Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Mkuu Shardcole
Siku CHADEMA itakapoingia madarakani kati ya watu watakaoingia katika vitabu vya kumbukumbu ni Kamanda Ben Saanane.Amefanya kazi kubwa ya kuwafichua wasaliti Ben Ni sawa na CIA.Kamanda Ben anapaswa kupewa nishani maalum na CHADEMA kutambua kazi ya kishujaa aliyofanya.