni hasa Marais walioziwakilisha nchi zao, maana kusafiri kwa rais sio kosa wala kutokusafiri sio jambo la kujivuna mbele ya wageni. Ni kama vile unawapiga vijembe, mimi hilo halijanibariki kabisa.
3. Kwamba hakuna mtu aliyevaa barakoa nalo hukuhitaji kulisema kabisa wakati mbele ya wageni maana hao wageni wamevaa barakoa.
Kibaya zaidi umejisahau kwamba huo sio mkutano wa campaign. Eti unawapiga vijembe wanaopinga mataokeo na kutaka uchaguzi urudiwe na unatumia neno baya sana eti urudiwe huu ni" Uchaguzi wa baba yako"? Mbona Mh. Magufuli katumia hekima wala hakutaka kufika huko?
Wewe kama msanii unatakiwa ujue hadhira unayozungumza nayo, uwe na busara na kiasi. Kujipendekeza kwako kumetia doa wimbo wa wasananii wenzako.
Bado hajaelimikaMasanja ana degree ya sanaa na Masters ya Teolojia bwashee!
Kwisha habari yako, naomba tusiambukizane stress za maisha mkuu.Tanzania hakuna Amani kuna uvumilivu tu, Tanzania ni kisiwa cha uvumilivu tu hakuna Amani, hamuwezi kuwa mnawabambikia kesi kesi watu uonevu usiokwisha alafu mseme kuna Amani.