Marvel Cinematic Universe special thread

All spells zilizotumiwa na dr strange mcu
Eidritch constructs,kutokana na nature ya magic hii eidritch magic inawawezesha akina dr strange kuunda zana yoyote ile wapendavyo iwapo watafocus kuunda chochote watakacho...

Realms manipulations,especially mirror dimension ni eneo ambalo ni domin ated na dr strang na wengine ni eneo linalowapa mwanya wa kucontain threats za enemies wao bila kuleta madhara in real wolrd ,pia ili kuingia na kutoka ndani unahitaji sling ring,pia yote yafanyikayo humu ndani hayahadhiri real wolrd

Flight and levitation ,kwa kuitumia ile cape iitwayo cloak of LEVITATION (levitation means kueleaelea angani) inamuwezesha kufanya both at once

Astral projection,hii ni hali ya kuitoa nafsi yako nje ya mwili wako ambapo dr strange ilikuwa ikimruhusu sehemu ya mwili wake kuwa inactive na spiritual part inakuwa active ,nguvu itumikayo kuingia ktk hii form ni astral force na kitendo cha kuwa ktk hii form ni astral project

Wind of watoomb,huu ni upepo aliotumia kuzima engine ya black order walipovamia new york city kutake time stone pia in end game aliutumia kucontrol floods in battle field kwa kufanya Hydrokinesis...

Image of ikkon,ikkon ni pepo ambalo strange anatumia moja ya power zake ili kucreate hudreds copies of himself to confuse thanos...

Crimson bands of cytorrack,hizi ni kama ropes zenye rang ya crimson ambazo ni za pepo la kuzimu aitway cytorrack hizi alitumia kumfunga thanos mkono wenye mawe ili hasiutumie kwao na hii ilimdhibiti vizur..

Shield of seraphim,hiz ni ngao za duara ambazo zinatumika na dr strang kujilinda na attack zinazokavaa large area mfano wa kati wa black order attack new york wong alisummon hii shield dhid ya miti ilyorushwa na ebony maw pia dr strange wakati wanaingia titan ili kuzuia impact itokanayo landing of q ship alisummon hizi ili watue salama..

Icy tendrils of ikthalon,hizi alitumi a in endgame ni tendrils zenye barafu ambaz alizitumia kuwavuta baadhi ya outrider below the ground na kuwafreeze

Note,hizi spell huwa wanazisoma kupitia vitabuthen wanazipractice mostly ni za mademons ,gods ,angels,elders,ancient witches...

Rings of raggador,hiz alitumia ktk mom kumsaidia chavez dhidi yawanda

Boltz of bakthaak,hizi alizitumia kumuattack thanos randomly ilikumconfuse but it doesnt work ni kama radi zenye fire...infinity war

Taos mandalas shields,hizi hawa akina strange huwa wanatumia mara kwa mara either ku make stance au defence au attack...

Hands of hoogoth,hoggoth nilimzungumza hapo nyuma hii ni mikono ambayo dr strang aliitumia kuchoma jicho la gargantos kiumbe aliyekuwa possessed na wanda..

Sword of vishanti ,watch infinity war hili panga strange alilicreate kwa kuconjure magic kuwa hili panga..

Dr strange ana super power nyingi sana but now is time to sleep next time....
 
Attachments

  • IMG_20250831_174124.jpg
    IMG_20250831_174124.jpg
    539.2 KB · Views: 16
  • IMG_20250831_174144.jpg
    IMG_20250831_174144.jpg
    121 KB · Views: 17
  • IMG_20250831_174506.jpg
    IMG_20250831_174506.jpg
    207.5 KB · Views: 17
  • IMG_20250831_174229.jpg
    IMG_20250831_174229.jpg
    224 KB · Views: 16
  • IMG_20250831_174338.jpg
    IMG_20250831_174338.jpg
    199.5 KB · Views: 14
  • IMG_20250831_174207.jpg
    IMG_20250831_174207.jpg
    210.2 KB · Views: 16
  • IMG_20250831_174318.jpg
    IMG_20250831_174318.jpg
    123.5 KB · Views: 24
  • IMG_20250831_174251.jpg
    IMG_20250831_174251.jpg
    211 KB · Views: 19
  • IMG_20250831_174356.jpg
    IMG_20250831_174356.jpg
    134.9 KB · Views: 17
  • IMG_20250831_174413.jpg
    IMG_20250831_174413.jpg
    107.7 KB · Views: 13
  • IMG_20250831_174553.jpg
    IMG_20250831_174553.jpg
    58.3 KB · Views: 21
  • IMG_20250831_174525.jpg
    IMG_20250831_174525.jpg
    95.5 KB · Views: 18
  • IMG_20250831_174442.jpg
    IMG_20250831_174442.jpg
    246.3 KB · Views: 18
IAM INEVITABLE AND I AM IRON MAN....
Things you have toknow bout me

J.A.R.V.I.S,ni acronim ya maneno kama Just A Rather Very Intelligent System,hii ni ai niliyotengeneza kwa billions of dollars ili iweze kuperform shughuli za nyumbani na ofisini,jina jarvis ni jina la baba yangu mlez coz after my parents death yeye ndiye alienilea na kuperform shughuli zote za ndani so alipokufa nikatumia jina hili ktk ai.. ILi kumuenz na kumueshimisha

Edwin jarvis,huy ni mlez na aliyekuwa mfanyakaz wa ndan wakati wazaz wangu walipokufa .

F.R.I.D.A.Y,hii ni ai niliotengeneza baada ya jarvis kuuwawa na ultron hii ni ai ya kike ,pia ni acronim inayosimama kama Female Replacement Intelligent Digital Assistant Youth,vazi langu yaani iron armour bila ai ni saw na bure tu.

Mark, hili ni jina la armour yangu ,suti yangu ya kwanz niliitengeneza mapangoni na yin sen hu baada ya kutekwa na kundi lililoanzishwa na xu wenwu baba wa shangi chi ten rings organization ,bas kutokana na ugenius wangu waliniamuru nitenge eze silaha nzito ya kuiangamiza dunia instead nikaamua kutengeneza silaha nzito.dhidi yao armljr yangu ya kwanza nilliita MARK ONE/1 then nilipoescape nikatengeneza suti ya pili mark 2 ambayo ndio suti ya kwanza kuintergrate jarvis anyway hiz suti tutazungumzia baaday

ULTRON or GLOBAL PEACE KEEPING PROGRAMM

watch avengers 2011,wakati tulipomshinda loki kumbuka alitumwa na thanos ,kuna wakati nililitoa kombora nje ya portal na kubomb mother ship au commanding zone au area ya chitauri aliens na leviathans then suit yangu ikazima kutokana na e.m.p za ile nuclear missiles sas kuna ugonjwa niliupata unaitwa POST TRAUMATIC STRESS DISORDER +DEPRESSION+ANXIETY Hii nikwa sababu nilinusurika kufa pale na nililose hope so ukicheki IRON.MAN 3 ndo utaelewa ninacho sema coz nilianza kuota ndoto za invasiOns of LEVIATHANS na dunia ikiwa defenceless pia wakati mimi.na rhodes tupo mgahawani kuna dogo aliongea maneno yalioniongezea wasiwasi hivyo nikawa naona mimi na dunia tupo defenceless every time hivyo nikaanzisha programu iitwayo ultron pia ndio wakati niliotengeneza iron legions hii nilicreate sababu ya hofu kuwa kuna uvamizi wa aliens unaweza kutokea kwa kushtukiza so nikasuggest kuwa earth need armour..

WHO IS ULTRON,hii ni programm niliocreate ili kuensure that dunia inabaki safe and there is peace ,hii ai sikutaka iwe chin yangu bali iwe self dependant,aware,determined sasa nikawa nimemaliza kila kitu ispokuwa tu part ya AI OR

IS THE PROGRAMM INITIATED BY STARK TO PROTECT HUMA ITY FROM.EXTRA TERREASTIAL NA TERRESTIAL THREATS ,

To be conti ued
 
Attachments

  • IMG_20250829_211423.jpg
    IMG_20250829_211423.jpg
    210 KB · Views: 16
  • IMG_20250829_211515.jpg
    IMG_20250829_211515.jpg
    105.9 KB · Views: 20
  • IMG_20250829_211527.jpg
    IMG_20250829_211527.jpg
    185.9 KB · Views: 17
  • IMG_20250829_211559.jpg
    IMG_20250829_211559.jpg
    141.7 KB · Views: 16
  • IMG_20250829_211612.jpg
    IMG_20250829_211612.jpg
    225.7 KB · Views: 20
  • IMG_20250829_211544.jpg
    IMG_20250829_211544.jpg
    237.4 KB · Views: 16
Lets continued were we end

E.D.I.T.H,hii ni ai niliokuwa nimehiifadhi katika miwani ,baada ya kufa nikihelp universe miwani hii alipewa dogo peted parker ili hailithi but nae ana endeshwa namihemko ya kitoto ma kumpa bercky quentin au mysterio

E.D.I.T.H.I means Even iam Dead am The Hero hii ni multi billion ai usd

Arc reactor,hiki ni kifaa ninachovaa kifuani kinawaka kama taa hivi ,hii inakazi kubwa mno mojakuluko zote ni kuniweka hai coz ukichekimovie yangu ya kwanza wale ten rings walinilipua na mabomu sas kuna vyuma vilizam katika kifua ,sas kwakuwa walikuwa wakinihitaj ili.kuhakikisha nabaki hai wakapasua kifua na kuniwekea arc reactor ,kazi ya ke ni kuproduce electro magnetic pulses au forces ambazo kaz yake ni kukipull chuma kisiufikie moyo wangu yaan its keeps me alive waweza ona mwenyew wakati tume time travel in endgame mimi.kutok future nikamtu
Ma ant man aende kwa mimi kutoka past akachomoe fuse ya arc reactor then alipofanya hivy mimi kayika past nilidondoka chini na kupata cardiac dyrthirmia yaani ni.medial cardiac arest soarc inapozima tu.kile chuma ktk kifua changu kinaacha kuusogelea moyo taratibu, waweza jiuliza mbona cap amerika aliivunja na haukupata shid a au mbon in infinity war uliivua bila shida ?nihivi mwaka 2013 wakati wa iron man 3 nilifanya operesheni na nilisucced kukichomoa kile chuma ,pia kaz nyingine ni kuprovide electromagnetic charge for my armour pia kucharge armour pia ktk infinity war nilipogundua nano teknoloji hii arc reactor niliitumia kama housing unit ya nano particles au nanites ,hii n ano tech nitaelezea kwenye suti zangu zote 52 au armours ..pia hata ultron nitamueleza anada day na vision

Wazazi wangu ni ,marie and howard stark
Mtoto wangu,morgan stark

Mpenzi wangu ni pepper pots

To be continued tyme to sleep
 
Attachments

  • IMG_20250829_211118.jpg
    IMG_20250829_211118.jpg
    181 KB · Views: 17
  • IMG_20250829_211324.jpg
    IMG_20250829_211324.jpg
    192.7 KB · Views: 19
Sema Supergirl trailer la kawaida Sana halina hype kabisa
Angalia guardian of galaxy trilogy halafu angalia supergirl trailer ,utagundua supergirl ina vibe la gog trilogy hapa ndo anaiharibu dc anaiweka kimcu sana ,sema naona jason momoa ali born kuwa lobo amefit character 100% ndie anaefanya supergirl niisubiri kwa hamu
 
All spells zilizotumiwa na dr strange mcu
Eidritch constructs,kutokana na nature ya magic hii eidritch magic inawawezesha akina dr strange kuunda zana yoyote ile wapendavyo iwapo watafocus kuunda chochote watakacho...

Realms manipulations,especially mirror dimension ni eneo ambalo ni domin ated na dr strang na wengine ni eneo linalowapa mwanya wa kucontain threats za enemies wao bila kuleta madhara in real wolrd ,pia ili kuingia na kutoka ndani unahitaji sling ring,pia yote yafanyikayo humu ndani hayahadhiri real wolrd

Flight and levitation ,kwa kuitumia ile cape iitwayo cloak of LEVITATION (levitation means kueleaelea angani) inamuwezesha kufanya both at once

Astral projection,hii ni hali ya kuitoa nafsi yako nje ya mwili wako ambapo dr strange ilikuwa ikimruhusu sehemu ya mwili wake kuwa inactive na spiritual part inakuwa active ,nguvu itumikayo kuingia ktk hii form ni astral force na kitendo cha kuwa ktk hii form ni astral project

Wind of watoomb,huu ni upepo aliotumia kuzima engine ya black order walipovamia new york city kutake time stone pia in end game aliutumia kucontrol floods in battle field kwa kufanya Hydrokinesis...

Image of ikkon,ikkon ni pepo ambalo strange anatumia moja ya power zake ili kucreate hudreds copies of himself to confuse thanos...

Crimson bands of cytorrack,hizi ni kama ropes zenye rang ya crimson ambazo ni za pepo la kuzimu aitway cytorrack hizi alitumia kumfunga thanos mkono wenye mawe ili hasiutumie kwao na hii ilimdhibiti vizur..

Shield of seraphim,hiz ni ngao za duara ambazo zinatumika na dr strang kujilinda na attack zinazokavaa large area mfano wa kati wa black order attack new york wong alisummon hii shield dhid ya miti ilyorushwa na ebony maw pia dr strange wakati wanaingia titan ili kuzuia impact itokanayo landing of q ship alisummon hizi ili watue salama..

Icy tendrils of ikthalon,hizi alitumi a in endgame ni tendrils zenye barafu ambaz alizitumia kuwavuta baadhi ya outrider below the ground na kuwafreeze

Note,hizi spell huwa wanazisoma kupitia vitabuthen wanazipractice mostly ni za mademons ,gods ,angels,elders,ancient witches...

Rings of raggador,hiz alitumia ktk mom kumsaidia chavez dhidi yawanda

Boltz of bakthaak,hizi alizitumia kumuattack thanos randomly ilikumconfuse but it doesnt work ni kama radi zenye fire...infinity war

Taos mandalas shields,hizi hawa akina strange huwa wanatumia mara kwa mara either ku make stance au defence au attack...

Hands of hoogoth,hoggoth nilimzungumza hapo nyuma hii ni mikono ambayo dr strang aliitumia kuchoma jicho la gargantos kiumbe aliyekuwa possessed na wanda..

Sword of vishanti ,watch infinity war hili panga strange alilicreate kwa kuconjure magic kuwa hili panga..

Dr strange ana super power nyingi sana but now is time to sleep next time....
Kuna crystals of cynddriall,fumes of nani sijui
 
Mashabiki wa dc naona wamemaindi sana trailer ya lantern kwa sababu ya suti ya hal jordan ni ya brown na si green na wameanza kuipenda lantern ya ryan reynod ambayo walikuwa wanaichukia mwanzoni kwa sabab ya cgi mbovu ,yaani ukiiangalia suti yake kama skin tight ambayo haija mvaa mwili yaan inafloat kweny ngozi hivi ,halafu ni cgi tu 100% cgi yenyewe ni mbovu 100% saivi wameanza kuipenda wakati walikuwa wakiichukia ,sasa hii mpya ni ya kawaida lakini gunn ametumia hii suti kama inspiration kutoka kweny comic book ya lantern watokao earth 1 kweny multiverse,pia kwenye trela wamemtaja green lantern chipmunk or squirrel(nguchiro) kama uliicheki superman 2025 kuna wakati alipokuwa akipambana na kaiju pale metropolis kuna nguchiro alimsaaidia yule nae atakuwa green lantern corp kwenye hii series,ninacho furahi wanaenda kuwatambulisha black lantern na yellow lantern kama villains
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    17.4 KB · Views: 4
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    47.4 KB · Views: 3
  • images.jpeg
    images.jpeg
    38.1 KB · Views: 4
  • k9vm54xauoq61.jpg
    k9vm54xauoq61.jpg
    90.4 KB · Views: 3
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    15.4 KB · Views: 5
Mashabiki wa dc naona wamemaindi sana trailer ya lantern kwa sababu ya suti ya hal jordan ni ya brown na si green na wameanza kuipenda lantern ya ryan reynod ambayo walikuwa wanaichukia mwanzoni kwa sabab ya cgi mbovu ,yaani ukiiangalia suti yake kama skin tight ambayo haija mvaa mwili yaan inafloat kweny ngozi hivi ,halafu ni cgi tu 100% cgi yenyewe ni mbovu 100% saivi wameanza kuipenda wakati walikuwa wakiichukia ,sasa hii mpya ni ya kawaida lakini gunn ametumia hii suti kama inspiration kutoka kweny comic book ya lantern watokao earth 1 kweny multiverse,pia kwenye trela wamemtaja green lantern chipmunk or squirrel(nguchiro) kama uliicheki superman 2025 kuna wakati alipokuwa akipambana na kaiju pale metropolis kuna nguchiro alimsaaidia yule nae atakuwa green lantern corp kwenye hii series,ninacho furahi wanaenda kuwatambulisha black lantern na yellow lantern kama villains
Hao wanaoponda rangi ya suti hawajui kitu, hivi vitu hubadilishwa kwenye post production. Mbona suti ya Gardner ilikuwa nzuri?

Kinachosumbua ni kwamba inaonekana karibia show nzima hawatotumia nguvu zao, hii itakuwa ni detective show.

Mimi namuaminia sana Gunn, tokea nione creature commandos ninakubali sana muelekeo wa Gunn.
 
Hii nilikuwa na wasiwasi nayo toka mda lantern kuwa show walizingua haitapata Ile budget stahiki
 
Hao wanaoponda rangi ya suti hawajui kitu, hivi vitu hubadilishwa kwenye post production. Mbona suti ya Gardner ilikuwa nzuri?

Kinachosumbua ni kwamba inaonekana karibia show nzima hawatotumia nguvu zao, hii itakuwa ni detective show.

Mimi namuaminia sana Gunn, tokea nione creature commandos ninakubali sana muelekeo wa Gunn.
Tuwe wa kweli lantern ingekuwa movie afu Supergirl ingesubiri kidogo ni mapema Sana kwa DC kuanza kutengeneza series huku marvel Wana regret uo uamuzi.
 
Wameanza na supergirl ili kutengenez continuity kweny superman part 2, maan trailer limeonesha krypton ikiharibiwa na supergirl ndie shuhuda wa mwisho na msababishaji nk brainiac nahisi ambae anakuja kuwa villain ktk superman 2
 
Back
Top Bottom