Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel fanns niaje naomba kueleweshwa kwa walio elewa doctor stranger into multiverse yu dogo wa kike ninani na mbona wonder alikuwa anamtaka alikuwa anataka kumfny nn pia mwisho wa movie naona dctr anaongezeka jicho la 3
 
Yule dogo Chavez ana uwezo wa kusafiri kutoka universe moja kwenda nyingine, yaani ana uwezo wa ku travel through Multiverse kwahiyo wanda akawa anataka ampleke universe nyingine akakutane na watoto wake

Kama uliangalia Wanda-vision utaelewa kuhusu watoto wake
 
Subili ni itafute niangalie
 
Yule dogo Chavez ana uwezo wa kusafiri kutoka universe moja kwenda nyingine, yaani ana uwezo wa ku travel through Multiverse kwahiyo wanda akawa anataka ampleke universe nyingine akakutane na watoto wake

Kama uliangalia Wanda-vision utaelewa kuhusu watoto wake
Shukrani n doctor strng mwsh anaonekana kwny paji la uso jicho la tatu lina maanisha nn
 
Ni baada ya kutumia ile darkhold kile kitabu cha evil ndio jicho likatoka vile, lile jicho linaweza kuona beyond reality sema subir watu wa comics labda wana maelezo zaid
 
First look at Christian Bale as Gorr The God Butcher in ‘THOR: LOVE AND THUNDER’. View attachment 2236576View attachment 2236575
20220524_085140.jpg
20220524_085135.jpg
 
Muda mwingine cg haziwezi kuficha sura ya mtu. We angalia hata kwa Oscar kwenye X-MEN: APOCALYPSE
nooo!!sio kwamba CGI haiwez kuficha sura ya mtu ila cgi artist wenyew wanafanya vile ili kurelate na moccap artist mwenyew .nafikir ni kwa ajili ya heshima ya actor mwenyew..mfano ukimuangalia hulk 2002(ambayo ilichezwa na eric bana hawafanani kabisa even the incredible hulk by (edward norton)
lakin age of ultron waliamua kumfanya mark rufallo(hulk) kufanana kabisa ata ukichek avengers ya mwsho mule cgi ndio wameua kabisa ni reality kabisa..
 
Daaaah nilichelewa kuangalia moon Knight,daaah mtu anae ingiza personalities zaid ya moja huwa namuheshimu sana, imagine the guy sio brits eti.
Kuna hii scene anapiga jamaa alafu anakung'uta koti kama vile kamuweza adui daah very funny.

Sasa imagine kuna jake ambae yupo brutal kinoma na tumeona ametake over like two times or three balaa lake sio dogo.
Na tunajua kwenye season 2 tunajua demu wake atamuuliza tu maana pale mwisho alishuhudia kitu ambacho sisi hatujaoneshwa.
 
Mtaalamu wa Multiple personality ni James McaVoy kama uliangalia Split na Glass unapata picha

sijaimaliza hadi leo, ila nngependa kuona character development ya Kon-shu huko mbele hahaha ananifurahisha anakwambia “i am the justice”
 
THOR: love and thunder

Nina mawazo kidogo niliyokuwa nayawaza na kujenga theory hii kichwani

**Baada ya kiona subtrailer week iliyopita nilikiwa nawaza vitu hivi.

- kuna uwezekano mkubwa ndugu yetu Thor(original) baada ya kupitia mengi sana hapo nyuma kabla ya Endgame kisha kuungana na Guardians. Bado hakuwa sawa, na mawazo yake bado hayakuwa tayari kupokea uhalisia wa kupoteza baadhi ya watu wake wa karibu tangu asgerd ilivyoharibiwa, mpaka uvamizi wa Thanos kule kwenye space ship iliyoongeza machungu zaidi kwa kupoteza watu wengi wakiwemo Loki na getkeeper wa asgard.

- Thor pamoja na Guardians wanatembelea planet mbalimbali mwisho wa siku wanagundua kuna multiple asgard planet ( sina uhakika kama ni planet😁) kama zilivyo earths( tangu tupo zama za multiverse).

- Thor anajaribu kuwashawishi timu ya Groot watembelee asgard na mr. Rocket kama kawaida anamuunga mkono Thor.

- Bila kutegemea wanapofika wanakuta hali ya asgard ipo kwenye machafuko kidogo, kisha Thor na timu yake wanaingilia kuipigania.

- Wakati wa mapambano ghafla anakutana na Jane Foster( thor) na kumfananisha na mpenzi wake wa mwanzo. Lakini si yule Jane Foster anayemjua bali ni Variant of thor kwenye hiyo planet na hawajuani.

- Baada ya machafuko kutulia kunakuwa na tafrija na thor( tunae mjua) anakaribishwa kujitambulisha na kujieleza ilikuwaje wakafika hapo.

- Pamoja na hayo, kwa kuwa hawamtambui kama ni prince wa asgard, king wa hiyo planet asgard (Zeus) anamdhalilisha Thor.

****"""
 
Glass ilinishinda kuielewa nikaiacha na sikuimaliza kuangalia😂😂
 
Theory nzuri hasa hapo kwenye grief Thor anaonekana alikuwa kwenye denial maana kapoteza vingi na hajaonekana aki let it out...

ila Jane nadhani ni yule yule maana kuna kipande alimuuliza how long akamtajia siku miez kila kitu exactly

Alipomdhalilisha sikutegemea zeus anaonekana ana masihara sana, thor anamwambia zeus damn it! you flicked too hard sijui nimepatia, hapo nkaisi hii itakuwa na mautani vibe ya Ragnarok
 
Back
Top Bottom