Masaa 96 ya uamuzi wa maisha

Masaa 96 ya uamuzi wa maisha

Mmakedonia

Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
21
Reaction score
12
Salam ndugu wote wa JF, naomba kufungua uwanja huu nikiwa nimebakiza masaa 96 tu (siku nne) kufikia kilele cha udahili wa vyuo ngazi ya diploma awamu ya pili.
Niliomba awamu ya kwanza katika vyuo vya serikali nikakosa, nikasubiri awamu ya pili lakini bahat mbaya vyuo vya serikali vimejaa hivyo mfumo haujafunguliwa badala yake tunatakiwa kuomba katika vyuo vya private.
Naomba msaada kama kuna mtu au taasisi itakayoguswa/atakayeguswa angalau kunilipia ada tu ya chuo ili angalau ata nikasome diploma ya udaktari kwani kiukweli mpaka sasa sina mtu wa kuweza kunilipia.
Nimemaliza form six lakin matokeo yangu hayakua mazuri nlkua na division 3 ila kidato cha nne matokeo yangu angalau yalikua mazuri, nlkua na : >Chemistry C
Physics C
Mathematics C
Biology B
Kama kuna mtu atakayeguswa kuweza kunisaidia ata kwa ushauri au kunisomesha nitashukuru sana kwani yamebaki masaa machache tu🙏, Mungu awabariki.
 
Sikushaur ukimbilie MD tafuta kozi za afya nyingne uko private utapata zeny ada nafuu
 
Ingia jeshini kwanza, unaweza kubahatika ukawa rubani wa ndege za jeshi.
 
Mtu anasema kirahisi tu ingia jeshini kana kwamba nafasi ziko wazi anaweza kukuingiza bila kuzingatia maelfu ya vijana wanaorudi nyumbani kila kukicha kwa kumaliza mikataba bila ajira
 
Back
Top Bottom