White vision
Member
- Jul 26, 2025
- 8
- 9
Sema superman legacy niliipa matumaini na haija niangusha wiki ya pili imegross usd million 502Tv shows na series wako vzr kuliko MCU
Sema superman legacy niliipa matumaini na haija niangusha wiki ya pili imegross usd million 502Tv shows na series wako vzr kuliko MCU
Kama ni tetesi za ukweli watakuwa wanazidi kuiharibu black panther, ryan gosling ni muigizaji mzuri lakini black panther ni kwa ajili ya black people.
Sababu kubwa ni kulazimisha kupromote agenda za "WOKE", na "Feminist" wakati wanaona kabisa zina haribu movi
Silaha hatari na zenye nguvu hatari ndani ya mcu na dceu pamoja na characters....... Mother boxes /change engine ,hizi zilitengenezwa na himon kutoka apokolips sayari anayotawal darkseid au prince uxas kwa kutumia element x,sio mabox kama unavyowaza hizi ni kompyuta zenye energy matrix ambazo ni unlimited na volatile ,hizi kaz yake ilikuwa ni kubadilisha sayari muonekano wake ufanane na apokolips au kitendo kinaitw terraformation ,box hizi ziko tatu zinapounganishwa pamoja zinaanza kusyncronize then zinaungana (zinform unity) then zinaburst kwa kurelease energy ambayo haizuiliki na inaharibu kila kitu na kila mtu then zinaanza kureverse ile energy ambayo inaanza kurecreate surface of planet kuwa similar to apokolips ,hiz ni sentient engine (zina intelligence na emotions na zinafuata nini mtumiaji anataka)hizi haziko hai coz cyborg halipoziingilia alizidestroy. for more infor watch jl 2021-2017,wonder woman 2017. Anti life equation,hii ni equation iliyogunduliwa na darkseid ,kiumbe yeyote anayemiliki hii equation anakuwa na uwezo wA kumcontroll mtu yaani zina destroy free will ya mtu ,hivyo anAfanya vitu kama darkseid atakavyo anawez kuitumia kukontro either duniA nzima au mtu mmoja . Doomsday,huyu sio mtu ni weapon of destruction,alitokea baada ya lex luthor kuchukua finger print za maiti ya zod na kuzitumiA kuaccess mitambo yA kryptonian ship ili afanye genetic engineering licha ya ship system kumuonya ye akaforce then genetic engineering ikaenda awry then akazaliw doomsday, nick name yake anaitwa senseless engine of destruction ,he have no mercy ,compassion even love he is just there to destroy every thing in his way ,ye na super man wana share same power but doomsday kampita superman pakubwa coz super man anA sheer force but doomsday ana brutal sheer force,hyu ndie uwezo wa kumtoa superman damu wakienda hand to hand fight....watch dawn of justice zod engines /zod terraforming machines,hizi ni machins ambazo zod alitengenez ili haibadil dunia iwe new krypton zipo kam tripod stands ambap moja ilitua metropolis na nyingine south east of india ocean.hiz zinaproduce artificial gravity ambayo inaenda moja kwa moja in core of the earth then inaporud juu zile light matter(nyepes) zinainuliw juu then inapoenda in core zina crash building.... Kryptonite spear and grenades,according to snyder idea is different from comics, kryptonite ilitengenezwa baada ya krypton kulipuka zile particles zikawa subjected to chemicals na heat then zika exist various mineral crystals kama saba zinaitwa kryptonites kuna red ,blue green etc but most famous ni green kryptonites ,hii ni kama sumu kwa all kryptonians inaondoa nguvu zao temporally inawafanya wahisi kuumwa,dizzines,pain,and weaken states inawafanya wawe kama normal humans ,sasa snyder idea inasema ile zod engine iliyotua in india ocean ndiyo iliyo leta kryptonite ,sasa hii batman haliitumia kwa super man na doomsday kuwafany wawe weak ili awatwange vzr.... Speed force,hii ni nguvu ya the flash anapoingia ndani ya hii kasi inampa uwezo wa kuopen doors of parallel earths ,time travel and reversal na yeye ndiy aliiye saidia duniA watch justic league 2021..... Cyborg armour,victor stone mtoto wa mwanasayans silas stone alikuwa footballer ambaye ni talented alipata ajali mbaya iliyoharibu mwili wake wote ,sasa babaye alipojaribu kumsaidia alifeli ndipo mother box aliyokuwa anaichunguza ikajiactivate na kumfanyia kitu inaitwa biomechatronic manipulation yaan biological parts mechanical engineering electricity na electronics zinakuwA fused together ,imagene alikuwa na uwezo wA kuziingilia mother box na kudestroy zote...... Sword of athena,bracelet of submi0ssion ,lasso of truth or hestia,hizi ni silaha za diana prince au wonder woman ni silaha zinazomfanya kuwa very powerfull. Green lantern ring,ktk dceu kuna lantern corps kama 8 but most known corp is green lantern kuna red ,blue,orange lantern etc .Hawa green lantern ndio most powerfull lantern wakifuata blue then white lantern,hawa lantern corps wana exist kwa appearance kama fish ama whales sasa kuna wanadamu 8 waliobahatika kuvaa pete hizi za lantern especiall green mfano alan scott,halord jordan(hal jordan) john stewart,kyle rayner,guy gardner,jade,simon baz,sojourner l mullein,jessica cruz hii pete ina dominate will power of wearer (nguvu ya hiari) inawawezesha kuunda silaha yeyote watakavyo au kwa hiari yao na ikikuchagua kuna kiapo lazimA useme ili upate nguvu (in blackest of the night and brightiest of day no evil shall escape my site and let those who worship evil let them beware the power of green lantern)pia wanatumia green lantern power battery ili kucharge pete zao zinapoisha charge watch superman legacy and g.l 2011.... Aqua man trident,hii ilitengenezwa kwa kutumi a atlantean magic and metal hii ni powerful sababu indvidual ambaye ni worth kuibeba ina mpa uwezo wa ku controll seven seas na viumbe vyote watch aqua man wakati antlatis inaangaMia atlan alitumia trident kuukomboa ufalme mzima wa antlantis ... Black trident ,king korvax au kordax kutoka necrus kingdom alipopingana na bro ake king atlan akataka kupimana nay ubavu akatumia forbidden dark magic akaforge black trident then akataka kuwapa watu wake nguvu dhidi ya atlan but trident ikawalaan na kuwa visuka sio powerfull kama ya aqua man ila usiidharau.... Dr fate costume, dr fate the lord of order kwa jina ni nelson kent alifundishwa magic na nabu lord of order ni the most powerfull magic user vinavyompa nguvu ni golden helmet of fate,amulet of anubis kifuani na cloak of destiny vinamfanya kuwa powerfull but in black adam hakuonyesha nguvu zote... To be continuedSasa Disney si wajifunze kupitia makosa yao
Tume miss movie za miaka iliyopita za Marvel, yani hadi leo ukirudia kuangalia Captain America: Civil War af ufananishe na hizi za sasa sijui Venom: The Last Dance yani unaona utofauti mkubwa sana
Hata Venom tu za mwanzo zilikuwa kali kuliko hii ya sasa
Waache hizo bhana. They have to Make Marvel Great Again
😅 😅 😅Kuna huyu variant wa thor anaitwa beta ray bill anafanana na mbuzi kwa sura, naye ni worth kwa mjolnir huenda after thor death ye ndie atakaefuata
Sorry simu ilikuwa nzito ivo nili restore ni white vision na sasa ni scarab okey lets go . Black lightining ,hii ni rad inayotumiwa na viumbe waitwao karnes inapowapiga inawatransform kuwa champion of hell or demons kwa jina lingine ni sabbac,hili upate nguvu hii inabidi uvae crown of sabbac then utamke neno sabbac then bolts of black lightinings zinakutransform kuwa sabbac, location yao panaitwa rock of finality hawa sabbac ni maadui wa shazam champion ,neno sabbac ni jumla ya heruf za mwanzon kati ya majina sita ya mashetani na mapepo kutokakuzimu yakiambatana na nguvu zao S means srength of Satan A means indestructible body of Aym B means flame powers of Beelzbul B means evil wisdom of Belial A means the flight of Asmodeus C means the evil courage of Craetus watch black adam iam tiredSilaha hatari na zenye nguvu hatari ndani ya mcu na dceu pamoja na characters....... Mother boxes /change engine ,hizi zilitengenezwa na himon kutoka apokolips sayari anayotawal darkseid au prince uxas kwa kutumia element x,sio mabox kama unavyowaza hizi ni kompyuta zenye energy matrix ambazo ni unlimited na volatile ,hizi kaz yake ilikuwa ni kubadilisha sayari muonekano wake ufanane na apokolips au kitendo kinaitw terraformation ,box hizi ziko tatu zinapounganishwa pamoja zinaanza kusyncronize then zinaungana (zinform unity) then zinaburst kwa kurelease energy ambayo haizuiliki na inaharibu kila kitu na kila mtu then zinaanza kureverse ile energy ambayo inaanza kurecreate surface of planet kuwa similar to apokolips ,hiz ni sentient engine (zina intelligence na emotions na zinafuata nini mtumiaji anataka)hizi haziko hai coz cyborg halipoziingilia alizidestroy. for more infor watch jl 2021-2017,wonder woman 2017. Anti life equation,hii ni equation iliyogunduliwa na darkseid ,kiumbe yeyote anayemiliki hii equation anakuwa na uwezo wA kumcontroll mtu yaani zina destroy free will ya mtu ,hivyo anAfanya vitu kama darkseid atakavyo anawez kuitumia kukontro either duniA nzima au mtu mmoja . Doomsday,huyu sio mtu ni weapon of destruction,alitokea baada ya lex luthor kuchukua finger print za maiti ya zod na kuzitumiA kuaccess mitambo yA kryptonian ship ili afanye genetic engineering licha ya ship system kumuonya ye akaforce then genetic engineering ikaenda awry then akazaliw doomsday, nick name yake anaitwa senseless engine of destruction ,he have no mercy ,compassion even love he is just there to destroy every thing in his way ,ye na super man wana share same power but doomsday kampita superman pakubwa coz super man anA sheer force but doomsday ana brutal sheer force,hyu ndie uwezo wa kumtoa superman damu wakienda hand to hand fight....watch dawn of justice zod engines /zod terraforming machines,hizi ni machins ambazo zod alitengenez ili haibadil dunia iwe new krypton zipo kam tripod stands ambap moja ilitua metropolis na nyingine south east of india ocean.hiz zinaproduce artificial gravity ambayo inaenda moja kwa moja in core of the earth then inaporud juu zile light matter(nyepes) zinainuliw juu then inapoenda in core zina crash building.... Kryptonite spear and grenades,according to snyder idea is different from comics, kryptonite ilitengenezwa baada ya krypton kulipuka zile particles zikawa subjected to chemicals na heat then zika exist various mineral crystals kama saba zinaitwa kryptonites kuna red ,blue green etc but most famous ni green kryptonites ,hii ni kama sumu kwa all kryptonians inaondoa nguvu zao temporally inawafanya wahisi kuumwa,dizzines,pain,and weaken states inawafanya wawe kama normal humans ,sasa snyder idea inasema ile zod engine iliyotua in india ocean ndiyo iliyo leta kryptonite ,sasa hii batman haliitumia kwa super man na doomsday kuwafany wawe weak ili awatwange vzr.... Speed force,hii ni nguvu ya the flash anapoingia ndani ya hii kasi inampa uwezo wa kuopen doors of parallel earths ,time travel and reversal na yeye ndiy aliiye saidia duniA watch justic league 2021..... Cyborg armour,victor stone mtoto wa mwanasayans silas stone alikuwa footballer ambaye ni talented alipata ajali mbaya iliyoharibu mwili wake wote ,sasa babaye alipojaribu kumsaidia alifeli ndipo mother box aliyokuwa anaichunguza ikajiactivate na kumfanyia kitu inaitwa biomechatronic manipulation yaan biological parts mechanical engineering electricity na electronics zinakuwA fused together ,imagene alikuwa na uwezo wA kuziingilia mother box na kudestroy zote...... Sword of athena,bracelet of submi0ssion ,lasso of truth or hestia,hizi ni silaha za diana prince au wonder woman ni silaha zinazomfanya kuwa very powerfull. Green lantern ring,ktk dceu kuna lantern corps kama 8 but most known corp is green lantern kuna red ,blue,orange lantern etc .Hawa green lantern ndio most powerfull lantern wakifuata blue then white lantern,hawa lantern corps wana exist kwa appearance kama fish ama whales sasa kuna wanadamu 8 waliobahatika kuvaa pete hizi za lantern especiall green mfano alan scott,halord jordan(hal jordan) john stewart,kyle rayner,guy gardner,jade,simon baz,sojourner l mullein,jessica cruz hii pete ina dominate will power of wearer (nguvu ya hiari) inawawezesha kuunda silaha yeyote watakavyo au kwa hiari yao na ikikuchagua kuna kiapo lazimA useme ili upate nguvu (in blackest of the night and brightiest of day no evil shall escape my site and let those who worship evil let them beware the power of green lantern)pia wanatumia green lantern power battery ili kucharge pete zao zinapoisha charge watch superman legacy and g.l 2011.... Aqua man trident,hii ilitengenezwa kwa kutumi a atlantean magic and metal hii ni powerful sababu indvidual ambaye ni worth kuibeba ina mpa uwezo wa ku controll seven seas na viumbe vyote watch aqua man wakati antlatis inaangaMia atlan alitumia trident kuukomboa ufalme mzima wa antlantis ... Black trident ,king korvax au kordax kutoka necrus kingdom alipopingana na bro ake king atlan akataka kupimana nay ubavu akatumia forbidden dark magic akaforge black trident then akataka kuwapa watu wake nguvu dhidi ya atlan but trident ikawalaan na kuwa visuka sio powerfull kama ya aqua man ila usiidharau.... Dr fate costume, dr fate the lord of order kwa jina ni nelson kent alifundishwa magic na nabu lord of order ni the most powerfull magic user vinavyompa nguvu ni golden helmet of fate,amulet of anubis kifuani na cloak of destiny vinamfanya kuwa powerfull but in black adam hakuonyesha nguvu zote... To be continued
Eye of sin,kama umechek movi ya shazam 2019 mule alipigana na monsters waitwao seven deadly sins hawa nguv zao zinahifadhiwa ktk artfact iitwayo eye of sins ambay shazam wizard aliifungia ili kuzidhibit nguvu za haw seven sins ,miaka 11000 iliopita black adam alipopewa nguv na shazam alizitumia vibaya kwa kuwaua miungu ya egypt na kulipiza visasi kwa maadui zake na hii ikasababisha hawa seven sins kuescape walikoshikiliwa ,sayari yao inajulikana kama sphere of gods ,haw huwa wana hangahika kumtafuta champion wao champion of sins ,yaan hawa wako mobile wanaishi ndani ya mtu mnajis au moyo mnajisi bas ukiwa na hiz element basi unakuwa champion wao haw ni maadui wa shazam champion ,hizi sins ni kama vile gluttony,wrath,envy,greed,pride,lust and sloth ,leader wao ni envy ndio most powerful sin.... Living lightining,hii ni radi inayotumiwa na champions of magic ambapo ina waconvert mortals kama william joseph(bill batson) na teth adam into shazam champions ,nguvu za shazam ni za elders na gods of ancient greece ambapo anapotamka neno shazam inambadili neno shazam ni limetokana na jumla ya herufi za mwanzoni za majina ya miungu na nguvu zao. S means Solomons wisdom H means Hercules strength A means Atlas stamina Z means Zeus power A means A achilless courage M means Mercury speed 2m/sec . ..... Kwa black adam ye nguvu zake ni za miungu ya ancient egypt ktk middle eastern of sinai peninsula ,nguvu zak ni kubwa kuliko za shazam S means Shu stamina/H means Horus speed/A mean Amon strength/Z means Zehuti wisdom/A means Aton power/M means mehet courage ............ Wakishatamka neno hilo hii radi ina wakonvert kua champion of magic japo black adam yey ni anti hero hawkman mace and claw of horus,hall carter ni champion ama leginnaoire toka sayari ya thanagar ambapo ndio sayari ndani ya dceu kunakotokea the most durable and strongest metal in dc universe ,yeye hana superpower ila armour anayo vaa imetokana na metal iitwayo NNTH METAL AU NINTH METAL hii ndio inampa uwezo wa kupaa (by defy gravity) etc ,na silaha yake (spiled ball club au mace) ambayo ina uwezo wa kuunder go morphing(change) inaweza kuwa mace ama axe ,,,,,,,,,claw of horus hiz ni kucha za chuma zilizopo mkono wake wa kushoto zenye magic ndani yake .... Carapax armour,huyu ni villain wa blue beetle ambaye amour yake ina nguvu nying ma ni indestructible na ina change its structure physically inaitwa o.m.a.c armour(one man army corp armour)hii ni very powerfully .. Scarab or khadi ja,hii ni technology ilioriginate in ancient egypt then kwa miaka ya sasa ikaja milikiwa na ted cord thwn cord aliipoteza kwa victoria ,sasa victoria akataka kuitumia vibaya sas binti yake akaiiba na kumpa jaime reyes/blue beetle ,ni symbiote technology anaejiattach kwa host wake ambapo inaform.armour suit inayo mpa jaime various abilities........... Bloodsport suit,huyu ni assasin ,mwenye ndoto ya kuhakikisha siku moja anamlaza superman icu,alidesign kryptonite bullets and swords ili kumdefeat superman ,kiukweli hata madirector walishindwa kudesign suti yake coz inakuwaga na silaha nyingi mno alizotengenezawenyewe ili kumuelewa icheck james gunn suicide squad 2021.......Sorry simu ilikuwa nzito ivo nili restore ni white vision na sasa ni scarab okey lets go . Black lightining ,hii ni rad inayotumiwa na viumbe waitwao karnes inapowapiga inawatransform kuwa champion of hell or demons kwa jina lingine ni sabbac,hili upate nguvu hii inabidi uvae crown of sabbac then utamke neno sabbac then bolts of black lightinings zinakutransform kuwa sabbac, location yao panaitwa rock of finality hawa sabbac ni maadui wa shazam champion ,neno sabbac ni jumla ya heruf za mwanzon kati ya majina sita ya mashetani na mapepo kutokakuzimu yakiambatana na nguvu zao S means srength of Satan A means indestructible body of Aym B means flame powers of Beelzbul B means evil wisdom of Belial A means the flight of Asmodeus C means the evil courage of Craetus watch black adam iam tired
Kiukweli ukitaka kuenjoy character wazur njoo dcu ila ukitaka kuenjoy universe bora njoo mcuEye of sin,kama umechek movi ya shazam 2019 mule alipigana na monsters waitwao seven deadly sins hawa nguv zao zinahifadhiwa ktk artfact iitwayo eye of sins ambay shazam wizard aliifungia ili kuzidhibit nguvu za haw seven sins ,miaka 11000 iliopita black adam alipopewa nguv na shazam alizitumia vibaya kwa kuwaua miungu ya egypt na kulipiza visasi kwa maadui zake na hii ikasababisha hawa seven sins kuescape walikoshikiliwa ,sayari yao inajulikana kama sphere of gods ,haw huwa wana hangahika kumtafuta champion wao champion of sins ,yaan hawa wako mobile wanaishi ndani ya mtu mnajis au moyo mnajisi bas ukiwa na hiz element basi unakuwa champion wao haw ni maadui wa shazam champion ,hizi sins ni kama vile gluttony,wrath,envy,greed,pride,lust and sloth ,leader wao ni envy ndio most powerful sin.... Living lightining,hii ni radi inayotumiwa na champions of magic ambapo ina waconvert mortals kama william joseph(bill batson) na teth adam into shazam champions ,nguvu za shazam ni za elders na gods of ancient greece ambapo anapotamka neno shazam inambadili neno shazam ni limetokana na jumla ya herufi za mwanzoni za majina ya miungu na nguvu zao. S means Solomons wisdom H means Hercules strength A means Atlas stamina Z means Zeus power A means A achilless courage M means Mercury speed 2m/sec . ..... Kwa black adam ye nguvu zake ni za miungu ya ancient egypt ktk middle eastern of sinai peninsula ,nguvu zak ni kubwa kuliko za shazam S means Shu stamina/H means Horus speed/A mean Amon strength/Z means Zehuti wisdom/A means Aton power/M means mehet courage ............ Wakishatamka neno hilo hii radi ina wakonvert kua champion of magic japo black adam yey ni anti hero hawkman mace and claw of horus,hall carter ni champion ama leginnaoire toka sayari ya thanagar ambapo ndio sayari ndani ya dceu kunakotokea the most durable and strongest metal in dc universe ,yeye hana superpower ila armour anayo vaa imetokana na metal iitwayo NNTH METAL AU NINTH METAL hii ndio inampa uwezo wa kupaa (by defy gravity) etc ,na silaha yake (spiled ball club au mace) ambayo ina uwezo wa kuunder go morphing(change) inaweza kuwa mace ama axe ,,,,,,,,,claw of horus hiz ni kucha za chuma zilizopo mkono wake wa kushoto zenye magic ndani yake .... Carapax armour,huyu ni villain wa blue beetle ambaye amour yake ina nguvu nying ma ni indestructible na ina change its structure physically inaitwa o.m.a.c armour(one man army corp armour)hii ni very powerfully .. Scarab or khadi ja,hii ni technology ilioriginate in ancient egypt then kwa miaka ya sasa ikaja milikiwa na ted cord thwn cord aliipoteza kwa victoria ,sasa victoria akataka kuitumia vibaya sas binti yake akaiiba na kumpa jaime reyes/blue beetle ,ni symbiote technology anaejiattach kwa host wake ambapo inaform.armour suit inayo mpa jaime various abilities........... Bloodsport suit,huyu ni assasin ,mwenye ndoto ya kuhakikisha siku moja anamlaza superman icu,alidesign kryptonite bullets and swords ili kumdefeat superman ,kiukweli hata madirector walishindwa kudesign suti yake coz inakuwaga na silaha nyingi mno alizotengenezawenyewe ili kumuelewa icheck james gunn suicide squad 2021.......
Batman mobiles/batwings,batman hana super power ila anategemea magari na ndege zake alizoziiequip na missiles,fire arms na artillery ambazo ni nzito... The same to batwings
Batman exoskeleton suit or bat iron suit
Hii ni suti nzito ambayo batman alidesign ili kumpa superman maumivu na kijilinda na sheer brutal attacks za super man ni heavy suti ,durable and strong.....
Zod armour ,ktk vituvilivyompa superman ugumu ktk battle dhidi ya zod ni ile armour ilikuwa ikimlinda ipasavyo dhidi ya attacks za superman ,imetokana na kryptonian metal ni powerful metal imagine iliweza kumuua supergirl kwenye flash 2023 kwa kile kisu cha zod ,kwa hiyo.sasa tunajua kuwa kryptonian metal is more powerfull than kryptonians coz inaweza muua hata superman mwenyewe....
Steppenwolf electro axe,hii axe imetengenezwa kwa metal toka apokolips ,sasa hii shoka ndio inaampa mighty steppen.wolf full potentiality akawa na uwezo wa kuedefeat justice league of america nzima except super man, japo weng wana steppen wolf ni lame.villain lakini thanos mwenyew hafui dafu..........
Black manta armour,david kane kikawaida hana uwezo wa kumdefeat aquaman (watch aquaman)ila alimanage kumuinjury aquaman sababu silaha na metal alizotumia alizinunua toka kwa orm au ocean master ,so baad ya kutumia atlantean technology akawa na uwezo wa hata kuwadefeat orm na aquaman, coz atlantis tech ni are powerfully than atlanteans ,kwa kutumia weapon zao akaweza kudesign eye beams pia ina visu vikali vyeny uwezo wa kuwatoboa atlanteans, sawa na thor asgardian metal ni more powerfull than him zinamtoboa kirahisi/pamoja na necroswords kuliko metal za duniani hazimtoboi kirahisi .......
Wizard magic stuff,ni mfano wa mti mkavu unaotumika kuhifadhi nguvu za miungu wa kale hasa zile za kina shazam (living lightining),watch shazam 2,watoto wa mungu atlas anthea,kalypso,hespera waliichukua hii sababu ni kuwa baba yao alipokufa wizard alitake nguvu za atlas hivy watoto wakaw wanadai hiyo nguv, sasa ilikuwa na uwezo wa kumpa nguvu yeyote au kuzitake ,,mfano shazam alipoitumia dhidi ya kalypso ule moto aliokuwa anatema dragon aliutumia kuoverload hii stuff .....
Nyingine ni deadshot guns,katana swords,dreamstone from wonderwoman 2 film,zeus thunderbolt ,ares axe,darkseid weapon,wonder woman golden suit... Hiz hazina haja ya explanation coz ukichek zinaeleweka kirahisi...... The end
DC nilikuwa nawakubali kile kipindi walipokuwa na crossover za arrowverse, kwenye tv series za Arrow,the flash, supergirl, legends of tomorrow, black lightiningKiukweli ukitaka kuenjoy character wazur njoo dcu ila ukitaka kuenjoy universe bora njoo mcu
Dcu ya James Gunn inaenda kuwa bora zaidi ya McuKiukweli ukitaka kuenjoy character wazur njoo dcu ila ukitaka kuenjoy universe bora njoo mcu
Most powerful weapons in mcuDcu ya James Gunn inaenda kuwa bora zaidi ya Mcu
Hapa naisubir gold booster liveaction ni moja ya hero ninao wapenda sana ,yey ni loser kutoka 30 century ambay anachukua tech kutka future na kutime travel mpaka 21 century na kujiung na justice league na kupretend kuwa superheroDcu ya James Gunn inaenda kuwa bora zaidi ya Mcu
Hapa naisubir gold booster liveaction ni moja ya hero ninao wapenda sana ,yey ni loser kutoka 30 century ambay anachukua tech kutka future na kutime travel mpaka 21 century na kujiung na justice league na kupretend kuwa superhero
MASTERS OF MYSTIC ART(waalimu wA sanaa ya maajabu au miujiza)Hapa naisubir gold booster liveaction ni moja ya hero ninao wapenda sana ,yey ni loser kutoka 30 century ambay anachukua tech kutka future na kutime travel mpaka 21 century na kujiung na justice league na kupretend kuwa superhero
Hiki ni kikund cha watu wenye elimu juu ya magic and sorcery ambao kazi yao ni kuilinda dunia dhidi ya dimensional threats eg dormamu ,haw twaweza sema ni kama manabii na wachungaj ambao kaz yao ni kupamban viumbe katika ulimwengu wa giza tofaut na avengers wao twa weza sema ni kama mapolis na majesh wanapamban na majambaz na wahalifu.MASTERS OF MYSTIC ART(waalimu wA sanaa ya maajabu au miujiza)
Book of vishanti,hiki ni kitabu kilichoundwa na 3 entities agamotto ,oshtur na hoggoth ,hii ni antihesis dhidi ya chnthon creator of darkhold,kitabu hiki kimecontain light energy spells zinazowapa maarifa sorcerer supreme kudefeat their enemies yaan if you want to defeat ny evil book of vishant is just there for you ,kilihifadhiwa in junction between spaces au hiki tunasema ni vice versa ya darkhod mfano in dr strange 2 chavez alikuwa hajui kucontro ll power zake za kujump through multiverse baad ya kukifikia kitabu wanda alikidestroy sas wakat kinaungua dr strange alipokiangalia kilifunuka page ambay kulionekan star shaped portal ambayo americ chavez ndio portal zake yan kitabu kilikuwa kinamuelekeza kuwa njia pekee ya kumdefeat wanda ni kumencourage chavez kucontroll power zake na ndicho alichofanya ,pia superiour strange baad ya thanos kutoka kweny altenate univers alipoinvade earth834 illuminati walitumia vishanti kumdefeat kitabu kiliwaonyesha spell yenye uwezo wa kuchukua upanga wa thanos(double- edged -sword) na kumchoma kifuani ,kitabu hiki kilidestroyed na wanda...Hiki ni kikund cha watu wenye elimu juu ya magic and sorcery ambao kazi yao ni kuilinda dunia dhidi ya dimensional threats eg dormamu ,haw twaweza sema ni kama manabii na wachungaj ambao kaz yao ni kupamban viumbe katika ulimwengu wa giza tofaut na avengers wao twa weza sema ni kama mapolis na majesh wanapamban na majambaz na wahalifu.
Mwanzilishi wa kwanza wa hili kund aliitwa AGAMOTO ambay wanamueshimu kama baba yao wa kiimani ndiye aliyekuwa first SORCERER SUPREME na ndiye aliyezijenga sanctoum sanctoriums pia ndiy aliye unda eye of agamotto...
Agamotto ,huyu ndiy first sorcerer supreme wa kwanza na ndiye aliyeunda aina hii ya magic iitwayo eidritch magic inayotumia chekris energy ambazo kimuonekano ni yellow pale -orange sparkling fiery energy ,aina hii ya magic imetokana na absorption energies from other dimensions na kuwa combined together .
Pia huyu ni moja kati ya entity anaye form vishanti council ambapo kuna hoggoth,oshtur na agamotto ambapo kwa pamoja wakaunda book of vishanti,pia ili kuilinda na kuipossess time stone aliitengeneza housing unit
iitwayo eye of agamott
Sanctoum sanctorium,hizi ni nyumba tatu zilizojengwa na agamotto nyumba hiz zimejengwa katika sehemu ambapo dunia imepitiwa na mikondo ya nishati ambapo sas zinatumia mikondo hii ya energies kuform three protective shield tatu ambazo zinaicover dunia dhidi ya dimenional threats kama dormamu ,hizi ziko tatu moja iko london nyingine hongkong na moja new york in manhattn village in bleecker street 117A,ni jukumu lao la kila siku kuhakikisha zinabaki kuwa salama endapo uharibifu ukitokea bas shields zinakuwa weak na dimensiona creature wanainvade earth mfano avenger endgame in time travel hulk alivy time travel kuchukua time stone alimkuta ancient one akiilinda new york sanctoum dhidi ya chitauries invasions..
Sorcerer supreme(mshirikina mkuu),huyu ni mwalimu ambaye ana maarifa makubwa juu ya magics ,huyu kazi ni kujua yote yanayoendelea katik ulimwengu unaohusian na magics pia kuhakikisha dunia inabaki kuwa safe dhidi ya dimensional threats,kuzilinda sanctoums zote pia kujua yaliyopo na yajayoo ,wa kwanza agamotto akafuat yao au ancient one akafuata strange but hakudumu kutokana na snap ya thanos ivo wong akatumikia five years na ndiye current sorcerer..
Magic, katika mcu wameintroduce concept yao ya magic kupitia mafundisho ya ancient one yani ni jumla ya energies zilizoabsorbed from other dimensions na kuwa combine then ikaexist new form.of energy,, yaan ni kama kompyuta na mifumo yake sasa zile programm za komputer zinatumika kufanya roles mbalimbali sasa hiz kwa upand wa magic zinaitwa SPELLS ,spell zinatumika na hawa sorcerer kufanyia duties mbalimbali au kazi
AINA ZA MAGICS MCU
chaos magic hii inatumika na wanda ama scarlet witch ndio most type of magic in mcu
EIDRITCH MAGIC,inatumika na masters of mystic arts
Dark magic, user ni agatha harkness
Other types ni aagardian magic dark dimension magic,etc
To be continued....😪😪😓😑😑😑
Nilikuwa najiask mda mrefu kwa nini hii movie naichukia yani hainivutii kabisa inakinai kumbe ni mbovu na sio mimi ya karibia dc fans wote wanaihate green lantern 2011 huu ndio mwaka ambao dc walianzisha dceu walianza na hii movie walitegemea itafanya vizuri but ikaflop na kupokelewa vibayaBook of vishanti,hiki ni kitabu kilichoundwa na 3 entities agamotto ,oshtur na hoggoth ,hii ni antihesis dhidi ya chnthon creator of darkhold,kitabu hiki kimecontain light energy spells zinazowapa maarifa sorcerer supreme kudefeat their enemies yaan if you want to defeat ny evil book of vishant is just there for you ,kilihifadhiwa in junction between spaces au hiki tunasema ni vice versa ya darkhod mfano in dr strange 2 chavez alikuwa hajui kucontro ll power zake za kujump through multiverse baad ya kukifikia kitabu wanda alikidestroy sas wakat kinaungua dr strange alipokiangalia kilifunuka page ambay kulionekan star shaped portal ambayo americ chavez ndio portal zake yan kitabu kilikuwa kinamuelekeza kuwa njia pekee ya kumdefeat wanda ni kumencourage chavez kucontroll power zake na ndicho alichofanya ,pia superiour strange baad ya thanos kutoka kweny altenate univers alipoinvade earth834 illuminati walitumia vishanti kumdefeat kitabu kiliwaonyesha spell yenye uwezo wa kuchukua upanga wa thanos(double- edged -sword) na kumchoma kifuani ,kitabu hiki kilidestroyed na wanda...
Darkhold or book of sins or damned
Hiki ni kitabu kilikcreated na chnthon ambay alipokalibia kufa uchawi aliokuwa akimilik ukageuk kuwa darkhold ,kitabu hiki kimebeba spells za dark magics ambaz mtu yeyote atumiaye huwa zinamcorrupt akili zake eg wanda ,sas adui wa hiki kitabu ni vishanti book origina l copy ya darkhold ilikuwa ktk mountain wundagoore na kikajigawanya into several copies throughout the multiverse ,mwanz kilimilikiwa na agatha then baaday wanda ambapo nae akakidestroy...
Dreamwalking ni kitendo cha magic user or wielder kumpossess variant wake katika multiverse kwa kutumia darkhold mfano superior strange from earth 834 bad y thnos kuvamia dunia yake ,illuminati waliamua kutumia book of vishanti kumdefeat thanos but before ya ku do ivo dr strange akaamua kutumia darkhold kudream walk kwa variant mwingine ktk multivers ili kusearch solution dhidi ya thanos sasa hii kitu ikasababisha incursion
incursion,ni suddenly and unexpected destruction hii hutokea mtu anapo dreamwalk for too long time hii i nasababisha existance of enough foot print ktk dunia ya mwenzake ,na hivy bas boundAries za two earth zina collide na incursion inatokea either in both earth or one ndio maan dr srange of earth834 illuminati walimuua sababu alivyodreamwalk kwa variant wa earth nyingine akakaa kwa muda mrefu hivyo mvutano ukatokea na incursion ikAexist ambapo earth yake iliaribika nusu na nyingine ilisambaratika kabisa ,hivy kuzuia incursion isitokee kabisa solution ni kumuua dr strange koz alionekana ni threat kubwa kuliko yeyote ,ndo maana supreme strange earth 616 alipoingia ktk earth 834 illuminati wakamkamata kwanza maana walimuona ni threat kuliko hata wanda wakamdharau wanda sasa kilichowapata wanajua wenyewe ...pia sinister strange baad ya kumpoteza cristine alitumia darkhold ili kudreamwalk kwa mavariant wake ili aishi na christine nae dunia yake iapata incursion na darkhold ikamcorrupt akawa nipure evil..pia dr strang earth616 aliitumia darkhold ili kumpossess defender strange ambae alikufa hilo lilikuwa kosa kubwa coz creator of multiverse alikataza kudreamwlk on dead body ,ikatokea the same baada ya kudreamwalk akasababisha incursion ndan ya dark dimension na ikaleta shida kwa dormamu ivo clea akamfuata ili wakarekebishe alichoharibu...
Kamal taj , hii ni kama base of operation ya all masters au ni kama sehemu ya mafunzo ipo maeneo ya nepal kathmandu
Eye of agamotto or amulet or necklace,hii ni magic relics ambay inatumika kama housing unit yatime stone ,kutokana na dr strange kuitumia mara kwa mara ikadevelop third eye ,third eye indicate high level of knowledge and power..
Cloak of levitation ,levitation means kuelea angani hii ni ile cape anayovaa dr strange ina randg nyekundu hii ina msaaidia kupaa na kuelea angani ,ni sentient being yaan ina akili za kibinadamu
Mirror dimension hii ni reality ambayo sorcerers wanadominate ni eneo ambalo masters wanalitumia kuwadefeat enemies wao bil kuaffect real wolrd pia ina tumika kucontain attacks ama threats ambazo ni ngumu wao kuzihandle ,watu wakawaida hawawez kuelewa nini kinaendelea mirror dimensio iliuingie na kutoka mirror dimensio ina bidi huwe na sling ring other wise you cant get out mfano wanda aliweza sababu ya dark magic spells plus chaos magic plus nature ya magic zake psionic zilimfanya kuwa very powerful enough kuwa shinda masters...
Dark dimension,,hii ni sehemu ambayo dormamu au darklord au dreadlord anarule hii ina nicknamed as zero matterdimension imetokana na several universe ambaz zimeabsorbed ndan yake na ili kufanya iexpand alitaka pia aiabsorb earth within it,hii ni sehem ambayo time doesnt exist yan huku unaishi milele ,muda haufanyi kaz ndan ya dark dimension ndio maana dr strange aliugundia ujinga wa dormamu kuwa haijui concept ya time akamtrap ndani ya endless looped time. Dormamu huwa anatoa zawdi ya nguvu kw wale ambao wanaitaji immortality ili na wao wamsaidie kuinvade dunia ,moja wao ni ancient one ambay baad ya kuwa sorcere supreme alitumia book of cagliostro kudraw power kutoka dark dimension ili abaki kijana na aishi milele na abaki kuwa sorcerer supreme of all time almost anakadiriwa kuishi miaka kam 800 ndio maana anaitw ancient one pia baada ya kuchukua nguvu izo za dormamu akawa anawaonya wengin wasije jaribu kuchua nguvu hiz coz yey shida ilikuwa ni immortality mwingine anaweza kuingia katika ushawishi wa dormamu na dunia ikawa katika hatari mfano ni kaecilius villain in dr strange 2016
Kaecilius ,huy ni moja kati ya masters hawa ambae baad ya kupoteza mke na mtoto ambao aliwapend kupita kiasi alikuwa akitafuta nguvu ya kuwarejesha na kuishi nao milele bila kufa then akaenda kwa ancient one ,alivyopokelewa alianza mafunzo ya magic lengo akiwa ni apate nguvu awrejeshe mke na watoto back to life ivo ancient one akamfunga akili yake ili awasau lakini jama akaja kugundua kuwa analishwa matango pori kuwa anafundishwa vitu vingine kabisa na alivotegemea ,na alipoigundua siri ya ancient one kuwa alidraw power kutoka ktk dark dimension ili kumaintain immortality akamuona kuwa ni hypocrite hivo alkaanza kumpinga na akaform group liitwalo zealots ili kuwa maliza masters , watch dr strange 2016 ,walichofanya ni kuingia ndani ya kamal taj kisiri na kumfyeka libranian with double sythe daggers na kuchana pages from book of cagliostro zeny ritia ya dark dimension,eternity na dormamu lengo ikiwa ni kupata nguvu kutoka kwa dormamu ili wawaue masters na ancient one pia waziharibu sanctoum sanctorium ili dunia iwe defenceless then dormamu aget upenyo wa kuinvade earth then ampatie nguvu za kuishi miele na necromancy or force of death hii wa ajili ya kuwa rudisha awapendao ,baada ya kufany iyo ritual wakawa na nguvu kuwazidi haw masters ,kwanza walianz na london sanctoum then new york(twicely )mwishoni hong kong
Moja kati ya nguvu ni massive energy blast ilitumika kuharibu sanctoum or even whole area as i said mirror dimension inatumika kucontain attacks ambaz ni ngumu kuzihandle wakati kaecilius anataka kuiharibu new hork sanctoum dr strange akaitrap new york yote ndani ya mirror dimension na akachukua sling ring ili wawaache ndani yake but aecilius alionyesha kuwa na nguvu zaid yao strange na karl baron mordo coz walivyokuwa wabamimbia alikuwa na uwezo wa kumanipulate both mirror dimension na real wolrd kwa kufold gravity,space pia baada ya kuiharibu hong kong sanctoum dark dimension ikaanza kueat au engulf earth then ili kurepair dr strange akatumia time stone kureverse mda ambapo akajitoa yeye wong na mordo ndani ya time reversal but zealots nguvu zao zimetoka ndani ya dark dimension as i said it doesnt affected by time so walikuwa na uwezo wa kujiweka timeless ,baada ya kuwashinda zealots ikabidi wakimbie mpaka sanctoum ilipo ili kuilinda but kaecilius aka interupt reversal na akaanz majigambo kuwa dark dimension is beyond time and death dr strange alipogundua hilo akaingia ndani baada ya kujua kuwa haiaffectiw na muda akajua huenda ata dormamu haijui concept ya muda ivo akaamja kujifunga yey na dormamu ndani ya endless loop lengo ni kwa sababu haijui time ivo kwake ni vitu vigeni ivo hatakuwa bored na kuleave earth na kuwachukua zealots na dark dimension coz alitumia nguvu zote kumuua strange hundred times but fail ivo akawachukua zealot na kuwa convert kuwa mindless one ,walikuwa na uwezo wa kuifracture space time tangible particles na kuwa kam swords kama vioo fulani pia alikuwa na uwezo wa kutumia space shards kujinasua ktk ukuta alionasishwa na mordo
Dr strange,stephen vincent strange doctor genius na mwenye kiburi ambaye alipokuwa chuoni alitu.mia akili zake kukuza kipaji cha udactari ili kuaccumulate massive wealth ila ana kasoro moja arrogancy au kiburi kinachopelekea kumpoteza christine in every universe pia uzembe wa barabaran unapelekea kupata ajali mbaya inayouwa nerve za mikono yake mwisho anatumia malizake zote ili kujitibu but all fail na kazi inaota nyas kozi mikono aifanyi kazi ndipo siku moj anamuona pangborn ktk twitter akielezea jinsi alivyopona paralysis anamfuata na kumpa maelekezo kuwa aende kamal taj nepal ,baada ya kufik anakuta mambo ndivyo sivyo anaambiwa ivi kujifunz magic na kuwa powerful hapan kwamba ndi atapona mikono yake hapana ,pAngborn alipona coz alizichannell hizi nguvu kumtibu ivo zikiondolewa anarudi kuparalaiz so ni chaguo lake hazitumis kuilinda dunia au kujitibu ,huyu ni moja kati ya avengers smart mno na magenius japo in magic..
America chavez ,huyu ni lesbian teen ambay ana uwezo wa kujump through the multiverse kwa ku conjure star shaped portals
Race yake ni fuertona
Earth anayotoka ni utopian parallel ambako ni kama private island inayoexist outside time and multiverse
Wazazi ni amelia na helena
Moja kati ya asifa alizonazo ni singularity yaan in multiverse and universe she is one only no one like her na alikuwa lucky kila earth aliyokuwa anatua mtu wa kwanz kukutana nae ni dr strange..
To be continued
Scene kali ila anavyo scream ndio vibaya ,hawkgirlFavourite scene
View attachment 3450018
Super man legacy 2025..Scene kali ila anavyo scream ndio vibaya ,hawkgirl
Mkuu comics za bure napata wapiConcept of lantern corps dc comics
Kabla ulimwengu haujawa kulikuwa na utulivu na kiza kuu ,then universe ilipojitokeza zikajitokeza emotional spectrum nane ,hizi vitu zikaabsorb emotionals throughout the universe kisha ikaziconvert hizi emotions into powerful light energies ,sasa source ya hizi nguvu ikawa ni ELECTRO MAGNETIC EMOTIONAL SPECTRUMS ,kisha ikaziforge hizi light energy into items known as RINGS POWER ,sas hapo mwanzo kulikuwa na corps wenye jukumu la kuilinda universe waliitwa guardians of universe ikawaconvert kuwa lantern corps ikawapa muonekano kama wa samaki ama nyangumi hivi
Aina ya lantern corp na pete zao
Hawa wanashare the same power mostly kucreate energy constructs
White lantern corps,hawa wanaongozwa na kyle rayner pete yao inacontroll aspect of life hii ndio original lantern corp ambayo other corps derived from.
I feel exhausted anyway tommorrow
Kuna marvel unlimited kwa dc kuna dc infinite ila kwenye sim za android zinasumbua kuopen na kuna malipo usd 6 per month ,ila mimi huwa na google comic book fulani ,ule upande wa image ina kuja storyMkuu comics za bure napata wapi