Mary Chitanda Bungeni

Mary Chitanda Bungeni

Huyo (mwanaume) mwenye tai aliyeko mbele yake ni Makamba nini?
 
Ni aina ya mwanamke wa kiswaa dres code yake imekaa kushoto sana
 
Khaaaaaaaaaa mmefuta baadhi ya comment lol :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down: futeni na hii tena hajui kupaka lipstick
 
chatanda.jpg

Fat as.s
 
ni nani huyu?? :twitch::twitch:

Huyu ndio anayedaiwa kuwa chanzo cha kuvugika kwa taratibu za kuchagua meya huko Arusha.Wajumbe wa CDM hawakuafiki ushiriki wake kwa kuwa yeye ni mbunge kutoka Tanga.Pia ndiye aliyewaambia maaskofu wavue majoho... kuna threads hapa JF zenye detailed information kuhusu huyu dada.Unaweza kusearch prior posts kama hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nda-azua-tena-mvutano-ccm-chadema-arusha.html

Watu wengi walikuwa na hamu ya kuona picha yake kutokana na mkanganyiko mkubwa uliotokea kabla na baada ya sakata hilo lakini kwa kipindi hicho picha yake haikupatikana popote.
 
Tukiacha kuzidi uzito kidogo mama ni mzuri na ana smile genuine na mpangilio mzuri wa meno.Ningependa kumfinya mashavu kwa kuwa naughty girl lol!
 
Inategemea upstairs yuko vipi, kama mweupe hana lolote hata kama angekuwa mzuri kama malaika.
 
Inategemea upstairs yuko vipi, kama mweupe hana lolote hata kama angekuwa mzuri kama malaika.
Watu hawaangalii upstairs,kinachoangaliwa ni mashine tu,kama ni nzuri hata uraisi atapewa tu na kikundi cha wakwale!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom