Masaki flats bounce back

Magazeti yetu yanaamini hayauzi bila richmond/lowassa/rostam.
Hivyo mtu mwenye akili yake anaweza kuutwisha uamuzi wa serikali [cabinet decision] kwa mtu mmoja??? basi kama kuna mtu wa kutwisha bora angebebeshwa rais.
mi hata hayo madai siamini vizuri usikute bado ni yeye mwenyewe lowassa katengeneza mchongo mwingine ili jamaa wakilipwa fidia ale %,lowassa hawezekaniki
 
Safi sana acha wahindi wachukue pesa za wakulima watoto wa lowassa hawana shida.. Tanzania hiyo. 8 billion. Huyu mtu anaroho mbaya na ma apartment yake aliyojenga sasa hivi pale kwenye corner ya international school masaki ni mbaya na hatari kuliko hizo za wahindi mara mia. Huyu mtu ni sumu katika taifa, hafai atakuwa balozi wa 10 10. Mwizi, mbadihirfu, mchoyo na mwenye tamaa ya kukithiri.
 
Kumbe alikuwa na mambo yake!! huyu mtu hatufai kabisa, kweli Mwalimu aliona mbali saana jamani,
 
Ni gazeti gani hilo??? maana kuna mwanahalisi naona linachapisha kuhusu lowassa sana na si ajabu kuna hata toleo la june 2010 tayari likiwa na kichwa cha habari cha lowassa

back to the topic, shame on presidaa for choosing a wrong PM
 
Huu utakua mchongo , haiwezekanai Lowassa akainga blindly kubomoa bila kujua italeta hasara gani, hapo hhiyo 8 billion ina mgao mzuri tuu .

MImi nalia na Ruge Mutahaba tuu!
 
Hold on!

Ina maana alivyosema tu libomolewe, basi wasaidizi wake, manispaa husika, n.k vilifuata u amri blindly bila kupinga au kushauri??

Mkuu Wareboya
mimi ntakushangaa sana kama wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, Watu wamechukua EPA kwa vimemo tu, wewe unaweza kuamini Waziri anawaambia Watanzania, kama kula majani basi mtakula lakini ndege ya raisi lazima inunuliwe,
hivi umesahahu ile issue ya bakhresa kumwagiwa ngano yake na kisha kulipwa mamilioni ya pesa, hivi kweli umesaahau amri ya kumuua Kombe ilivyotolewa na kutekelezwa, vipi kuhusu Rada, Richmond je? wataalamu waliikataa hiyo kampuni lakini Waziri akasema ije na ikaja
kuhusu Buzwagi umesahahu mkuu, Raisi akasema kuanzia sasa mikataba yote itapitiwa kitaalamu lakini jamaa (waziri) akabeba makarablasha kwenda UK kusaini mkataba wa ujinga kabisa

HII NDIO BONGO VISIVYOWEZEKANA KWA WENGINE BONGO INAWEZEKANA
 
Kituko,
Sijawahi kusikia juu ya amri ya kumwuua Kombe. Nani aliyeitoa? Na polisi wale
waliohukumiwa nini hatma yao?
 
Mkuu Wareboya
mimi ntakushangaa sana kama wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, Watu wamechukua EPA kwa vimemo tu, wewe unaweza kuamini Waziri anawaambia Watanzania, kama kula majani basi mtakula lakini ndege ya raisi lazima inunuliwe,
hivi umesahahu ile issue ya bakhresa kumwagiwa ngano yake na kisha kulipwa mamilioni ya pesa, hivi kweli umesaahau amri ya kumuua Kombe ilivyotolewa na kutekelezwa, vipi kuhusu Rada, Richmond je? wataalamu waliikataa hiyo kampuni lakini Waziri akasema ije na ikaja
kuhusu Buzwagi umesahahu mkuu, Raisi akasema kuanzia sasa mikataba yote itapitiwa kitaalamu lakini jamaa (waziri) akabeba makarablasha kwenda UK kusaini mkataba wa ujinga kabisa

HII NDIO BONGO VISIVYOWEZEKANA KWA WENGINE BONGO INAWEZEKANA
Kituko... i dont like lowassa to be in Tanzania politics, ningependa zaidi akae na beautiful wife wake atuachie nchi yetu!!! Lakini kwa hili naomba tuwe waangalifu kidogo..
yes he was involved
and yes they consulted relevant authorities, it was not a one day assignment
and yes, Mbunge wa kawe (ritha) ndiye physically alikuwa pale during demolition
and yes, mwarabu aliwatega kwa kuacha vitu vivunjwe akijua kuna insurance
and yes lowassa na watu wake walikuwa wrong
but hell no... he was not alone

tukianza kwa kulaumu baadhi ya maamuzi, basi magufuli hatapona, kiwete hatapona, mwandosya na meli feki za lake victoria nk.

tujadili kwa kina na kupunguza ushabiki...

BTW, hiyo article iko gazeti gani?
 
Mkuu Wareboya
mimi ntakushangaa sana kama wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, Watu wamechukua EPA kwa vimemo tu, wewe unaweza kuamini Waziri anawaambia Watanzania, kama kula majani basi mtakula lakini ndege ya raisi lazima inunuliwe,
hivi umesahahu ile issue ya bakhresa kumwagiwa ngano yake na kisha kulipwa mamilioni ya pesa, hivi kweli umesaahau amri ya kumuua Kombe ilivyotolewa na kutekelezwa, vipi kuhusu Rada, Richmond je? wataalamu waliikataa hiyo kampuni lakini Waziri akasema ije na ikaja
kuhusu Buzwagi umesahahu mkuu, Raisi akasema kuanzia sasa mikataba yote itapitiwa kitaalamu lakini jamaa (waziri) akabeba makarablasha kwenda UK kusaini mkataba wa ujinga kabisa

HII NDIO BONGO VISIVYOWEZEKANA KWA WENGINE BONGO INAWEZEKANA

My question was not so simple my dear,

Lowassa alijuaje jengo limejengwa mahali pabaya? aliletewa taarifa? na nani?
Aliposema libomolewe siyo yeye aliyetafuta contractor wala kushima nyundo, kuna watu walitekeleza, in other words ni system fulani.

Haya yote yanatokea ofisi moja? vibali vilitolewa wapi na hakuna aliyejiridhisha kuuliza kama ni vya kweli au uongo? Leo tunasema Lowassa ila wahusika walioshirikiana na Lowassa wao ni wasafi!!

I believe that and here is my point; kuna CLASS au LAYER fulani ya watendaji fulani serikalini ambao huwa wanatoa taarifa za uongo kwa uongozi au taarifaza uwoga, taarifa za kupikwa, hii layer imekuwa ikiishi vizazi na vizazi na pengine ndio hao wanaenda kuwa viongozi.

I believe wakati Lowassa anawajibika hakutakiwa kuondoka peke yake, ilitakiwa kila mmoja aeleze uhusika wake kwenye hili swal ( au lile richmond), system nzima inabidi iwe inaondolewa, kama mtu alilazimishwa atie sign itajulikana, nchini mwetu kila mtu mzembe na nidhamu za woga ndio zinawafanya mafisadi kuishi, lani wenyennidhamu ya woga ndio catalyst wazuri kabisa wa ufisadi!

Kuna watu fulani tunawaficha na hawaonekani wakitajwa lakini ndio key pleaye wa maufisadi yote. Sisi hoja zetu siku zote zina lenga kumuondoa mkubwa,ili hali jukumu la kujenga na limda taifa hili ni la kila mtu. Kulinda taifa hata ikibidi kufukuzwa kazi!! wasipotokea hawa mashujaa kwenye medium class makazini , ufisadi hautaisha. This is our challenge!

Hupo?
 
Hivi ninyi Lowassa kawakosea nini? Majengo haya si yalivunjwa kwa amri ya Rita Mlaki na Meya wa kinondoni au? Mbona mnawashwa sana na mambo ya Lowassa.

Ok hata kama kaitia hasara serikali ya bil.8 huyu Vasco da Gama wenu anayesafiri kila kukicha anaitia hasara kiasi gani serikali? Acheni mambo hayo bana
 
My question was not so simple my dear,

Lowassa alijuaje jengo limejengwa mahali pabaya? aliletewa taarifa? na nani?
Aliposema libomolewe siyo yeye aliyetafuta contractor wala kushima nyundo, kuna watu walitekeleza, in other words ni system fulani.

Haya yote yanatokea ofisi moja? vibali vilitolewa wapi na hakuna aliyejiridhisha kuuliza kama ni vya kweli au uongo? Leo tunasema Lowassa ila wahusika walioshirikiana na Lowassa wao ni wasafi!!

I believe that and here is my point; kuna CLASS au LAYER fulani ya watendaji fulani serikalini ambao huwa wanatoa taarifa za uongo kwa uongozi au taarifaza uwoga, taarifa za kupikwa, hii layer imekuwa ikiishi vizazi na vizazi na pengine ndio hao wanaenda kuwa viongozi.

I believe wakati Lowassa anawajibika hakutakiwa kuondoka peke yake, ilitakiwa kila mmoja aeleze uhusika wake kwenye hili swal ( au lile richmond), system nzima inabidi iwe inaondolewa, kama mtu alilazimishwa atie sign itajulikana, nchini mwetu kila mtu mzembe na nidhamu za woga ndio zinawafanya mafisadi kuishi, lani wenyennidhamu ya woga ndio catalyst wazuri kabisa wa ufisadi!

Kuna watu fulani tunawaficha na hawaonekani wakitajwa lakini ndio key pleaye wa maufisadi yote. Sisi hoja zetu siku zote zina lenga kumuondoa mkubwa,ili hali jukumu la kujenga na limda taifa hili ni la kila mtu. Kulinda taifa hata ikibidi kufukuzwa kazi!! wasipotokea hawa mashujaa kwenye medium class makazini , ufisadi hautaisha. This is our challenge!

Hupo?
I like this Waberoya... we have a serious systemic problem, and very sad indeed... the culprits are always individualizing issues!!

Ingekua mimi ningesema tatizo ni rais... kwani ndio kichwa cha system
 
There you are; Lowassa haondolewi kwenye hizi tuhuma, atakuwa nazo mpaka mwisho wa dahari ,alipenda kukurupuka na kuto-delegate mambo. However, we must know that , hii vita ya rushwa inaanzia kwa mmoja mmoja tutakaposema NO kwa viongozi wa juu kwa sababu ya kutofautiana nao, basi ndio ukombozi wetu, tutakaposema YES kwa kila kitu hasara zake ndio hizi.Lowassa hayupo deni hili watatukata kwenye mishahara yetu, hasira imekujwa kwani , deni hili walipe hao hao akina Lowassa na alioshirikiana nao.
 
Kama ni kuwajibishwa ujue ni kunyang'anywa madaraka au kuhamishwa kituo cha kazi basi. Hatimae kodi za walalahoi ndizo zilipie fidia hiyo badala ya kupewa huduma muhimu za kijamii. Ndio maana naiota sana China na sheria zake.

supported, kichina china

Kama serikali/halmashauri itatakiwa kulipwa itabidi waliohusika na uzembe ndio walipe ,au hii itashindikana vp!?

kweli sante umetumia neno wahusika wote walipe sio tubebe mizigo kutokan na wao kuwa wa kila kitu 'NDIYO' kwa Lowassa.

Thread hizi naona ziko mbili MOD -mkubwa ammeze mdogo please!
 
There you are; Lowassa haondolewi kwenye hizi tuhuma, atakuwa nazo mpaka mwisho wa dahari ,alipenda kukurupuka na kuto-delegate mambo. However, we must know that , hii vita ya rushwa inaanzia kwa mmoja mmoja tutakaposema NO kwa viongozi wa juu kwa sababu ya kutofautiana nao, basi ndio ukombozi wetu, tutakaposema YES kwa kila kitu hasara zake ndio hizi.Lowassa hayupo deni hili watatukata kwenye mishahara yetu, hasira imekujwa kwani , deni hili walipe hao hao akina Lowassa na alioshirikiana nao.
Mkuu, hizi tuhuma zaweza kufika hadi kwa mimi na wewe... but he is one of the leading character kwenye hili!!

Just one observation though... systems zatu za operesheni bado ziko ki-individual mno na kama lowassa angejua yuko na nani basi si ajabu asingechukua hatua zile; mfano mzuri ni samaki waliokamatwa wakivuliwa isivyo halali wamekuwa samaki wa magufuli
 
Tatizo la maamuzi ya kukurupuka. Angalieni kule Biharamulo mkuu wetu alivyokurupuka kuwafukuza wachina watengeneza barabara kabla ya mkataba wao kuisha, serikali ililipa mabilioni ya pesa. Kwa sasa wapo wachina wengine nimesikia!
 
hayo huwa hayasemwi baba!!! alikurupuka juzi kuhusu TRL pia na leo tumeona sound system tu!!

Nani amesahau kukurupuka kwa daraja la kigamboni na sasa we are counting our blessings with loss of over 50M dollars?

once again, the problem is systemic!!
 
Kuna watu humu huwa wanaamka asubuhi na kusema afadhali Lowassa nagekuwepo! katika watanzania milioni 40, mtu bado anataja Lowassa awe kiongozi!

Nimekuelewa mfano wa samaki, ila ninaamini we have big problem as society, na tukiwez kujua nini hasa tatizo letu mengine yote yatakwenda!
 
Back
Top Bottom