Mwanashheria njaa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,790
- 2,325
Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba.
---
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka katika eneo la wafanyabiashara wa samani, lililopo Tangi Bovu-Kwa Komba, mkoani Dar es Salaam, huku ikidaiwa kuwa moto huo umeanza majira ya saa nne usiku ambapo uliendelea kuteketeza mali katika eneo hilo hadi majira ya saa sita usiku