Salute.
Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye hadhi kama lile la manispaa ya kinondoni pale magomeni usalama. Ni hayo tu 👐👐