Marvel Cinematic Universe special thread

Labda wata introduce character mwingine atayekuwa main lead kwenye Thor alafu thor mwenyewe atakuwa kama kumbu kumbu
Hio ngumu kaka.
Movie ya Thor alaf Thor mwenyew asiwe main character?

Labda watafanya kama multiple Thors from different Universes but hio idea ya multiverse marvel walishaitupa.

Mi nadhani walitangaza Thor 5 ili kutuliza watu na tetesi za thor kufa kweny Doomsday.
 
Hii franchise nilipoteza interest baada ya mfululizo wa movie za hovyo.
Disney are responsible for this.

Baada ya launching of Disney+, Disney waliilazimisha Marvel Studios kuongeza output yao, hii ndio iliyoua ile streak ya good movies.

Unapo force watu wazalishe kazi nyingi kwa muda mfupi lazima quality ya content ipungue.
 
Sasa Disney si wajifunze kupitia makosa yao
Tume miss movie za miaka iliyopita za Marvel, yani hadi leo ukirudia kuangalia Captain America: Civil War af ufananishe na hizi za sasa sijui Venom: The Last Dance yani unaona utofauti mkubwa sana
Hata Venom tu za mwanzo zilikuwa kali kuliko hii ya sasa
Waache hizo bhana. They have to Make Marvel Great Again
 
Kabisa za ss hv zinamatukio machache
 
Sasa Disney si wajifunze kupitia makosa yao
Tume miss movie za miaka iliyopita za Marvel, yani hadi leo ukirudia kuangalia Captain America: Civil War af ufananishe na hizi za sasa sijui Venom: The Last Dance yani unaona utofauti mkubwa sana
Hata Venom tu za mwanzo zilikuwa kali kuliko hii ya sasa
Waache hizo bhana. They have to Make Marvel Great Again
Disney wanazingua sana, ukiachana na kuforce output ya movie/series kutoka kwa marvel, bado wana mambo yao ya Inclusivity, yaan wataka marvel watengeneze characters ambao wanagusa kila group la watu, mara character wa LGBTQ, huyu mwingine ni mpakistani, huyu mwengine wanamfanya black ila kweny comics sio black.

Haya mambo Inclusivity and woke agendas yanawapotezea fan base.
 
Sababu kubwa ni kulazimisha kupromote agenda za "WOKE", na "Feminist" wakati wanaona kabisa zina haribu movie
Mfano movie kama "The Marvels" na "Madame Web" yaan trailer tu linatosha kukwambia huu utakuwa ni upuuzi, siwez poteza muda wangu kwenda kuangalia cinema.
 
Hizi characters za kwenye MCU sioni umuhimu wa kuendelea kuwepo ni kama zimekosa ubunifu na reality:
1) kamala khan
2) American chaves
3) captain marvel
4) adam warlock
5) madam web
6)

yaani MCU wameishiwa ubunifu wa kutoa characters zenye sifa unquie kama zilivyo za zamani mf doctor strange, spiderman, captain america, ironman,thor,hulk etc...
wamebaki kutuletea character za ajabu nyingine wanazirudia as if wameishiwa ubunifu mfano red hulk, john walker, sijui white widow na bado wanatuletea ironheart

ni bora wabaki na characters wachache ila wanaeleweka
 
Pia wanacho ni boa sasa hivi ni kupunguza sifa na ubunifu wa character waliopita, mfano Tony Stark anajulikana kama mtu mwenye akili kubwa ana elimu, kahangaika mpaka kutengeza suit yake kuwa nzuri vile ila wanaleta character mpya kwenye hii series ya Iron heart mwanafunzi wa chuo anatengeza suit kama ya Iron man kwenye garage yake ni kuharibu sifa za Tony stark
 
1000205681.jpg
 
Nina wasiwasi na Thor.

Marvel wants to make Thor 5, sasa kama atakufa kweny Doomsday hio Thor 5 itakuwa backstory au??
Post credit scene ya thor love and thunder ,baada ya thor kumuinjuired zeus ,zeus anamtuma mtoto wake hercules kupambana na thor coz amewadisrespect so thor 5 huenda itaongelea tukio kati mwaka 2023_2026 halafu ndio litafuata tukio la avengers doomsday
 
Hio ngumu kaka.
Movie ya Thor alaf Thor mwenyew asiwe main character?

Labda watafanya kama multiple Thors from different Universes but hio idea ya multiverse marvel walishaitupa.

Mi nadhani walitangaza Thor 5 ili kutuliza watu na tetesi za thor kufa kweny Doomsday.
Kuna huyu variant wa thor anaitwa beta ray bill anafanana na mbuzi kwa sura, naye ni worth kwa mjolnir huenda after thor death ye ndie atakaefuata
 
Hizi characters za kwenye MCU sioni umuhimu wa kuendelea kuwepo ni kama zimekosa ubunifu na reality:
1) kamala khan
2) American chaves
3) captain marvel
4) adam warlock
5) madam web
6)

yaani MCU wameishiwa ubunifu wa kutoa characters zenye sifa unquie kama zilivyo za zamani mf doctor strange, spiderman, captain america, ironman,thor,hulk etc...
wamebaki kutuletea character za ajabu nyingine wanazirudia as if wameishiwa ubunifu mfano red hulk, john walker, sijui white widow na bado wanatuletea ironheart

ni bora wabaki na characters wachache ila wanaeleweka
 
Sasa Disney si wajifunze kupitia makosa yao
Tume miss movie za miaka iliyopita za Marvel, yani hadi leo ukirudia kuangalia Captain America: Civil War af ufananishe na hizi za sasa sijui Venom: The Last Dance yani unaona utofauti mkubwa sana
Hata Venom tu za mwanzo zilikuwa kali kuliko hii ya sasa
Waache hizo bhana. They have to Make Marvel Great Again
Hapo wanamleta character mwingine wonder man jina tu linanipaga mshangao mpaka nashangaa
 
Back
Top Bottom