Marvel Cinematic Universe special thread

Ila MCU hawan jipya wamesema secret war itakuwa na character 60 na villain wanne
sema izi movie ukizipunguza storyline yote unaweza sema hamna kitu cheki mfano infinity war thanos anakusanya mawe tu , personal naamini thunderbolt ,f4 mpaka secret wars marvel wataua sana .
 
Watu wamekufa kwa ajili ya hzo Infinite stones, halafu kwenye TVA wao ni kama mawe tu hayana thamani
 
Back
Top Bottom